Watanzania wengi ni wajinga sana.

Watanzania wengi ni wajinga sana.

Hellow wana JF.
Saizi mitandaoni, maredioni na viongozi wa jiji la Dar es salaam kuanzia mkuu wa mkoa, wabunge mpaka balozi wa nyumba kumi wanajifanya kukomalia usafi kwasababu Mh Rais alisema Dar es salaam ni chafu sana.

Inamaana Mh Rais asinge sema jiji lingeendelea kuwa chafu na kunuka mwanzo mwisho. Mpaka mtu mwenye akili timamu unakaa unajiuliza hawa watu ni watu wa design gani au ni maiti zinazo tembea? Au ni mambumbu yanayo jua kula na kulala tu.

Jitu linatupa taka hovyo.

Jitu linatembea linavuta sigara hovyo.

Jitu linaenda toilet linatumia choo halisafishi linaacha uchafu wake pale(mkojo au kinyesi chake).

Jitu halipigi mswaki linatembea domo linanuka hovyo(alafu mijitu ya hivi inakuwa miongeaji sana wakati domo linanuka kama choo).

Jitu mvua ikinyesha tu linazibua chemba za uchafu.

Jitu linakula chakula au kitu ndani ya usafiri alafu linatupa uchafu nje.

Majitu yanakuja kuchukua pesa za taka alafu taka hayaji kubeba.

Yani majitu ya Tanzania ni machafu sana na ndiyo maana hata ndoa nyingi hazidumu kwasababu majitu ni machafu hayaoni kinyaa kuzini/kulala na mume/wake za watu bila hata yakupima. Matokeo yake magonjwa ya zinaa yanawatesa kila siku takataka nyie.

Majitu ya Tanzania ni machafu/majinga hayajali afya zao wala afya za wengine.

UKIONA HIVYO UJUE BADO MFUMO WETU WA ELIMU HAUJAWA VIZURI HASA HUKU CHINI
MFANO: UNAWEZA KUSIKIA MTU ANAJIFIA SHULE YA MSINGI INA WAALIMU WENYE DEGREE BILA KUJIULIZA, WANA DEGREE YA KUFUNDISHA MASOMO GANI? KAMA UNABISHA WAPE HAO WALIMU WENYE DEGREE MTIHANI WA HESABU WA DARASA LA SABA. WANAWEZA KUPATA 30%
 
Basi hujaona jukumu la manispaa au Halmashauri.

Wewe ni mwanaume? Kama sio unaweza kukagua huyu kapiga mswaki au huyu lah?

Bado huoni tatizo kwa kuruhusu watu kupanga biashara na kujenga vibanda vya uchuuzi kwenye njia za watembea kwa miguu?

Bado huoni tatizo la uholela kuanzia makazi, viwanda, ufugaji ila wewe unaona vitu petty issues.

Sishangai na wao wakina sio jukumu lao, kama unavyoona wewe
Mkuu hayo yote uliyo yaandika ndiyo ujinga wa watanzani sasa.

Hao viongozi ni watanzania kama wewe, ni raia kama wewe, wanatoka kwenye jamii unayoishi wewe. Ndiyo maana uzi unasema "watanzania ni wajinga sana" haija bagua raia peke yake au viongozi peke yake "Watanzania" issue ya Tanzania na mazingira yake ni ya Watanzania wote.
 
Mkuu mimi nimeishi Oysterbay miaka 2 na sio Osterbay unayo isema wewe unafanya kazi.

Pia sina time yakuanza kuvutana na wewe hapa itakuwa ni kituko kama bado upo kwenye ujinga huu wakutetea Jiji la Dar es salaam kuwa ni safi.

Maeneo ya Oysterbay mengi yananuka mfano ni mitaa ya Buzwagi, Ubalozi wa Nigeria upo hapo Haile Selassie Road, Ali Hassan Mwinyi Road, Chole Road, Ghuba Road, Maeneo ya ubalozi n.k

Jiji la Dar ni la hovyo yani hata hizo sehemu prime nazo ni chafu hata ukienda oysterbay,masaki,mikocheni bado hauwezi kukosa mavifurushi ya uchafu.

