Unstoppable
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,046
- 387
Wakuu tuanze kwa kutaja majina ya wanaoshakiwa; na baadaye tuyapigie kura.
Kiongozi wa juu serikalini, no doubt
1. JK wa sasa, then
2.
3.
Mkuu, nahisi kwenye hii list JK /kiongozi wa juu wa serikali hayupo. Hiki kitu ninavyokiona ni CCM against CCM wenyewe wameamua kuchomeana. Kuna kundi linaloficha hela Uarabuni/Dubai na lingine linaloficha hela Uswisi. Sasa nafikiri lile la Dubai (akiwepo JK) ndio linalo-push hii issue forward kwa lengo fulani. It may be wanajaribu kumchafua/kumuumbua mtu/watu fulani ndani ya hao hao CCM; ambae ameikosoa serikali au ame-challenge serikali hii. Inawezekana kati ya hao wanaotaka Rais avuliwe uenyekiti wa CCM; kuna wanaoweka fedha Uswisi na ukiangalia vizuri baadhi yao ni viongozi wa serikali zilizopita. Inawezekana pia ni kuchafuana kwa makundi katika pilikapilika za mbio za uraisi. Nilicho na uhakika nacho ni kwamba wanao-push hii issue forward (behind the scene) ni kundi ndani ya CCM. Hili utaliona wazi kwani; baadhi ya wana CCM wameshikia bango kutajwa majina kwa hawa watu kitu ambacho sio normal kwa CCM.
However; hatutaacha kuwapongeza wale wenye nia dhabiti-nia ya uzalendo yakusafisha nchi na chama kwa ujumla na sio visasi au kuchafuana. Ninavyofahamu; kinara wa kuweka pesa Uswisi anayefahamika na wengi ni mzee wa kusini Che-Mkapa. Nakubaliana na wengine kwamba; kuwa na pesa nyingi si hoja kama wataweza kueleza jinsi walivyozipata. Nafikiri kwa mtizamo wakizalendo; huwezi kuwekeza that much money kwa nchi nyingine wakati ungeweza kuwekeza nchini kwako kama kweli hiyo pesa ni halali (at least this is how I see it). Lakini pia kutokuwa mzalendo sio kosa vile vile. Nafikiri tukivuta subira tutajua majina na vile vile tutajua chanzo cha hii issue kuwa pushed forward now kwani hii scandle ilikuwa inafahamika siku nyingi tu.