Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 779
- 2,226
Chapa hii hadi itoe hydroxoWewe masuala ya kupiga nyeto umeyapa kipaumbele haya mpigie na huyuView attachment 3674195
Chapa hii hadi itoe hydroxoWewe masuala ya kupiga nyeto umeyapa kipaumbele haya mpigie na huyuView attachment 3674195
Asante sanaSafi sana mkuu God bless you.
umendika kwa hisia kama Mbaga JrHellow wana JF.
Saizi mitandaoni, maredioni na viongozi wa jiji la Dar es salaam kuanzia mkuu wa mkoa, wabunge mpaka balozi wa nyumba kumi wanajifanya kukomalia usafi kwasababu Mh Rais alisema Dar es salaam ni chafu sana.
Inamaana Mh Rais asinge sema jiji lingeendelea kuwa chafu na kunuka mwanzo mwisho. Mpaka mtu mwenye akili timamu unakaa unajiuliza hawa watu ni watu wa design gani au ni maiti zinazo tembea? Au ni mambumbu yanayo jua kula na kulala tu.
Jitu linatupa taka hovyo.
Jitu linatembea linavuta sigara hovyo.
Jitu linaenda toilet linatumia choo halisafishi linaacha uchafu wake pale(mkojo au kinyesi chake).
Jitu halipigi mswaki linatembea domo linanuka hovyo(alafu mijitu ya hivi inakuwa miongeaji sana wakati domo linanuka kama choo).
Jitu mvua ikinyesha tu linazibua chemba za uchafu.
Jitu linakula chakula au kitu ndani ya usafiri alafu linatupa uchafu nje.
Majitu yanakuja kuchukua pesa za taka alafu taka hayaji kubeba.
Yani majitu ya Tanzania ni machafu sana na ndiyo maana hata ndoa nyingi hazidumu kwasababu majitu ni machafu hayaoni kinyaa kuzini/kulala na mume/wake za watu bila hata yakupima. Matokeo yake magonjwa ya zinaa yanawatesa kila siku takataka nyie.
Majitu ya Tanzania ni machafu/majinga hayajali afya zao wala afya za wengine.
Mkuu mimi nimeishi Oysterbay miaka 2 na sio Osterbay unayo isema wewe unafanya kazi.Kariakoo , msasani sio ushuan.
Osterbay , Upanga na Mbezi beach ya wap inayonuka?.
Hasa hasa nitajie eneo la Osterbay maana mm nafanya kaz osterbay.
Of course ndiyo maana yangu pia mkuu wewe uliyesoma inatakiwa utengeneze utamaduni mzuri katika jamii. Na jamii itaufuata tu ikielimishwa.Nimesemea culture kwa sababu.
Kuna weng hawajasoma.
hawa je?.
Ila ukiingiza hili liwe kwenye tamaduni. Basi hata mtu ambaye hajasoma ataona yuko na obligation ya kutunza na kuweka mazingira yanayomzunguka safi na salama.
Malezi ya hovyo yanachangia kwa kiasi kikubwa sana jamii kuendelea kuzama kwenye shimo la uchafu.Asante sana
Watoto lazima hata wakienda kwa jirani au Ndugu wajue mipaka yao
Sio toto linasumbua watu mpaka kero
Tuwalee Watoto kwa maadili hata mimi nimepitia huko
Eti upite kikombe bila kukiondoa utakula kofi enzi hizo
Usafi ni mlolongo wa vitu vingi mkuu watu wanatupa taka hovyo unakuta mtu anaendesha gari anatupa kopo la maji alilolitumia ni juzi tu usafi wa abiria wa ma bus wameanza kuwekewa vitu vya kutupa taka ndani ya bus pamoja na vyoo watu walikua wanashuka kuchimba dawa porini vituo vya mafuta hawana vyoo vya kuweka wateja wao wakiwa wengi Usafi sio kitu kimoja ni mololongo..Nikweli katika hilo lakini hilo halikufanyi wewe Raia kuwa mchafu kwenye jamii yako.
Tena wafutwe wote wao wanajua kupokea mishahara tu kula, kutita na kulala.Hii ni dalili kamba elimu ya darasani pekee haijasaidia watu wetu ndiyo maana wabunge wa Dar, Wakuu wa Wilaya za Dar, Wakurugenzi wa Manispaa, Mkurugenzi wa Jiji, Meya na Wenyeviti Jiji na Manispaa, Mkuu wa Mkoa na watendaji wengine wote hawafanyi kazi yao mpaka wasukumwe, wakumbushwe au wafokewe.
Watu wetu wana uwezo mdogo wa kufanya kazi.
Jiji linahitaji watu wabunifu kuweka na kusimamia mipango ya usafi.
Hawa tulionao kwa sasa ni mzigo kwa wakazi wa Dar es salaam waondolewe.
Na tabia zote kwa ujumla kama uongo, wizi, na kutokuwajibikaMalezi ya hovyo yanachangia kwa kiasi kikubwa sana jamii kuendelea kuzama kwenye shimo la uchafu.
Lini hao watu watajegwa mkuu?Usafi ni mlolongo wa vitu vingi mkuu watu wanatupa taka hovyo unakuta mtu anaendesha gari anatupa kopo la maji alilolitumia ni juzi tu usafi wa abiria wa ma bus wameanza kuwekewa vitu vya kutupa taka ndani ya bus pamoja na vyoo watu walikua wanashuka kuchimba dawa porini vituo vya mafuta hawana vyoo vya kuweka wateja wao wakiwa wengi Usafi sio kitu kimoja ni mololongo..
Japan walipoenda WC mechi ilipoisha waliokota makopo yote ya ule Uwanja bila kujali nani katumia ile ni tabia yao wamengeka hivyo na sisi inatakiwa kwanza kuwajenga watu wapende usafi wasione ni adhabu..
Sio watanzania wote... Aina ya viongozi tulionao ni kutaja jina la Rais kila pahala Rais Samia Rais Samia ...huku kumsaidia kazi hawaweziHavipo ndiyo maana nimesema Watanzania ni wajinga sana.
Basi hujaona jukumu la manispaa au Halmashauri.Of course viongozi wanapwaya lakini viongozi hao ni watanzania kama wewe ni raia kama wewe. Kukwama kwao hiyo ni nembo kwamba jamii ya kitanzania ni wachafu na wajinga.
Mambo kama haya 👇👇 unataka serikali ije ikufanyie.
Jitu linatupa taka hovyo.
Jitu linatembea linavuta sigara hovyo.
Jitu linaenda toilet linatumia choo halisafishi linaacha uchafu wake pale(mkojo au kinyesi chake).
Jitu halipigi mswaki linatembea domo linanuka hovyo(alafu mijitu ya hivi inakuwa miongeaji sana wakati domo linanuka kama choo).
Jitu mvua ikinyesha tu linazibua chemba za uchafu.
Jitu linakula chakula au kitu ndani ya usafiri alafu linatupa uchafu nje.
Watanzania ni wachafu tu hakuna kusema viongozi hawajafanya hivi ama vile jamii hajitambui tu.
Kujenga ni pamoja na kuwa na mifumo ya kutupa taka kwenye majiji na vijijini.Lini hao watu watajegwa mkuu?
Nani atawajenga hao watu?
Tuendele kuwa wachafu mpaka pale hao watu watakapo jengwa?