Ni maandishi tu ila ni sehem hiyo hiyo moja tunazungumzia.
Na pia I doubt kama kweli umeishi oysterbay.

na Kuhusu kunuka uchafu , mm ndio haswaa hoja yangu iko.
Nitakupigia picha uone Ubalozi wa Nigeria na ili uone kama kuna hali ya Uchafu.

Hizo umetaja ni barabara.
Je barabaran kote kuna nuka na kuna mauchafu?.
Nitajie specific area. Niende nikaone.

Uchafu huwa wakusanya sehem moja ili gar la taka lipitie.
 
Kujenga ni pamoja na kuwa na mifumo ya kutupa taka kwenye majiji na vijijini.
Mkuu kila kitu cha hovyo tunajificha kwenye kichaka cha fulani mbona hajafanya hivi, yule mbona hajafanye hivi, mifumo mbona imekaa vile tutaendelea kusubiri na kwa ujinga huo mpaka mwisho.
 
Mkuu hayo yote uliyo yaandika ndiyo ujinga wa watanzani sasa.

Hao viongozi ni watanzania kama wewe, ni raia kama wewe, wanatoka kwenye jamii unayoishi wewe. Ndiyo maana uzi unasema "watanzania ni wajinga sana" haija bagua raia peke yake au viongozi peke yake "Watanzania" issue ya Tanzania na mazingira yake ni ya Watanzania wote.
Kwa hiyo raia wa kawaida ndio wanapanga miji au jiji?

Hujui nchi hii Kuna tabaka tawala halafu Kuna wewe ngumbalu ambaye unaiponda dar na kuisifia Arusha 😀😀😀😀😀

Tukubali Hali hii imeletwa na utawala mbovu Toka miaka ya 60 huko hadi Leo hii
 
Sio kweli,CCM haitekelezi Wala Kusimamia sheria Bali Kuna wahusika wanasemaga eti inategemea upepo wa Juu.

Ndio maana Huwa nawaambia watu wajinga kwamba utamaduni haubadikishwi Kwa Katiba Mpya Wala sheria ,hata uwe navyo havitaondoa rushwa mahakamani Wala Kwa trafiki
KATIBA MPYA MUHIMU WEWEE
 
UKIONA HIVYO UJUE BADO MFUMO WETU WA ELIMU HAUJAWA VIZURI HUKU CHINI
MFANO: UNAWEZA KUSIKIA MTU ANAJIFIA SHULE YA MSINGI INA WAALIMU WENYE DEGREE BILA KUJIULIZA, WANA DEGREE YA KUFUNDISHA MASOMO GANI? KAMA UNABISHA WAPE HAO WALIMU WENYE DEGREE MTIHANI WA HESABU WA DARASA LA SABA. WANAWEZA KUPATA 30%
Kazi kwelikweli mkuu.
 
Kwa hiyo raia wa kawaida ndio wanapanga miji au jiji?

Hujui nchi hii Kuna tabaka tawala halafu Kuna wewe ngumbalu ambaye unaiponda dar na kuisifia Arusha 😀😀😀😀😀

Tukubali Hali hii imeletwa na utawala mbovu Toka miaka ya 60 huko hadi Leo hii
😀 mkuu unazunguka sana naomba nikuulize swali.

Utawala mbovu umeletwa na kina nani?
 
😀 mkuu unazunguka sana naomba nikuulize swali.

Utawala mbovu umeletwa na kina nani?
Watu wenye fikra duni waliokuwa wanasema zidumu fikra za mwenyekiti.

Wenyewe walithamini chama kuliko nchi

Wenyewe hujiona ndio wenyewe na vazi lao la kijani ndio lenye thamani

Swali la kujiuliza Kila mtu ni mwanachama?
 
Kwa hiyo raia wa kawaida ndio wanapanga miji au jiji?

