Waumini walivyohudhuria maziko ya Sheikh Nyundo

Uislamu hauna tofauti na Ukatoliki, ukiangalia kwa karibu "wote wana ibada za wafu, marehemu na kuamini marehemu anaweza kuwaombea badala ya kujiombea wenyewe"

Jana baada ya swala ya magharibi nimeona waislamu wenzangu wakiomba shehe nyundo awaombee kwa mola, nilicheka sana lakini nikakumbuka dini ya wajomba zangu iko hivyo hivyo, hizi dini za wakoloni ni "mental slavery"
Uliona kupitia channel gani mkuu??
 
Mkuu vaa helment kabisa umewagusa wafia dini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uislamu hauna tofauti na Ukatoliki, ukiangalia kwa karibu "wote wana ibada za wafu, marehemu na kuamini marehemu anaweza kuwaombea badala ya kujiombea wenyewe"

Jana baada ya swala ya magharibi nimeona waislamu wenzangu wakiomba shehe nyundo awaombee kwa mola, nilicheka sana lakini nikakumbuka dini ya wajomba zangu iko hivyo hivyo, hizi dini za wakoloni ni "mental slavery"
Pia eti waislamu wanamswalia Muhammad mtu aliyekufa ,

Eti wanamswalia rehema , alikuwa wapi kujiombea akiwa hai ? Hizi ni ibada za wafu kutoka KATOLIKI
 
Sio kweli Dini ya uislamu kwa mafundisho sahihi hakuna kitu kama hicho hao ni maajili, mtu aliyekufa sisi waislamu ndio tunawajibu wa kumuombea dua hadi tunamzika na baada ya kumzika. Ukikuta mtu anamuomba marehemu amuombee huyo ni jaahili mkubwa
Kwahiyo wanaomswalia Muhammad ni majahili?

Maana Muhammad ni maiti na marehemu ,cha ajabu tunaona mna mswalia Muhammad ,rehema tena had Allah anamswalia

Je nao ni majahili?

Au Muhammad yupo hai?

Kama amekufa ,anaswaliwa kwa faida gani?
 
Uislamu hauna tofauti na Ukatoliki, ukiangalia kwa karibu "wote wana ibada za wafu, marehemu na kuamini marehemu anaweza kuwaombea badala ya kujiombea wenyewe"

Jana baada ya swala ya magharibi nimeona waislamu wenzangu wakiomba shehe nyundo awaombee kwa mola, nilicheka sana lakini nikakumbuka dini ya wajomba zangu iko hivyo hivyo, hizi dini za wakoloni ni "mental slavery"
Hicho kitu ukisemacho mbona hakipo kwenye dini? Labda hao waislamu wenzako waombao wafu hawana elimu juu ya walitendao.
 
Uislam ulikuja kukataza ushirikina miongoni mwa huo ushirikina ni ibada za kuwaomba viumbe ama walio hai au waliokufa, Qur an takriban yote imekuja kukataza shirki. Usipotoshe watu, hata wanaojiita waislam wakifa washirikina bila ya kuomba mshamaha watakaa motoni milele, sawa na washirikina wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudanganya watu , Quran hiyo hiyo inawafundisha mumswalie Muhammad

Jiulize mnamuombea rehema Muhammad ,je ni mzima au amekufa?
 
Kwahiyo wanaomswalia Muhammad ni majahili?

Maana Muhammad ni maiti na marehemu ,cha ajabu tunaona mna mswalia Muhammad ,rehema tena had Allah anamswalia

Je nao ni majahili?

Au Muhammad yupo hai?

Kama amekufa ,anaswaliwa kwa faida gani?

Kwanza unaelewa neno "kumswalia" mtume Muhammad, neno swala hapo kwa mtume wewe unaliewa vipi?
 
Hicho kitu ukisemacho mbona hakipo kwenye dini? Labda hao waislamu wenzako waombao wafu hawana elimu juu ya walitendao.
Kwani Muhammad huwanamuombea na kumswalia rehema ,ni mzima au maiti?

Achen double standard

Mnaswalia rehema Muhammad ilihali ni marehemu

Hizo ni ibada za Wafu kutoka Roman catholic

Waislamu huwa lazima mumswalie Muhammad. , usibishe
 
Kwanza unaelewa neno "kumswalia" mtume Muhammad, neno swala hapo kwa mtume wewe unaliewa vipi?
Usibadili maana , huwa anaswaliwa rehema

Nakuuliza , anaswaliwa rehema ,je ni mzima au amekufa
 
kuhusu ilivyokusudiwa kumswalia Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) haimaainishi kuwa tunamswalia yeye kama vile tunavyoswali kwa ajili ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kwenye Swalaah zetu kwa kusimama na kurukuu na kusujudu na kuomba na kadhalika. Bali inapotajwa kumswalia Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) inakusudiwa kumuombea du’aa za Rahmah na amani zimshukie .

