Waumini walivyohudhuria maziko ya Sheikh Nyundo

Waumini walivyohudhuria maziko ya Sheikh Nyundo

umejaribu kutetea wale ndugu zangu wafuga ndevu na walio zipaka rangi jana kule pemba kwenye maziko ya shehe nyundo kuwa SI WAISLAM lakini mimi nakwambia ni WAISLAMU NA ni ndugu zazngu, wamefanya ibada za Sanamu, Mungu hapendi hizo ni uchawi tu.

Kijana naona unaruka hoja, hakuna ambae amesema sio waislamu. Tunataka utuambie hizo ibada zimefundishwa na nani ? Je tumeambiwa na Qur'aan au ametufundisha mtume ? Jambo rahisi sana hili kaka mkubwa.
 
Nimefedheheka sana baada ya swala ya magharibi jana, Dini si vitabu ni matendo, kama tumefikia kuombea maiti sasa si kama wapagani tu, elimika, chukua hatua

Sasa hayo matendo unayapata wapi ? Unsoteshwa nini ? Lazima uyasome vitabuni sababu yameshahifadhiwa kisha unasoma au unafundishwa kisha unayafanyia kazi yale uliyo fundishwa.

Kazi yangu nimemaliza.
 
Uislamu hauna tofauti na Ukatoliki, ukiangalia kwa karibu "wote wana ibada za wafu, marehemu na kuamini marehemu anaweza kuwaombea badala ya kujiombea wenyewe"

Jana baada ya swala ya magharibi nimeona waislamu wenzangu wakiomba shehe nyundo awaombee kwa mola, nilicheka sana lakini nikakumbuka dini ya wajomba zangu iko hivyo hivyo, hizi dini za wakoloni ni "mental slavery"
Walikuwa wanamuombea au wanamuomba awaombee!?
Ikiwa walikuwa wanamuomba hiyo ni shirki na inaweza kuwatoa kwenye uislamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inna Lilah Wainna Ilah...Rajiuun..!!!….ALLAH..!. Amrehehemu Shekh Nyundo...Amjalie pepo..Inshallah... (Ametoa mawaidha mbalimbali kwa JAMII kuhusu Imani ya kweli Ndani ya Uislam)

Muhammad kafa kama wengine , ni maiti kama.maiti wengine

Kwahiyo aswaliwe madhambi yake ,ila wengine ni Ujahili

Allah anajichanganya sana
[/QUOTE]
 
Inna Lilah Wainna Ilah...Rajiuun..!!!….ALLAH..!. Amrehehemu Shekh Nyundo...Amjalie pepo..Inshallah... (Ametoa mawaidha mbalimbali kwa JAMII kuhusu Imani ya kweli Ndani ya Uislam)

Muhammad kafa kama wengine , ni maiti kama.maiti wengine

Kwahiyo aswaliwe madhambi yake ,ila wengine ni Ujahili

Allah anajichanganya sana
[/QUOTE]
 
Ulitaka tukimuombea dua na kumsalia Mtume Muhammad tukutaje wewe?
Muhammad ana tofauti gani na wewe ,?

Muhammad kafa na kaoza kama wengine wanaokufa

Wengine wakiombewa Rehema ,msamaha na baraka wakiwa wamekufa mnasema huo ni Ujahili na ukafiri

Ila Muhammad amekufa na madhambi na kaoza, mnasema aswaliwe rehema ,na mnakana sio Ibada za Wafu

Basi mtuambie Muhammad yupo wapi akiwa hai ,maana huwezi kunishawishi nimuombee Rehema marehemu Muhammad ila marehemu Mwingine kuombewa rehema na msamaha ni ukafiri
 
Sio ibada ya wafu.
Ni ibada ya wafu , chimbuko lake Babel ,had Leo imeenea kwenye Ukatoliki, ubudha. , Hadi uislamu


Usibishe ,ni Ibada ya WAFU au tunaita UMIZIMU
 
Kwani hoja kumuombea mtu au kumuomba mtu ni vitu viwili tofauti, kumuomba aliekufa ni haram, na kumuomba alie hai kwa mambo ambayo hana uwezo nayo ni haramu pia, umenifahmu? Au nikufahamishe zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujitoa Akili

Waislamu wanamuombea Rehema ,baraka na msamaha Muhammad

Muhammad huyo sio mtu ni Maiti/marehemu hajui kitu , hiyo ni ibada ya wafu

Muhammad alikuwa wapi kujiombea au kujiswalia rehema kwa Mungu wake had afe aache hiyo kazi ?

Toka lini maiti inasikia na kupata rehema?

NDIO MAANA KUNA WATU HUWA WANAPOST MESEJI KWA WAFU WAO LIKE...."I MISS YOU MAMU AU DADY SO MUCH...PLEASE COME BACK".....haha hahahahahah nakwambai KUFUMBA MACHO SIO KUSINZIA


MHUBIRI 9:5 inasemaje??????????????

"kwa sababu walio HAI WANAJUA ya kwamba watakufa; lakini WAFU HAWAJUI neno lo lote, wala HAWANA ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa."


[emoji91]PIA NI ISHARA YA KUKOSA TUMAINI LA MAISHA YA BAADA YA KIFO...LIKE NDIO NITOLEE, HAMTAONANA TENAAA MAANA KAMA AMEKUFA NA HAKUOKOKA INAPOTEZA SANA MAANA...TUWAOMBEEE NDUGU ZETU WAOKOKE KAMA KWELI TUNAWAPENDA.