Hujui nchi hii Kuna tabaka tawala halafu Kuna wewe ngumbalu ambaye unaiponda dar na kuisifia Arusha 😀😀😀😀😀

Tukubali Hali hii imeletwa na utawala mbovu Toka miaka ya 60 huko hadi Leo hii

Kwa usafi labda angesema jiji la Moshi mjini.
Yule Mkurugenzi wa wakat ule alijitahidi na aliset vitu na tamaduni ambayo bado kwa kias kikubwa wanaendelea nayo.

Na hii wala haikuhitaji Kupeleka watu shule. Ni culture waliitengeneza.

Ila bado suala la waste disposal ni changamoto.
na hapa ndipo mamlaka zinatakiwa kufanya kazi yao kwa ufanisi.
 
Mkuu kila kitu cha hovyo tunajificha kwenye kichaka cha fulani mbona hajafanya hivi, yule mbona hajafanye hivi, mifumo mbona imekaa vile tutaendelea kusubiri na kwa ujinga huo mpaka mwisho.
Wewe unazungumzia usafi wa nyumbani mimi nazungumzia Usafi kwa Ujumla wake unaweza kuwa msafi maeneo yako ila huko kwingine ukikuta kuchafu unakereka Mkuu au unadhani tuzungumzie usafi wa ndani wakati mazingira yanayotunzuka ni machafu Michael Jackson alivyotua Dar alisema Jiji linanuka watu waliona amewakebehi kwa sababu wamezoea ile hali ya Uchafu.
 
Ni maandishi tu ila ni sehem hiyo hiyo moja tunazungumzia.
Na pia I doubt kama kweli umeishi oysterbay.

na Kuhusu kunuka uchafu , mm ndio haswaa hoja yangu iko.
Nitakupigia picha uone Ubalozi wa Nigeria na ili uone kama kuna hali ya Uchafu.

Hizo umetaja ni barabara.
Je barabaran kote kuna nuka na kuna mauchafu?.
Nitajie specific area. Niende nikaone.

Uchafu huwa wakusanya sehem moja ili gar la taka lipitie.
😀 Mkuu unanichekesha sana.

Nenda kapige picha kama unavyo sema kisha unitumie hapa labda picha yako naweza kusika harufu na kuona mazingira jinsi yalivyo kwasasa.
 
Kwa usafi labda angesema jiji la Moshi mjini.
Yule Mkurugenzi wa wakat ule alijitahidi na aliset vitu na tamaduni ambayo bado kwa kias kikubwa wanaendelea nayo.

Na hii wala haikuhitaji Kupeleka watu shule. Ni culture waliitengeneza.

Ila bado suala la waste disposal ni changamoto.
na hapa ndipo mamlaka zinatakiwa kufanya kazi yao kwa ufanisi.
Upo sahihi sana
 
Watu wenye fikra duni waliokuwa wanasema zidumu fikra za mwenyekiti.

Wenyewe walithamini chama kuliko nchi

Wenyewe hujiona ndio wenyewe na vazi lao la kijani ndio lenye thamani

Swali la kujiuliza Kila mtu ni mwanachama?
Sasa hao watu wenye fikra duni ni Raia wa wapi? Tanzania au Rwanda?
 
Wewe unazungumzia usafi wa nyumbani mimi nazungumzia Usafi kwa Ujumla wake unaweza kuwa msafi maeneo yako ila huko kwingine ukikuta kuchafu unakereka Mkuu au unadhani tuzungumzie usafi wa ndani wakati mazingira yanayotunzuka ni machafu Michael Jackson alivyotua Dar alisema Jiji linanuka watu waliona amewakebehi kwa sababu wamezoea ile hali ya Uchafu.
Mkuu kama kila mmoja akiwa msafi kwenye maeneo yake huo uchafu wa maeneo mengine unatoka wapi?
 
Mkuu kama kila mmoja akiwa msafi kwenye maeneo yake huo uchafu wa maeneo mengine unatoka wapi?
uko Sinza.
Umefanya jukumu lako la kuweka nyumba na mazingira yako safi.

Taka unaziweka wapi?.
Utaweka kwa dustbin au trash bag na kutoa nje.
Mamlaka isipopita wiki nzima kuja kuzitoa . Nan atakuwa mchafu? .
 
Back
Top Bottom