Tambua ndugu yetu kwamba lugha ya Kiarabu ni pana mno, kwa mfano maana ya neno moja linaweza kuwa na maana nyingi kabisa. Ukitaka kujua maana ya neno la Kiarabu kwanza ujue maana yake ya kilugha, kisha ujue maana yake ki-Shariy’ah (katika Dini ya Kiislamu) ambao huwa inatofautiana na maana ya asili. Na katika maana ya Swalaah kilugha inamaanisha ni du’aa. Ama katika Shariy’ah inaamanisha ni ‘ibaadah (kumwabudu Allaah)

Chukulia kauli ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

إِنَّ اللَّـهَ وَمَلَائِكَتَهُ يُصَلُّونَ عَلَى النَّبِيِّ ۚ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا صَلُّوا عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا تَسْلِيمًا ﴿٥٦﴾

Hakika Allaah na Malaika Wake wanamswalia Nabiy. Enyi walioamini mswalieni na msalimieni kwa mamkizi ya amani na kwa tasliymaa. [Al-Ahzaab 33: 56]

Ni kwamba: Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kumswalia Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) maana yake ni kumsifia kwa Malaika, kumteremshia rahmah na baraka, fadhila n.k.

Ama Malaika Wake kumswalia Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) ni kumuombea kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) du’aa Amghufurie na Amteremshie baraka.

Na ndio sisi Waumini tumeamrishwa pia kumswalia Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) katika Aayah hiyo na maana yake ni hiyo ya kumuombea kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) du’aa ya rahmah na amani.

Na alipoulizwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) jinsi gani kumswalia alijibu kuwa ni kumswalia kama vile tunavyomswalia ndani ya Swalaah katika kikao cha Tashahhud pale kwenye du’aa inayoitwa Swalaatu Ibraahimiyyah (Swalaah ya Ibrahiym) ambayo imekuja katika matamshi mbali mbali yanayotofautiana kidogo; mojawapo ni kama ifuatavyo:

Allaahumma Swalli ‘alaa Muhammadin, wa ‘alaa aali Muhammadin, kamaa Swallayta ‘alaa Ibraahiyma, wa ‘alaa aali Ibraahiyma, Innaka Hamiydun Majiydun, Allaahumma Baarik ‘alaa Muhammadin wa ‘alaa aali Muhammadin kamaa Baarakta ‘alaa Ibraahiyma wa ‘alaa aali Ibraahiyma Innaka Hamiydun Majiydun

Ee Allaah! Mswalie Muhammad, na ahli wa Muhammad kama Ulivyomswalia Ibraahiym na juu ya ahli zake Ibraahiym, hakika Wewe ni Mwenye kustahiki kuhimidiwa, Mwenye utukufu. Eee Allaah! Mbariki Muhammad na jamaa zake Muhammad kama Ulivyombariki Ibraahiym na juu ya ahli zake Ibraahiym, hakika Wewe Ni Mwenye kustahiki kuhimidiwa, Mtukufu.
 
Sasa kumuombea rehma ni kuomba yeye? Ama yeye ndio anaombewa?
Unaelewa maana ya Rehema (mercy)

mercy

compassion or forgiveness shown towards someone whom it is within one's power to punish or harm.

Sasa mtuambie kumswalia Muhammad Rehema , sio Ibada ya wafu?

Mnamuombea rehema(msamaha) marehemu Muhammad , je alikuwa wapi kujiombea akiwa HAI?

Nyie ndio majahili wakubwa
 
kuhusu ilivyokusudiwa kumswalia Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) haimaainishi kuwa tunamswalia yeye kama vile tunavyoswali kwa ajili ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kwenye Swalaah zetu kwa kusimama na kurukuu na kusujudu na kuomba na kadhalika. Bali inapotajwa kumswalia Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) inakusudiwa kumuombea du’aa za Rahmah na amani zimshukie .

Tambua ndugu yetu kwamba lugha ya Kiarabu ni pana mno, kwa mfano maana ya neno moja linaweza kuwa na maana nyingi kabisa. Ukitaka kujua maana ya neno la Kiarabu kwanza ujue maana yake ya kilugha, kisha ujue maana yake ki-Shariy’ah (katika Dini ya Kiislamu) ambao huwa inatofautiana na maana ya asili. Na katika maana ya Swalaah kilugha inamaanisha ni du’aa. Ama katika Shariy’ah inaamanisha ni ‘ibaadah (kumwabudu Allaah)

Chukulia kauli ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

إِنَّ اللَّـهَ وَمَلَائِكَتَهُ يُصَلُّونَ عَلَى النَّبِيِّ ۚ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا صَلُّوا عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا تَسْلِيمًا ﴿٥٦﴾

Hakika Allaah na Malaika Wake wanamswalia Nabiy. Enyi walioamini mswalieni na msalimieni kwa mamkizi ya amani na kwa tasliymaa. [Al-Ahzaab 33: 56]

Ni kwamba: Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kumswalia Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) maana yake ni kumsifia kwa Malaika, kumteremshia rahmah na baraka, fadhila n.k.

