ibby
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 415
- 586
Hakuna kwenye uislam ambapo Mtume wetu Muhammad (swalalah alaehn wasalam )tunanuombea msamaha Bali no rehma kuna tofaut kubwa uliopo hapo kati ya rehma na msamaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mtume mwamedi mnapomuombea hua mnaomba asamehewe ushirikina alioufanya lini na upi mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app