Watanzania wengi ni wajinga sana.

Watanzania wengi ni wajinga sana.

uko Sinza.
Umefanya jukumu lako la kuweka nyumba na mazingira yako safi.

Taka unaziweka wapi?.
Utaweka kwa dustbin au trash bag na kutoa nje.
Mamlaka isipopita wiki nzima kuja kuzitoa . Nan atakuwa mchafu? .
Mbona hilo nimesha lieleza hapo juu kwenye uzi mkuu kasome tena pale mwishoni.
 
😂 Lazima nyeto ifike mbali ili tuwafungua macho waliopotea katika zimwi la mapenzi yenye kisonono
Una ujasiri Wa kutosha Mkuu, Nipunguzie kidogo at first nilijua ni AI .

Kwa mtindo huu Gen Z wamewazidi mbali wazee wetu kwenye nyanja ya upuuzi
 
Nyet0 To the Jumba Jeupe .

Nyeto kwenye Viunga Vya Ikulu Ndogo

Upi mkakati katibu mwenezi?
Baada ya kufanikisha vijana wengi zaidi kuingia kwenye nyeto pamoja na kuwashawishi vijana wengine waiingie huko, soon tutaanza kuwashawishi viongozi wa serikali na taasisi za dini kuhubiri na kusema kuhusu mazuri ya nyeto kwenye kila mikutano wanayofanya 😎
 
Baada ya kufanikisha vijana wengi zaidi kuingia kwenye nyeto pamoja na kuwashawishi vijana wengine waiingie huko, soon tutaanza kuwashawishi viongozi wa serikali na taasisi za dini kuhubiri na kusema kuhusu mazuri ya nyeto kwenye kila mikutano wanayofanya 😎
Naunga mguu hoja .

Nitumie account No niweke mzigo wa Maana kufanya mobilization.

Kitengo cha lobbying Na PR Kipo Tayari.
Wale Twaruka Prrrrr
 
Hizi Nchi za kiafrika ni za kipumbavu sana yaani majukumu ya watu ya kil siku eti Hadi Rais aseme ,imagine hapo Kuna Waziri wa Afya, mazingira na ustawi wajamii,Kuna watuwanaitwa maafisa mazingira huko wikayani,Kuna watu wanaitwa mabibi Afya Hadi kwenye kata yaani inashangaza sana.

Niliwahi andika siku moja kwamba Magufuli day imekufa nae.

Sasa Hilo la uchafu ni suala Moja kati ya mengi ambayo eti yanahitaji Rais aseme.
Hii nchi haina viongozi ina wachungulia fursa tu,tukisema katiba ibadilishwe wanatishambulia mfumo wa chama kimoja kilichojaa ufisadi ndio umeharibu na unaendelea kuharibu hii nchi.
 
Ni sahihi serikali inapwaya lakini raia nao ni wachafu tu hakuna kutetea hilo .

Au unataka na haya 👇👇 serikali ikufanyie.

Jitu linatupa taka hovyo.

Jitu linatembea linavuta sigara hovyo.

Jitu linaenda toilet linatumia choo halisafishi linaacha uchafu wake pale(mkojo au kinyesi chake).

Jitu halipigi mswaki linatembea domo linanuka hovyo(alafu mijitu ya hivi inakuwa miongeaji sana wakati domo linanuka kama choo).

Jitu mvua ikinyesha tu linazibua chemba za uchafu.

Jitu linakula chakula au kitu ndani ya usafiri alafu linatupa uchafu nje.

Na mauchafu mengine mengi.
Miundombinu ya uhifadhi na usafirishaji wa taka nani anawajibu wa kuiweka?unataka mwananchi taka atupie wapi kama mitaani hakuna wastebin au magari ya kuziondoa.?
 
Sio kweli,CCM haitekelezi Wala Kusimamia sheria Bali Kuna wahusika wanasemaga eti inategemea upepo wa Juu.

Ndio maana Huwa nawaambia watu wajinga kwamba utamaduni haubadikishwi Kwa Katiba Mpya Wala sheria ,hata uwe navyo havitaondoa rushwa mahakamani Wala Kwa trafiki
Hii nchi mkwamo upo kwenye katiba hususani usimamizi na uwajibikaji.

Bunge,mahakama na serikali vimeingiliwa na chama tena chama chenye viongozi mafisadi unategemea nini hapo zero uwqjibikaji zero usimamizi.
 
Hii ndiyo Tanzania yetu 😄😄

Ukiwa kiongozi mwenye hasira unaweza ishia kutembeza bakora kwa hasira
 
Miundombinu ya uhifadhi na usafirishaji wa taka nani anawajibu wa kuiweka?unataka mwananchi taka atupie wapi kama mitaani hakuna wastebin au magari ya kuziondoa.?
Mkuu hao pia nimewa-zungumzia kwenye uzi. Kiufupi hatuna viongozi nahiyo ni kwasababu ya ujinga wa kitanzania. Pesa za taka zinakusanywa lakini taka hawaji kubeba.
 
Mkuu watanzania wengi ni wachafu kwa kila kitu
Wanazidiwa ustaarabu na paka, akitaka kujisaidia
1. Anafukua shimo
2. Anagonga mhuri wake
3. Anafukia
4. Ananusa kujiridhisha kuwa harufu haisumbui watumiaji wengine wa ardhi au unga
 
Back
Top Bottom