Ama Malaika Wake kumswalia Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) ni kumuombea kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) du’aa Amghufurie na Amteremshie baraka.

Na ndio sisi Waumini tumeamrishwa pia kumswalia Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) katika Aayah hiyo na maana yake ni hiyo ya kumuombea kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) du’aa ya rahmah na amani.

Na alipoulizwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) jinsi gani kumswalia alijibu kuwa ni kumswalia kama vile tunavyomswalia ndani ya Swalaah katika kikao cha Tashahhud pale kwenye du’aa inayoitwa Swalaatu Ibraahimiyyah (Swalaah ya Ibrahiym) ambayo imekuja katika matamshi mbali mbali yanayotofautiana kidogo; mojawapo ni kama ifuatavyo:

Allaahumma Swalli ‘alaa Muhammadin, wa ‘alaa aali Muhammadin, kamaa Swallayta ‘alaa Ibraahiyma, wa ‘alaa aali Ibraahiyma, Innaka Hamiydun Majiydun, Allaahumma Baarik ‘alaa Muhammadin wa ‘alaa aali Muhammadin kamaa Baarakta ‘alaa Ibraahiyma wa ‘alaa aali Ibraahiyma Innaka Hamiydun Majiydun

Ee Allaah! Mswalie Muhammad, na ahli wa Muhammad kama Ulivyomswalia Ibraahiym na juu ya ahli zake Ibraahiym, hakika Wewe ni Mwenye kustahiki kuhimidiwa, Mwenye utukufu. Eee Allaah! Mbariki Muhammad na jamaa zake Muhammad kama Ulivyombariki Ibraahiym na juu ya ahli zake Ibraahiym, hakika Wewe Ni Mwenye kustahiki kuhimidiwa, Mtukufu.
Bado huwez kukwepa huu mtego wa ibada za Wafu

Mnamswalia dua ,wakati ni marehemu

Hiyo ni ibada ya wafu

Marehemu anaswaliwaje dua na rehema

Usipambepambe kuficha ukweli

Ibada za wafu ndio hizo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Anaombewa rehema Muhammad ,wakati ni maiti

Hiyo ni ibada ya wafu

Hahaha we jamaa ni dish lenye chenga, nini maana ya ibada ya wafu? Sisi waislamu wafu wetu wote wakifa tunawaombea dua kwa Allah ili wapate rehma, baraka na msamaha kutoka kwa Allah hatutoi amri kama wagalitia kwa kusema RIP, sasa kumuombea rehma inakuaje ibada ya wafu? Ibada ya wafu ni wewe mtu mzima kumuomba aliyekufa akuombee badala ya ww kumuombea yy hayo mambo tajwa, mfano sala ya bikira maria ndio ibada ya wafu
 
Huo sio uislamu..hayo wameanza wao..uislamu unakataza hata kuomba kupitia mtume Muhammad (saw).
Hicho wanachofanya ni uzushi na sio katika uislamu.
Kama kuna mkristo mmoja anawakanyagisha watu mafuta,hio haidefine mwenendo wa ukristo wakiristo wote..
Uislamu hauna tofauti na Ukatoliki, ukiangalia kwa karibu "wote wana ibada za wafu, marehemu na kuamini marehemu anaweza kuwaombea badala ya kujiombea wenyewe"

Jana baada ya swala ya magharibi nimeona waislamu wenzangu wakiomba shehe nyundo awaombee kwa mola, nilicheka sana lakini nikakumbuka dini ya wajomba zangu iko hivyo hivyo, hizi dini za wakoloni ni "mental slavery"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuhusu ilivyokusudiwa kumswalia Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) haimaainishi kuwa tunamswalia yeye kama vile tunavyoswali kwa ajili ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kwenye Swalaah zetu kwa kusimama na kurukuu na kusujudu na kuomba na kadhalika. Bali inapotajwa kumswalia Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) inakusudiwa kumuombea du’aa za Rahmah na amani zimshukie .