[emoji432]WAFU HAWASOMI STATUS KWA WHATSAP WALA INSTAGRAM..... ASANTE UJINGA

...endeleeni kuwaandikia BARUA WAFU WENU MAANA WANAZISOMA NA WANAUONA UPENDO WENU HAKIKA....JINGAZ MINISTRY


Isaya:8.19 inasema,
"Na wakati watakapokuambia, Tafuta habari kwa watu wenye pepo na kwa wachawi; waliao kama ndege na kunong'ona; je! Haiwapasi watu kutafuta habari kwa Mungu wao? Je! Waende kwa watu waliokufa kwa ajili ya watu walio hai?"


[emoji91]MBONA ROMAN WANA MISA ZA KUWAOMBEA MAREHEMU ? UISLAMU NAO WANA KAZI YA KUMSWALIA MUHAMMAD


Kumbukumbu La Torati:18.10-11 inasema,

"Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri, wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, WALA MTU AWAOMBAYE WAFU."


Kumbuka:UJINGA WA JUMLA UNATUMIA AKILI ZA MIZIMU.


-ENDELEENI KUWAOMBEA MAREHEMU MKIDHANI MNA AKILI KULIKO MUNGU...IBADA ZA MAREHEMU HUFANYWA NA MAREHEMU WENYE MWILI WA SANAMU.


-WATU WALIOKUFA HAWANA SMARTPHONE haha hahaha hahahah


[emoji91]ETI MAREHEMU KANITOKEA AKANAMBIA KESHO NISIENDE SHULE.... NENDA KAUZE MITUMBA WEWE haha haha hahah

........kuna mtu alimwandikia mpendwa wake aliyekufa BARUA YA KUMUELEZEA HALI YA KISIASA YA TANZANIA haha hahaha hahaha


[emoji432]IN JESUS NAME, BE FREE INDEED. USIKUBALI KUTUMIKISHWA NA WAFU NA MAFUNDISHO YA MASHETANI.

-SHETANI HUTUMIA SURA ZA WATU TUNAOWAPENDA WALIOKUFA NA KUJA KUTUTABIRIA MAMBO AMBAYO NI YA KWELI KWA LENGO LA KUTUCHOTA AKILI ZETU ILI TUWAAMINI WAFU MPAKA KUWAFANYIA IBADA.


"SHETANI ALIPOMFUATA EVA HAKUMDANGANYA, ALIMWAMBIA UKWELI NUSU NA UONGO NUSU."


HAKUNA USHIRIKA KATI YA WAFU NA WALIO HAI, BE VERY CAREFUL. I DONT CARE NI KANISA LAKO LIMEKWAMBIA KUWA NI SAWA AU NI BABA, AU NI MTUME NA NABII AU NI NANI SIJUI. HAWEZI KUSHINDANA NA NENO LA MUNGU. HAWEZI KUSEMA ANACHOSEMA YEYE KWA MAFUNDISHO YA MASHETANI NI CHA KWELI KULIKO NENO LA MUNGU.

KWANI UTAPUNGUKIWA NINI UKIMWABUDU MUNGU WA KWELI NA WA PEKEE? MPAKA UKAZANE NA WAFU? JEHOVA IS NOT ENOUGH FOR YOU? WHY DO YOU STILL NEED AN ATTACHMENT SPIRIT? KWA JINA LA YESU.
 
Muhammad ana tofauti gani na wewe ,?

Muhammad kafa na kaoza kama wengine wanaokufa

Wengine wakiombewa Rehema ,msamaha na baraka wakiwa wamekufa mnasema huo ni Ujahili na ukafiri

Ila Muhammad amekufa na madhambi na kaoza, mnasema aswaliwe rehema ,na mnakana sio Ibada za Wafu

Basi mtuambie Muhammad yupo wapi akiwa hai ,maana huwezi kunishawishi nimuombee Rehema marehemu Muhammad ila marehemu Mwingine kuombewa rehema na msamaha ni ukafiri
Yesu ana tofauti gani na wewe ?
 
Yesu ana tofauti gani na wewe ?
Yesu unayemzungumzia Yupo mbinguni kwenye kiti cha enzi , mm nipo duniani,

Yesu anakuja kuhukumu ulimwengu na jeshi la malaika

Muhammad marehemu hana chochote , Biblia inasema marehemu ni sawa na mbwa aliyekufa hakuna anachomzidi


Mihubiri 9

4 Kwa kuwa liko tumaini kwa yule aliyeambatana na wote walio hai; (maana ni afadhali mbwa aliye hai kuliko simba aliyekufa);

5 kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
 
Wewe ni kichwa maji eeh? Tunaruhusiwa kuwaombea waliokufa ila sio waliokufa watuombee tulio hai
Kama imekataza ushirikina kwanini kwenye swala yoyote ni lazima mumtaje Muhammad na bila kumtaja sala yenu haifiki mbingu sijui ni ya ngapi?

Swali la pili, kwanini kila mnapomtaja mnamuombea huo sio upagani?
Swali la mwisho kwanini marehemu muislamu akifa mnamtaka awaombee kwa mungu wenu?
 
Yesu unayemzungumzia Yupo mbinguni kwenye kiti cha enzi , mm nipo duniani,

Mbinguni viko viumbe vingi mzee.

Unalo andiko linalosema Yesu muda huu yupo kwenye kiti cha enzi ? Sharti andiko hilo awe amesema Yesu mwenyewe ?
 
Back
Top Bottom