Watanzania 27 wanamiliki mabilioni Uswisi

Watanzania 27 wanamiliki mabilioni Uswisi

Bulesi,

..hivi waziri mkuu ana mamlaka ya kutuma watu kwenda nyumbani kwa waziri yeyote yule na kumsachi??

..mimi nadhani mwenye mamlaka hayo alikuwa ni Raisi, na alipaswa kufanya hivyo baada ya kumfuta kazi waziri wake.

..Raisi akiamua kumsachi waziri yeyote yule maana yake amepoteza imani naye. waziri huyo pia anapaswa kujiuzulu nafasi yake in protest ikiwa Raisi hatamfuta kazi.
jokaKuu,
Nadhani point zako hapo ndizo zilizompelekea Mwalimu kumzuia Sokoine asifanye msako nyumbani kwa Msuya.
 
Mkuu hii ya kuhusu Mh.Msuya kutaka kupekuliwa nyumbani kwake na Sokoine iliandikwa kwenye gazeti gani au ilitangazwa katika Redio gani? Pili ni zababu zipi zilizo sababisha Mh.Barongo kuwekwa korokoroni wakati wa wimbi la kamata kamata wahujumu uchumi. Nani alitoa amri ya kumuachia huru Mzee Barongo?
Soma bandiko la Bulesi. Na kuhusu Barongo labda tumtafute Pasco atusaidie.
 
Ritz,
Wale waliokutwa na 500,00 wakiwa mawaziri enzi ya Nyerere hukusema kwamba waliendelea kuwa ktk maradaka ya juu hadi wakati wa Mwinyi na Mkapa...mbona tunajua toka zamani kuhusu Ufisadi huu lakini tukisema mnataka ushahidi..

Well itapita karne na karne maana walikuwepo wengi tu na upepo ulishapita. hata wa majuzi kina Maige upepo umeshapita hatuwazungumzii tena kwa sababu hatuna ushahidi.
 
Maskini.....watazila hizo fedha lini??? Wawekeni hapa jamvini tuwajue. Hizo fedha haziwezi kurudishwa????
 
shamba la bibi hili,hata mtoto wa kigogo aliyemtaja rage kwenye sakata la mbuyu twite ukute naye ana trilioni zake kadhaa za ngada huko
 
baadhi ya wafanyakazi wa mabenki ya uswiss siku hizi wanauza taarifa za kibenki, bora tu ufike dau.
wajerumani wamenunua hizi taarifa kuhusu raia wao wanaokwepa kodi na juzi tu wamedai wataendelea
kununua hizo taarifa japokuwa mabenki ya kiswiss yanawalalamikia wajerumani.
 
Serikali ya Marekani imeibana Credit Suisse mpaka Credit Suisse imetoa majina ya wateja wake raia wa Marekani waliokwepa kodi Marekani na kulimbikiza hela zao Uswizi.

Waswizi wamebadilisha sheria zao hivi karibuni, hasa baada ya kuona aibu kuhusu swala la viongozi wa nchi masikini kuiba fedha na kuzilimbikiza huko.

Siku hizi ukiwa na sababu nzuri, Waswizi wanaingilika na wanatoa habari za kibenki za walioweka hela kwao.

A Swiss bank account is not what it used to be. Wajanja wanapeleka kwingine.
 
Hakuna kwingine Kiranga...yote ni suala la muda tu. Hata huko Dubai nako taarifa zitatoka kama Uswisi.
 
Du kutokuwa mzalendo si kosa!!! Wala kupeleka fedha nje??? hakika uko sahihi lakini hata "Daktari kula wagonjwa wake si kosa !!!!!!!"

Mbugi; unataka kusema kukosa uzalendo ni illegal? Hebu nipe mfano wa mtu aliyewahi kushtakiwa kwaajili yakukosa uzalendo e.g. kuweka fedha halali nje ya nchi, kuajiri mkenya au raia wa nje na kumwacha mtanzania etc etc. Kula mtu ni illegal, regardless awe Daktari or not. Sioni unawezaje kufananisha hivyo vitu viwili-unaweza ukanifafanulia hapo?.
 
acheni wivu kumbe zinamilikiwa na watanzania tatizo liko wapi? mlitaka nani amiliki kama c watanzania?
 
mkuu wewe ndio mchochezi kwa kuleta udakau wa kwenye magazeti hapa jamvini

rits v/s makupa, rits lazima uibuke mshindi kwa sababu kwa hili umeamua kuacho posho na kusimamia ukweli naamini makupa bado anapokea kutoka kwa magamba. Umefungua vizuri sana na eid hongera mwenyezi mungu0 akujaarie afya fikra njema tuiokoe nchi insharal
 
Hizo ni uswisi tu, sasa tujuwe na offshore wana ngapi? Wenye assets kama majumba na mahoteli nje ya Tanzania na ambao sio wafanya biashara au wazee wao walikuwa watumishi wa serikalini wakawaachia majumba ya urithi nje, wote hao waanikwe.
 
jamaa mmoja wa nje alipata niuliza "hivi pesa zote za misaada mmepeleka wapi?" naoana likifanyika hilo usemalo zomba jibu litapatikana.
 
Shame on you ccm muda wenu umefika kuondoka kwa nguvu za umma leteni majuna bwana kama journalist investigator KUBENEA nimemiss sana news zake tuko nawe siku zote mbaka kieleweke
 
Mimi nilimsikia kwa masikio yangu RADIONI Nyerere akitoa mfano huo wa gari kwenda mwendo wa kasi kwenye mashimo. Hebu twambie wahandishi wa habari walipo mzonga Baba wa Taifa kuhusu kuachiliwa huru Barongo, Nyerere alijibu nini? - na kumbuka alikuwa amekasirishwa na maswali kuhusu Barongo. Mimi siwezi kujuwa unataka kupre-empty kitu gani au kuna kitu gani kimakukera.

Sikuwahi kusikia Mh. Msuya amewekwa kuzuizini/kufungwa wakati wa operation ya kukamata wahujumu uchumi - sasa hapo sijuhi anaye TUNGA ni nani kati yako na mimi?

Unaweza kweli kuthibitishia wana JF kwamba Mh.Msuya aliwahi kutuhumiwa katika sakata la kuhujumu uchumi? au kuthibitisha kwamba Nyerere aliwahi kuzungumza chochote kuhusu Mh.Msuya na kashifa HIZO, zaidi ya the late Barongo?

Nasaidia tuu ,,,, nadhani ni Mzee Balongo lakini mwalimu alijibu kwa jeuli sana pale msasani from my dady history sijasahau
 
Back
Top Bottom