Watanzania 27 wanamiliki mabilioni Uswisi

Ndani ya Serikali hii hakuna mwenye jeuri ya kuwahoji hao watu,hili ni changa la macho tuache kutafakari bomu la arusha turukie ishu nyingine.......yani nyani amuhoji ngedere kwanini kala mahindi ya mzee Tanzania? Shamba la mzee Tanzania linaliwa na yeyote mjanja wala hakuna wa kumuuliza mwenzake ili mradi tu unafahamiana na walinzi wa getini(CCM)......kama unabisha rejea ile kauli ukitaka biashara yako iende fresh basi jiunge CCM.
 
Hawa ndio Watanzania walioficha fedha Uswisi

Kwamuda wa miaka miwili sasa tangu tulipoanza kazi nzito ya upelelezi wa wakubaini na kuzuia uingizaji na utoroshaji wa pesa nchini,

Juhudi zetu zimeanza kuzaa matunda baada ya kubaini majina halisi ya watanzania walioficha fedha nje ya nchi na wanaoingiza fedha haramu nchini.
Kwakushirikiana na mashirika ya kijasusi ya CIA-USA, M1-6-UK, RAW-India, DGSE-Ufaransa, FSB Urusi, ISI Pakistan, na MSS-China, ambayo yamekuwa yakifuatilia nyendo za fedha haramu hasa za kighaidi dunia, tumefanikiwa kutambua Watanzania, Wakenya, Waafrika kusini, Waganda na Wakongo wengi matajiri walioficha fedha uswisi.
Hapa nitawaorodhesha Watanzania tu;
Orodha ni ndefu ila hapa ni wale walioficha zaidi ya USD $3.5 mmilion kila moja. Wamo wanasiasa pamoja na wafanyabiashara kadhaa maarufu. Imebainikwa kwamba fedha nyingi za wanasiasa zimewekwa na makampuni ya nje yenye shughuli Tanzania. Wamo hata Makatibu Wakuu Wizarani na wakurugenzi ila hawajafikia USD3.5million ndio maana majina yao hayamo.
Orodha kamili ni:

Jakaya M. Kikwete, January Makamba, Abdalla Kighoda, Nimrod Mkono, Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Yusuf Makamba, Edward Lowassa, Rostam Aziz, Yusuf Manji, Ridhiwani Kikwete, Mohamed Dewji, Bernard Membe, Paul Chagonja , Zitto Kabwe, William B. Mkapa, Said Mwema, Abdulrahman Shimbo, Edward Hosea, Daudi T.S Balali, Basil Mramba,Mustapha Mkullo, Grey Mgonja, Patrick Rutabanzibwa,Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Onoko Okesukwu mwenye asili ya Kinigeria, Awadh Mohamed (mwenye uraia wa msomalia) na Subhash Patel

Orodha ya wanaoingiza pesa chafu/haramu na kuzitakatisha ni ndefu nitawawataja kadiri muda utakavyo niruhusu.

Ubarikiwe mkuuu
 
Mimi nawataja wawili tu ambao sina shaka nao 1.Andrew Chenge 2.Lt General Shimbo,,,,,wengine jazilizeni !!
 
sasa kama Zitto yupo mbona alilianzisha bungeni? kwa nn kamati kuu isikutane haraka kumjadili??
 
Kwa kumuingiza ZZK katika orodha hii unaifanya orodha yako kupoteza uhalali wa kuaminiwa kwani kwa juhudi alizokuwa nazo ZZK katika sakata hili haiwezekani kuwemo katika orodha hiyo labda unafanya hivyo tu ili kuondoa maana halisi ya tuhuma hizo na lengo likiwa kuendeleza usanii kama mlivyozoea.
 
Ndugu wan jf,kuuliza si ujinga,kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo,mpaka sasa wameshahojiwa watu 200 kuhusiana na kuficha hela huko Uswisi,naomba mnisaidia nami niwajue hao wezi wa kodi zetu.

Nnaomba kuuliza jamani,hivi Balal yupo wapi?
 
Zito! Aaahg c kweli bhana,ingekuwa kweli asingeshobokea kuundwa kwa tume huru kuchunguza hii kashfa. Sema tu humu jf wengi haampendi kamanda Zito.
 
Hawa ndio Watanzania walioficha fedha Uswisi

Kwamuda wa miaka miwili sasa tangu tulipoanza kazi nzito ya upelelezi wa wakubaini na kuzuia uingizaji na utoroshaji wa pesa nchini,

Juhudi zetu zimeanza kuzaa matunda baada ya kubaini majina halisi ya watanzania walioficha fedha nje ya nchi na wanaoingiza fedha haramu nchini.
Kwakushirikiana na mashirika ya kijasusi ya CIA-USA, M1-6-UK, RAW-India, DGSE-Ufaransa, FSB Urusi, ISI Pakistan, na MSS-China, ambayo yamekuwa yakifuatilia nyendo za fedha haramu hasa za kighaidi dunia, tumefanikiwa kutambua Watanzania, Wakenya, Waafrika kusini, Waganda na Wakongo wengi matajiri walioficha fedha uswisi.
Hapa nitawaorodhesha Watanzania tu;
Orodha ni ndefu ila hapa ni wale walioficha zaidi ya USD $3.5 mmilion kila moja. Wamo wanasiasa pamoja na wafanyabiashara kadhaa maarufu. Imebainikwa kwamba fedha nyingi za wanasiasa zimewekwa na makampuni ya nje yenye shughuli Tanzania. Wamo hata Makatibu Wakuu Wizarani na wakurugenzi ila hawajafikia USD3.5million ndio maana majina yao hayamo.
Orodha kamili ni:

