Waumini walivyohudhuria maziko ya Sheikh Nyundo

Waumini walivyohudhuria maziko ya Sheikh Nyundo

Huyo uliyemquote ndio hakusikia au kuelewa kilichokuwa kinaombwa na hao waumini aliowasikia.

Huenda ikawa hivyo, ila pia wapo baadhi ya waislam wanazo tabia za kuwatukuza masheikh wao na kuwaomba
 
Innalillah wainna ilayh rajiuun....allaha ampe taufiq.
 
Kuna Mambo mengi katika Sala,Adhana ni wito tu kwa waislam kwenda kusali.

Sala ya kiislam haikamiliki bila SHAHADA,katika SHAHADA ndiio waislam wanamaliza Sala kwa kumuombea Dua Ibrahim na Muhammad,
Kumbe! Unamjua masihi wa waislamu khalifa wa ahmadiya anayeishi England?
Huyu anakataa hilo katakata na anasema marehemu haombewi dua.

"Alahu masali alaa saidina Muhammad wala alihi Saidna Muhammad Kama BARAKATA IBRAHIM wala alihi IBRAHIM......."
Haya maneno ukiandika kwa kiswahili inakuwa ni dhambi au?

Usikurupuke soma uislam uufahamu ndio uje kuandika uharo hapa
Umeanza vizuri umemaliza kijinga kabisa na masikio yako hayo kama site mirror za Semi
 
Huyo "mwamedi" wako hata Qur'an haimtambui. Huyo unamtambua wewe tu. Hongera dada.
Mwamedi ni mnyumbuliko wa jina la mtume wenu yule ambaye hakuwa na elimu (mjinga)

Yes mimi ni dada ulikuwa hulijui hilo?
Kwa taarifa yako nafurahia sana hilo siendeshwi na mashubwada ya koran yanamtweza na kumdharaulisha mwanamke aonekane mtu wa chini pumbavu
 
ni elimu ipi ambayo unaizungumzia wewe ambayo muhammad wetu hakuwa nayo?.
Kwani yesu alikuwa na elimu?
Mtoto wa fundi seremala aliingia saa ngapi darasani?
Mwamedi ni mnyumbuliko wa jina la mtume wenu yule ambaye hakuwa na elimu (mjinga)

Yes mimi ni dada ulikuwa hulijui hilo?
Kwa taarifa yako nafurahia sana hilo siendeshwi na mashubwada ya koran yanamtweza na kumdharaulisha mwanamke aonekane mtu wa chini pumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni elimu ipi ambayo unaizungumzia wewe ambayo muhammad wetu hakuwa nayo?.
Kwani yesu alikuwa na elimu?
Mtoto wa fundi seremala aliingia saa ngapi darasani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, Yesu alikuwa na elimu.
Elimu sio kuingia darasani tu hata hii nayokupa hapa ni elimu!

Yesu alikuwa ni mwalimu katika masinagogi ya wayahudi alikuwa akifundisha kwa kusoma Tanakh (Agano la kale) aliwezaje kusoma kama hakuwa na elimu?

Muhammad alikuwa hajui kusoma hata A ya kiarabu
 
Yes, Yesu alikuwa na elimu.
Elimu sio kuingia darasani tu hata hii nayokupa hapa ni elimu!

Yesu alikuwa ni mwalimu katika masinagogi ya wayahudi alikuwa akifundisha kwa kusoma Tanakh (Agano la kale) aliwezaje kusoma kama hakuwa na elimu?

Muhammad alikuwa hajui kusoma hata A ya kiarabu
Sasa mtume aliwezaje kusoma quran kama hakuwa na elimu.? watu weusi tunashida sana. kwa taarifa yako biblia na qurani ni vitabu vya kutunga, uongo, Yesu wala Muhamad hawakuwahi kuwepo duniani, ni uongo wa wazungu na waarabu
 
Sio kweli Dini ya uislamu kwa mafundisho sahihi hakuna kitu kama hicho hao ni maajili, mtu aliyekufa sisi waislamu ndio tunawajibu wa kumuombea dua hadi tunamzika na baada ya kumzika. Ukikuta mtu anamuomba marehemu amuombee huyo ni jaahili mkubwa
labda huyu hajaelewa kilichokuwa kinaendelea kwenye tukio hela halaf bdo anasema waislam wenzangu...huyu kachomekea

Sent from my SM-G950U using Tapatalk
 
Sasa mtume aliwezaje kusoma quran kama hakuwa na elimu.? watu weusi tunashida sana.
Unajifanya mjuaaaaji kumbe hujui kitu.
Koran 7:157 inasema Muhammad hakuwa anajua kusoma wala kuandika.
Una jingine?

kwa taarifa yako biblia na qurani ni vitabu vya kutunga, uongo, Yesu wala Muhamad hawakuwahi kuwepo duniani, ni uongo wa wazungu na waarabu
I don't care!
 
Pia eti waislamu wanamswalia Muhammad mtu aliyekufa ,

Eti wanamswalia rehema , alikuwa wapi kujiombea akiwa hai ? Hizi ni ibada za wafu kutoka KATOLIKI

mkuu, acheni hayo mambo yenu kwenye huu uzi kwa heshima ya sheikh nyundo, tutumie huu uzi kujadili hata mawaidha yake, acheni hizo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umati mkubwa utafikiri kafa Yesu au huyo sheihk ukigusa jeneza lake unatakaswa dhambi zako. Ujinga wa watu kila mwaka wanakanyagana kwa stampede kule Makka sijui Madina wakati wa kumpiga mawe shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama imekataza ushirikina kwanini kwenye swala yoyote ni lazima mumtaje Muhammad na bila kumtaja sala yenu haifiki mbingu sijui ni ya ngapi?

Swali la pili, kwanini kila mnapomtaja mnamuombea huo sio upagani?
Swali la mwisho kwanini marehemu muislamu akifa mnamtaka awaombee kwa mungu wenu?
Hujaulewa uislam. Na hjauko tayari kuuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajifanya mjuaaaaji kumbe hujui kitu.
Koran 7:157 inasema Muhammad hakuwa anajua kusoma wala kuandika.
Una jingine?


I don't care!
nimekuuliza kama hakujua kusoma na kuandika aliwezaje kueneza uislamu? unaweza kufundishwa na mwalimu pasiejua kusoma na kuandika? Yesu alijifunza shule gani kusoma na kuandika? nipe jina la shule tafadhali, na mwalimu aliemfundisha
 
nimekuuliza kama hakujua kusoma na kuandika aliwezaje kueneza uislamu?
Swali zuri, uislamu aliueneza Makkah kwa vita alipambana na makureshi ambao ndio walikuwa wakazi wa eneo hilo na ndio wenye lile jiwe jeusi waislamu wanaloliendeaga Makkah!

Huku kwingine ulienezwa na watu wengine wakiwemo maswahaba wake nako ni kwa invasion, mfano Egypt, Spain (ambako walikuja kufeli), Morocco, Turkey n.k
Upanga ulitumika kueneza hiyo dini.

unaweza kufundishwa na mwalimu pasiejua kusoma na kuandika?
Haiwezekani na Muhammad hakuwa mwalimu na hana sifa hiyo.
Muhammad alikuwa akitoa maneno kwa njia ya mdomo kama alivyopewa na Mungu wake na inasemekana maswahaba wake walikuwa wakiyakalili na ndio maana leo hii waislamu karibu wote wameikalili koran.

Yesu alijifunza shule gani kusoma na kuandika? nipe jina la shule tafadhali, na mwalimu aliemfundisha
Biblia haijaandika shule na mwalimu aliyemfundisha
 
Back
Top Bottom