Ili kuhalalisha ngono zembe tumejitengenezea dhana mpya eti zinatukinga dhidi ya UKIMWI!

the power

Member
Oct 18, 2012
85
105
Tabia za kijamii (community norms) ni very dynamic, hakika kweli hazitabiriki. Mwanzoni tuliambiwa ili kujikinga na ukimwi tuepuke ngono zembe, tutumie kinga (condom), lakini uhakika wakasema tuwe na mwenza mmoja mwaminifu mmoja aliyepima.

Kwa sababu hayo masharti yalikuwa magumu, kwa sasa jamii imejitengenezea masharti marahisi au tafsiri mpya ili kujustify ngono zembe nikimaanisha kujamiiana kavukavu na bila kupima, kujamiiana na wapenzi wengi tena bila kinga etc, kibaya zaidi hizi myth zimezoeleka na kuwa ndiyo njia mbadala utafikiri zimethibitishwa kisayansi wakati ni believe potovu zisizo na uthibitisho wowote wa kisayansi (wrong myth).

Sasa hivi kuna wimbi kubwa la wanawake wengi hawataki matumizi ya condom na wanaume pia. Wanawake wanajustify kwa kusema, eti zinawawasha, zinawachubua, zina-allergy,wanaume wanasema hawasikii stimu yeyote kabisa.

Sasa wamejitengenezea myth ya kupaka mafuta kama mbadala, na ninakuambia binti anajihamini kabisa, eti "mimi sitaki condom, tupake mafuta mengi" na wanajiamini 99% mafuta ni kinga, eti kitu hatari ni michubuko, mafuta ni kinga tosha kwani yanazuia michubuko. Kumbuka sayansi ilisema mafuta ya kawaida; vaselini, mafuta ya nazi n.k, yanaongeza jotoridi wakati wa kujamihiana, kwa hiyo kuongeza uwezekano wa michubuko na wa kupata maambukizi.

Wengine wamejikita kwenye kupaka mate, eti kwa sababu mate ni kimiminika cha mwili basi kinatoa natural lubricant ya kutosha kabisa na ni kinga madhubuti hatari.

Matumizi ya K-Y jelly ndo husiseme, yaani ni kama vile yamekuwa Kinga mbadala, mtu akitumia KY-Jelly anajefeel well protected 100%, wakati KY-Jelly ilitengenzwa kama lubricants kwenye shughuli za tiba kufanya ngozi ya ndani iwe laini na kupunguza michubuko wakati wa medical penetrative procedure, na si kizuizi cha maambukizi

Kuna wanawake wengine wanasisitiza na kutoa masharti ya kumwaga nje, eti hiyo ni kinga dhidi ya maabukizi ya ukimwi ukiondoa njia ya uzazi, wanasema eti zile mbegu na uteute ndio umebeba wadudu (HIV virus), hawajui hata mnapoanza tu romance mwili wa mwanaume hasa mwanamke wanakuwa wameshatoa uteute wa kutosha kabisa.

Nafikiri vitengo husika vya kuthibiti ukimwi (TACAIDS, MOH, HIV control programs) kwa sasa vimekosa ubunifu, vimeacha routine health education na health promotion zile za zamani kwani zilikuwa tailored, relevant, consistent na coverage yake ilikuwa kubwa.

Nilitegemea sasa wawe proactive-wajikite kupinga na kuzuia hizi myth za ajabu kwani wengi wanaopata maambukizi mapya ni kwa sababu ya kuamini kwenye hizi wrong myth ambazo jamii imeanza kuzikubali kinoma na zimekuwa ni sehemu ya our community and normative norms.

Ukizingatia wagonjwa wengi wa HIV wako kwenye tiba nzuri, muonekano wao wa nje ni wa afya njema, wanag'aa tena zaidi ya sisi, kwani dawa zile zimeongezewa protein na virutubisho vya mwili.

Je, wewe una mawazo gani kuhusu hizi myth za kujikinga na maambukizi ya HIV/AIDS na ulishakumbana na moja kati ya hizi? Je, ulikubali au ulikataa?
 
Hatari sana Mkuu.

UJUAJI MWINGI SOMETIMES HUWA NI UJINGA KWA BAADHI YA WATANZANIA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
USAID waleta Ma contena ya Karanga/njugumawe kila mwaka unataka yakose wateja?
 
Mtu mweusi kwenye ngono anakuwaga serious sana
Kwenye ngono Watu weusi bora umuue afe ila sio umkataze Ngono.

Wataalam wanasema Kama huwezi kujicontrol kwenye swala la Ngono basi Uchumi na maarifa yako ni ngumu sana kufikia kiwango cha Excellence
.
Na ndivyo ilivyo.

Tafiti zimeonesha Wafrica na Waarabu akili zetu zonafanana hata ufanye nini Huwdzo kuw ana IQ ya kuridhisha.
 
Unaambiwa Ukimwi wa siku hizi hautishi kama ule wa 90s na early 2000s..
 
Ahaaaaa na hii pia ni dhana mpya ya kujustify myth. Kwa hiyo mtaalamu unataka kusema Dog style ni protective dhidi ya maambukizi kuliko style nyingine au???? just curious
Kwani mi nimesema hyo style napiga ili nijikinge na magonjwa?
 
Back
Top Bottom