Jakaya M. Kikwete, January Makamba, Abdalla Kighoda, Nimrod Mkono, Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Yusuf Makamba, Edward Lowassa, Rostam Aziz, Yusuf Manji, Ridhiwani Kikwete, Mohamed Dewji, Bernard Membe, Paul Chagonja , Zitto Kabwe, William B. Mkapa, Said Mwema, Abdulrahman Shimbo, Edward Hosea, Daudi T.S Balali, Basil Mramba,Mustapha Mkullo, Grey Mgonja, Patrick Rutabanzibwa,Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Onoko Okesukwu mwenye asili ya Kinigeria, Awadh Mohamed (mwenye uraia wa msomalia) na Subhash Patel

Orodha ya wanaoingiza pesa chafu/haramu na kuzitakatisha ni ndefu nitawawataja kadiri muda utakavyo niruhusu.

DAUDI BALALIIIIIIII!!!!!!.bado yupo hai?
 
Kwa kumuingiza ZZK katika orodha hii unaifanya orodha yako kupoteza uhalali wa kuaminiwa kwani kwa juhudi alizokuwa nazo ZZK katika sakata hili haiwezekani kuwemo katika orodha hiyo labda unafanya hivyo tu ili kuondoa maana halisi ya tuhuma hizo na lengo likiwa kuendeleza usanii kama mlivyozoea.

mchawi akiwanga huwa ndo wa kwanza kupiga kelele atafutwe mganga wa jadi ili aliyehusika na tukio akamatwe ili siku akikamatwa yeye kila mtu atakataa kuamini kama ndiye mhusika! wote watamtetea!
 
Ndugu wan jf,kuuliza si ujinga,kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo,mpaka sasa wameshahojiwa watu 200 kuhusiana na kuficha hela huko Uswisi,naomba mnisaidia nami niwajue hao wezi wa kodi zetu.

yaani mkuu nilivokuja nduki kuwaona ni kina nani kumbe unauliza siku nyengine andika kichwa cha habari vizuri khaa..
 
Ukitaka kujua ni Uongo wewe chukua idadi ya watu waliopo kwenye ile tume, Anagalia majukumu yao kitaifa, alafu kisia tu watu hata Hamsini unaohisi wanatakiwa kuhojiwa alafu panga ratiba kama utawaita mmoja mmoja au wawiliwawili kwa siku kuwahoji kwenye hiyo tume.

Sasa imagine kwa muda huo walitiumia unaweza kweli kuwahoji watu 200 ?

Unless iwe waliandikiwa maswali wayajibu kwa barua.
 
Hawa ndio Watanzania walioficha fedha Uswisi

Kwamuda wa miaka miwili sasa tangu tulipoanza kazi nzito ya upelelezi wa wakubaini na kuzuia uingizaji na utoroshaji wa pesa nchini,

Juhudi zetu zimeanza kuzaa matunda baada ya kubaini majina halisi ya watanzania walioficha fedha nje ya nchi na wanaoingiza fedha haramu nchini.
Kwakushirikiana na mashirika ya kijasusi ya CIA-USA, M1-6-UK, RAW-India, DGSE-Ufaransa, FSB Urusi, ISI Pakistan, na MSS-China, ambayo yamekuwa yakifuatilia nyendo za fedha haramu hasa za kighaidi dunia, tumefanikiwa kutambua Watanzania, Wakenya, Waafrika kusini, Waganda na Wakongo wengi matajiri walioficha fedha uswisi.
Hapa nitawaorodhesha Watanzania tu;
Orodha ni ndefu ila hapa ni wale walioficha zaidi ya USD $3.5 mmilion kila moja. Wamo wanasiasa pamoja na wafanyabiashara kadhaa maarufu. Imebainikwa kwamba fedha nyingi za wanasiasa zimewekwa na makampuni ya nje yenye shughuli Tanzania. Wamo hata Makatibu Wakuu Wizarani na wakurugenzi ila hawajafikia USD3.5million ndio maana majina yao hayamo.
Orodha kamili ni:

Jakaya M. Kikwete, January Makamba, Abdalla Kighoda, Nimrod Mkono, Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Yusuf Makamba, Edward Lowassa, Rostam Aziz, Yusuf Manji, Ridhiwani Kikwete, Mohamed Dewji, Bernard Membe, Paul Chagonja , Zitto Kabwe, William B. Mkapa, Said Mwema, Abdulrahman Shimbo, Edward Hosea, Daudi T.S Balali, Basil Mramba,Mustapha Mkullo, Grey Mgonja, Patrick Rutabanzibwa,Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Onoko Okesukwu mwenye asili ya Kinigeria, Awadh Mohamed (mwenye uraia wa msomalia) na Subhash Patel

Orodha ya wanaoingiza pesa chafu/haramu na kuzitakatisha ni ndefu nitawawataja kadiri muda utakavyo niruhusu.

Duuhh.......
 
Back
Top Bottom