Wanazuoni wa kiislamu toeni elimu kwa Waumini, wasioulewa vizuri Uislam wao

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
2,414
5,288
Uislam una mafundisho mazuri mno na yapo reasonable kabisa na huwa nayapenda

Kwa mfano mambo ya ndoa, heshima, mavazi ya stara, mambo ya mazishi(kutolaza mwili siku nyingi bila kuzika), vyakula na namna nzuri yakula, na matendo mengine ya huruma kama swadaka mfungo wa mwezi Ramadan na maana zake nzuri

Kwa kifupi uislam mambo mazuri ulionao uislam, ukijikita kutoa elimu na kushawishi kwa upole na upendo na logic mngepata waumini wengi mno duniani

Sasa ndugu zangu kwanini mtumie ubabe ushamba na uhuni kuforce watu kufanya mambo yenu ambapo bila hizo nguvu mnaweza kutoa elimu na kuwanasa

Zanzibar mnachapa watu na kuwalazimisha kufunga mwezi Ramadhan, fikiria huyo mtu mzima anayepigwa ana mke, watoto au ndugu wengine wewe unadhan hao ndugu zao ipo siku wataufuhia uislam uliodhalilisha utu wa aidha baba, mama, dada yao

Kufunga ni ibada yako na ukifanya ibada hupaswi kumlazishwa kwa viboko mtu mwingine kufanya ibada labda kumshawishi kwa hiari yake afanye hiyo ibada

Wanazuoni mkieneza elimu mtausafisha uislam na kuwa dini nzuri bila ugaidi, udhalilisha, unyanyasaji, uhuni kama ilivo sasa

Uislam usiwe sehemu ya unyanyasaji, uhuni na udhalimu kama mlivofanya huko Zanzibar

Ramadhan kareem

Waiban tawfiq

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Religion is stupid,

We must kill God.
 
Kama ulivyokuwa mdogo ukala mboko kwa baba ako ndio vile vile ukiwa mkubwa utapigwa kwa kutotii sheria.Zanzibar njema atakae na aje.
 
Uislam una mafundisho mazuri mno na yapo reasonable kabisa na huwa nayapenda

Kwa mfano mambo ya ndoa, heshima, mavazi ya stara, mambo ya mazishi(kutolaza mwili siku nyingi bila kuzika), vyakula na namna nzuri yakula, na matendo mengine ya huruma kama swadaka mfungo wa mwezi Ramadan na maana zake nzuri

Kwa kifupi uislam mambo mazuri ulionao uislam, ukijikita kutoa elimu na kushawishi kwa upole na upendo na logic mngepata waumini wengi mno duniani

Sasa ndugu zangu kwanini mtumie ubabe ushamba na uhuni kuforce watu kufanya mambo yenu ambapo bila hizo nguvu mnaweza kutoa elimu na kuwanasa

Zanzibar mnachapa watu na kuwalazimisha kufunga mwezi Ramadhan, fikiria huyo mtu mzima anayepigwa ana mke, watoto au ndugu wengine wewe unadhan hao ndugu zao ipo siku wataufuhia uislam uliodhalilisha utu wa aidha baba, mama, dada yao

Kufunga ni ibada yako na ukifanya ibada hupaswi kumlazishwa kwa viboko mtu mwingine kufanya ibada labda kumshawishi kwa hiari yake afanye hiyo ibada

Wanazuoni mkieneza elimu mtausafisha uislam na kuwa dini nzuri bila ugaidi, udhalilisha, unyanyasaji, uhuni kama ilivo sasa

Uislam usiwe sehemu ya unyanyasaji, uhuni na udhalimu kama mlivofanya huko Zanzibar

Ramadhan kareem

Waiban tawfiq

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikujibu hivi.
Uislam ni Dini iliyo kamilika,ila binadamu hatujakamilika,Kuna baadhi ya dhambi tunafanya kwa mihemko ila ukiufatilia vizuri Uislam utakuja kukuta ni DINI YA AMANI,Hao wanaofanya makosa ni kungengeuka tu Mila na desturi za KIISLAM,unampiga mtu hajakudhuru si vyema hata usipokuwa na dini lijue hilo japo KISASI NI HAKI ILA NAFKIRI KWA WATU WALE AMBAO WAMEKUFANYIA MABAYA,PIA KUSAMEHE NI JAMBO ZURI ZAIDI

Allah anisamehe pale ninapo kosea
NA ALLAH ANAJUA ZAIDI
 
Ni yupi muislam aliye wa mfano kuigwa???
 
Hakuna ALIELAZIMISHWA kufunga.
Tofauti ni pale mtu anapotaka kuonesha kiburi na kutaka kudharau maadili ya watu walio wengi sehemu husika. Usipo jiheshimu na kuheshimu wenzio hayo ndio matokeo.
Ujinga huo
Wewe umefunga mm nipo zangu nakula au nakunywa unakereka nini? Unafunga kwa fashion au imani? Wajinga mno sijui shida ni elimu finyu au nnnn
 
20240402_154511.jpg
 
Basi hakuna muislam mwenye dhambi,kama Muhammad ndiye mfano.
Hakuna Binadamu mkamilifu chini ya huu Umma wake,kwa kila MUISLAM ni wajibu wake kumuomba Mola wake Msamaha muda wote,na kuendelea kufanya aliyo tuachia Mtume Muhammad radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake
 
Back
Top Bottom