Tambua ndugu yetu kwamba lugha ya Kiarabu ni pana mno, kwa mfano maana ya neno moja linaweza kuwa na maana nyingi kabisa. Ukitaka kujua maana ya neno la Kiarabu kwanza ujue maana yake ya kilugha, kisha ujue maana yake ki-Shariy’ah (katika Dini ya Kiislamu) ambao huwa inatofautiana na maana ya asili. Na katika maana ya Swalaah kilugha inamaanisha ni du’aa. Ama katika Shariy’ah inaamanisha ni ‘ibaadah (kumwabudu Allaah)

Chukulia kauli ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

إِنَّ اللَّـهَ وَمَلَائِكَتَهُ يُصَلُّونَ عَلَى النَّبِيِّ ۚ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا صَلُّوا عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا تَسْلِيمًا ﴿٥٦﴾

Hakika Allaah na Malaika Wake wanamswalia Nabiy. Enyi walioamini mswalieni na msalimieni kwa mamkizi ya amani na kwa tasliymaa. [Al-Ahzaab 33: 56]

Ni kwamba: Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) kumswalia Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) maana yake ni kumsifia kwa Malaika, kumteremshia rahmah na baraka, fadhila n.k.

Ama Malaika Wake kumswalia Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) ni kumuombea kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) du’aa Amghufurie na Amteremshie baraka.

Na ndio sisi Waumini tumeamrishwa pia kumswalia Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) katika Aayah hiyo na maana yake ni hiyo ya kumuombea kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) du’aa ya rahmah na amani.

Na alipoulizwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) jinsi gani kumswalia alijibu kuwa ni kumswalia kama vile tunavyomswalia ndani ya Swalaah katika kikao cha Tashahhud pale kwenye du’aa inayoitwa Swalaatu Ibraahimiyyah (Swalaah ya Ibrahiym) ambayo imekuja katika matamshi mbali mbali yanayotofautiana kidogo; mojawapo ni kama ifuatavyo:

Allaahumma Swalli ‘alaa Muhammadin, wa ‘alaa aali Muhammadin, kamaa Swallayta ‘alaa Ibraahiyma, wa ‘alaa aali Ibraahiyma, Innaka Hamiydun Majiydun, Allaahumma Baarik ‘alaa Muhammadin wa ‘alaa aali Muhammadin kamaa Baarakta ‘alaa Ibraahiyma wa ‘alaa aali Ibraahiyma Innaka Hamiydun Majiydun

Ee Allaah! Mswalie Muhammad, na ahli wa Muhammad kama Ulivyomswalia Ibraahiym na juu ya ahli zake Ibraahiym, hakika Wewe ni Mwenye kustahiki kuhimidiwa, Mwenye utukufu. Eee Allaah! Mbariki Muhammad na jamaa zake Muhammad kama Ulivyombariki Ibraahiym na juu ya ahli zake Ibraahiym, hakika Wewe Ni Mwenye kustahiki kuhimidiwa, Mtukufu.
MAREHEMU ,MAITI anateremshiwaje baraka na Rehema(msamaha)?

Hiyo ni ibada za Wafu ikimbieni

Alikuwa wapi mudy kuomba rehema na baraka alipokuwa hai ? Hadi amekufa ndio anataka aswaliwe ?

Sali kabla hujaswaliwa Sheikh
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hahaha we jamaa ni dish lenye chenga, nini maana ya ibada ya wafu? Sisi waislamu wafu wetu wote wakifa tunawaombea dua kwa Allah ili wapate rehma, baraka na msamaha kutoka kwa Allah hatutoi amri kama wagalitia kwa kusema RIP, sasa kumuombea rehma inakuaje ibada ya wafu? Ibada ya wafu ni wewe mtu mzima kumuomba aliyekufa akuombee badala ya ww kumuombea yy hayo mambo tajwa, mfano sala ya bikira maria ndio ibada ya wafu
ONA UNAVYOJIABISHA ,NA HUO NDIO UTAHIRA WENYEWE

UNAMUOMBEA MAREHEMU MSAMAHA , BARAKA NA REHEMA

Huo ni uchizi mkubwa sana

Basi kwa staili hiyo hakuna haja ya kumcha Mungu, maana ukifa unaombewa Msamaha ,rehema na Baraka

Na hizo ndio IBADA ZA WAFU

SALI KABLA HUJASWALIWA

MNAMUOMBEA MSAMAHA ,REHEMA ,NA BARAKA MAITI ,MAREHEMU MUHAMMAD

ALIKUWA WAPI KUFANYA HAYO AKIWA HAI?

YAAN MTU AFANYE MADHAMBI ,AUE ,ABAKE KATOTO KA MIAKA 9, N.K

AMEKUFA ANATAKA ASWALIWE ,AOMBEWE MSAMAHA ,

NI IBADA ZA WAFU HIZO
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom