Waumini walivyohudhuria maziko ya Sheikh Nyundo

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,408
Allah amjalie kauli thabit Inshallah Na awe miongoni mwa watakao ionja na kuifurahia Pepo, ameen.

Amiin Inshallah

FB_IMG_1584385880935.jpeg
FB_IMG_1584385878783.jpeg
FB_IMG_1584385876835.jpeg
FB_IMG_1584385874777.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uislamu hauna tofauti na Ukatoliki, ukiangalia kwa karibu "wote wana ibada za wafu, marehemu na kuamini marehemu anaweza kuwaombea badala ya kujiombea wenyewe"

Jana baada ya swala ya magharibi nimeona waislamu wenzangu wakiomba shehe nyundo awaombee kwa mola, nilicheka sana lakini nikakumbuka dini ya wajomba zangu iko hivyo hivyo, hizi dini za wakoloni ni "mental slavery"
 
Sio kweli Dini ya uislamu kwa mafundisho sahihi hakuna kitu kama hicho hao ni maajili, mtu aliyekufa sisi waislamu ndio tunawajibu wa kumuombea dua hadi tunamzika na baada ya kumzika. Ukikuta mtu anamuomba marehemu amuombee huyo ni jaahili mkubwa
 
Uislamu hauna tofauti na Ukatoliki, ukiangalia kwa karibu "wote wana ibada za wafu, marehemu na kuamini marehemu anaweza kuwaombea badala ya kujiombea wenyewe"

Jana baada ya swala ya magharibi nimeona waislamu wenzangu wakiomba shehe nyundo awaombee kwa mola, nilicheka sana lakini nikakumbuka dini ya wajomba zangu iko hivyo hivyo, hizi dini za wakoloni ni "mental slavery"
Uislam ulikuja kukataza ushirikina miongoni mwa huo ushirikina ni ibada za kuwaomba viumbe ama walio hai au waliokufa, Qur an takriban yote imekuja kukataza shirki. Usipotoshe watu, hata wanaojiita waislam wakifa washirikina bila ya kuomba mshamaha watakaa motoni milele, sawa na washirikina wengine.

Kama imekataza ushirikina kwanini kwenye swala yoyote ni lazima mumtaje Muhammad na bila kumtaja sala yenu haifiki mbingu sijui ni ya ngapi?

Swali la pili, kwanini kila mnapomtaja mnamuombea huo sio upagani?
Swali la mwisho kwanini marehemu muislamu akifa mnamtaka awaombee kwa mungu wenu?
 
Back
Top Bottom