Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,369
Nieleweshe sasa
Nieleweshe sasa
1.Angalia huyu acha kuchanganya mafaili wewe , Adamu alikuwa mwalimu wa UISLAMU kwa nyakati zake, Musa kwa nyakati zake, na Mohammad ni mwalimu wa UISLAMU kwa nyakati zake ambapo mimi ni muumini , hivyo acha ujuaji uliza utaonekana wa ovyo ahahahahahahSasa hivi sio Adam tena?
Bahahaha you people are crazy
Sijasema mnamuomba nimesema mnamuombea, nipe aya katika koran yenu inayowataka muwaombee marehemu.
Biblia inakataza hilo waziwazi marehemu akishakufa kafa na atalala mahala anakostahili kutokana na matendo yake.
Aya gani inawataka muombee wafu?
Maana Biblia hawana kumbukumbu kabisa
Mhubiri 9:4-5
Kwa kuwa liko tumaini kwa yule aliyeambatana na wote walio hai; (maana ni afadhali mbwa aliye hai kuliko simba aliyekufa);
kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
Pia soma Mathayo 23:27
Babu umelishwa matango pori ! Kama kweli wataka kuujua uislamu tafuta watu sahihi mzee Baba.Kama imekataza ushirikina kwanini kwenye swala yoyote ni lazima mumtaje Muhammad na bila kumtaja sala yenu haifiki mbingu sijui ni ya ngapi?
Swali la pili, kwanini kila mnapomtaja mnamuombea huo sio upagani?
Swali la mwisho kwanini marehemu muislamu akifa mnamtaka awaombee kwa mungu wenu?
Humu kuna ma abdool wenzio yani makonki Zurri na Gavana hawa ndio maulamaa humu.Babu umelishwa matango pori ! Kama kweli wataka kuujua uislamu tafuta watu sahihi mzee Baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo liko wapi kupigana vita kijana !!.labda kwa taarifa yako mtume alipokuja ikomboa mecca alikuwa na jeshi la watu 10,000 jeshi kubwa sana kwa kipindi hiko , na mtume alikuwa wazi kabisa aliwaambia makamanda wake wasianzishe mapigano mpaka washambuliwe , aligawanya kamandi tatuSwali zuri, uislamu aliueneza Makkah kwa vita alipambana na makureshi ambao ndio walikuwa wakazi wa eneo hilo na ndio wenye lile jiwe jeusi waislamu wanaloliendeaga Makkah!
Huku kwingine ulienezwa na watu wengine wakiwemo maswahaba wake nako ni kwa invasion, mfano Egypt, Spain (ambako walikuja kufeli), Morocco, Turkey n.k
Upanga ulitumika kueneza hiyo dini.
Haiwezekani na Muhammad hakuwa mwalimu na hana sifa hiyo.
Muhammad alikuwa akitoa maneno kwa njia ya mdomo kama alivyopewa na Mungu wake na inasemekana maswahaba wake walikuwa wakiyakalili na ndio maana leo hii waislamu karibu wote wameikalili koran.
Biblia haijaandika shule na mwalimu aliyemfundisha
Yes, Yesu alikuwa na elimu.
Elimu sio kuingia darasani tu hata hii nayokupa hapa ni elimu!
Yesu alikuwa ni mwalimu katika masinagogi ya wayahudi alikuwa akifundisha kwa kusoma Tanakh (Agano la kale) aliwezaje kusoma kama hakuwa na elimu?
Muhammad alikuwa hajui kusoma hata A ya kiarabu
Yes, Yesu alikuwa na elimu.
Elimu sio kuingia darasani tu hata hii nayokupa hapa ni elimu!
Yesu alikuwa ni mwalimu katika masinagogi ya wayahudi alikuwa akifundisha kwa kusoma Tanakh (Agano la kale) aliwezaje kusoma kama hakuwa na elimu?
Muhammad alikuwa hajui kusoma hata A ya kiarabu
HAwajamtuma awabakishie mabikra?Uislamu hauna tofauti na Ukatoliki, ukiangalia kwa karibu "wote wana ibada za wafu, marehemu na kuamini marehemu anaweza kuwaombea badala ya kujiombea wenyewe"
Jana baada ya swala ya magharibi nimeona waislamu wenzangu wakiomba shehe nyundo awaombee kwa mola, nilicheka sana lakini nikakumbuka dini ya wajomba zangu iko hivyo hivyo, hizi dini za wakoloni ni "mental slavery"
Wanajichanganya hawa watoto wa Madrassa, hawajui dini yetu ya uislam, wamevamia na wanaswalia maiti kama wapagani, hii haikubaliki.
Mabikra 70 wapo pale pale, sipati picha hao mabikra sijui wataumbwa siku hiyo ama huwa wapo wapi wakiwasubiria ndugu zangu hawaHAwajamtuma awabakishie mabikra?
Hahaha unamwomba kipofu akusaidie kutafuta pini iliyochini ya mchangaUislamu hauna tofauti na Ukatoliki, ukiangalia kwa karibu "wote wana ibada za wafu, marehemu na kuamini marehemu anaweza kuwaombea badala ya kujiombea wenyewe"
Jana baada ya swala ya magharibi nimeona waislamu wenzangu wakiomba shehe nyundo awaombee kwa mola, nilicheka sana lakini nikakumbuka dini ya wajomba zangu iko hivyo hivyo, hizi dini za wakoloni ni "mental slavery"
Masufi ndio wana hayo mambo.Uislamu hauna tofauti na Ukatoliki, ukiangalia kwa karibu "wote wana ibada za wafu, marehemu na kuamini marehemu anaweza kuwaombea badala ya kujiombea wenyewe"
Jana baada ya swala ya magharibi nimeona waislamu wenzangu wakiomba shehe nyundo awaombee kwa mola, nilicheka sana lakini nikakumbuka dini ya wajomba zangu iko hivyo hivyo, hizi dini za wakoloni ni "mental slavery"