Watanzania 27 wanamiliki mabilioni Uswisi

Watanzania 27 wanamiliki mabilioni Uswisi

Wanabodi,

Watanzania 27 wakiwamo wanasiasa na wafanya biashara, imebainika kuwa ndio wameficha mabilioni ya fedha nchini Uswisi, huku mmoja wao akiwa anamiliki Dola za Marekani milioni 56 (sawa na Sh89.6 bilioni).

Taarifa hizo zinaeleza kuwa mbali na kigogo anayemiliki Sh90 bilioni, wapo wengine wanne, ambapo anayefuatia anamiliki Dola 30 milioni (Sh48 bilioni) mwingine Dola 20 milioni (Sh32 bilioni) na wengine wawili kila mmoja anamiliki Dola 10 milioni (Sh16 bilioni). Katika orodha ya walioweka fedha nchini humo, pia wamo wawili waliowahi kuwa mawaziri katika Serikali ya Awamu ya kwanza ya Mwalimu Julius Nyerere, ambao wanamiliki Dola 500,000 kwa kila mmoja.

Miongoni mwa wanaomiliki fedha hizo ni kiongozi wa juu nchini pamoja na aliyepata kuwa waziri katika Serikali ya Awamu ya Tatu iliyoongozwa na Rais Benjamin Mkapa.

SOURCE: MWANANCHI AGOSTI 18 2012

safi naona unaelekea katika uzalendo halisi welcome Mr Ritz
 
Nasaidia tuu ,,,, nadhani ni Mzee Balongo lakini mwalimu alijibu kwa jeuli sana pale msasani from my dady history sijasahau

Nashukuru sana mkulu kwa ufafanuzi wako, Kambarage alikuwa ana fadhila sana kwa watu walio toa mchango wa hali na mali wakati wa mapambano na wakoloni; the late Mzee Balongo alikuwa mmoja wao na wengine ninao wakumbuka kwa kuelezwa na mzazi wangu ni akina: Mzee S.Kagasheki, Ali Migeyo(Ali Matata) na wengine.
 
Ndugu wan jf,kuuliza si ujinga,kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo,mpaka sasa wameshahojiwa watu 200 kuhusiana na kuficha hela huko Uswisi,naomba mnisaidia nami niwajue hao wezi wa kodi zetu.
 
Kama wamo ndani ya Serikali au wanachama wa chama kikuu cha upinzani 2015 hawatatajwa kwa hivi sasa tusubiri 2015 watatajwa na chama tawala cha wakati huo.
 
Abdulhaman Shimbo ambae sasa amepewa ubalozi china. Kwa uteuzi huu ni dhahili kuwa Fast Jet ni mshiriki wa Shimbo kwenye dau la matrllioni ya shilingi yaliyofichwa nje ya nchi!!!!
 
Hajahojiwa hata mmoja, tumepigwa changa la macho
 
Nazjaz habari za siku mpenzi vip shule inasemaje
 
said mwema,jenelari mstaafu Abrahamani Shimbo, Rostama Azizi,Ritz1
 
Ndugu wan jf,kuuliza si ujinga,kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo,mpaka sasa wameshahojiwa watu 200 kuhusiana na kuficha hela huko Uswisi,naomba mnisaidia nami niwajue hao wezi wa kodi zetu.

Mtanzania akiwekeza Uswisi anaambiwa kaficha fedha uswisi. Mswisi, Kaburu, Mjerumani, Mchina, Mmarekani, n.k. akificha fedha Tanzania kwenye tanzanite anaitwa mwekezaji vipi..?!!
 
Ndugu wan jf,kuuliza si ujinga,kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo,mpaka sasa wameshahojiwa watu 200 kuhusiana na kuficha hela huko Uswisi,naomba mnisaidia nami niwajue hao wezi wa kodi zetu.
kama wale wa ELPA waliorudisha fedha hatujatajiwa si rahisi kwa hawa walioficha
 
1.Chenge.
2.kalamagi
3.Shimbo
4.Ritz one
5.B/one
6.Mangula
7.Balali
8.Lowasa
9.mboma
10.Mwema
11:Maige
12.
13:
14:
 
Kamati yenyewe inaongozwa na Werema, change la macho na ufujaji wa pesa nyingine
 
ccm imeshajiua yenyewe kinachonishangaza ni kwa nini watanzania tunashindwa kuandaa mazishi makubwa ya kihistoria kuizika.
 
Hawa ndio Watanzania walioficha fedha Uswisi

Kwamuda wa miaka miwili sasa tangu tulipoanza kazi nzito ya upelelezi wa wakubaini na kuzuia uingizaji na utoroshaji wa pesa nchini,

Juhudi zetu zimeanza kuzaa matunda baada ya kubaini majina halisi ya watanzania walioficha fedha nje ya nchi na wanaoingiza fedha haramu nchini.
Kwakushirikiana na mashirika ya kijasusi ya CIA-USA, M1-6-UK, RAW-India, DGSE-Ufaransa, FSB Urusi, ISI Pakistan, na MSS-China, ambayo yamekuwa yakifuatilia nyendo za fedha haramu hasa za kighaidi dunia, tumefanikiwa kutambua Watanzania, Wakenya, Waafrika kusini, Waganda na Wakongo wengi matajiri walioficha fedha uswisi.
Hapa nitawaorodhesha Watanzania tu;
Orodha ni ndefu ila hapa ni wale walioficha zaidi ya USD $3.5 mmilion kila moja. Wamo wanasiasa pamoja na wafanyabiashara kadhaa maarufu. Imebainikwa kwamba fedha nyingi za wanasiasa zimewekwa na makampuni ya nje yenye shughuli Tanzania. Wamo hata Makatibu Wakuu Wizarani na wakurugenzi ila hawajafikia USD3.5million ndio maana majina yao hayamo.
Orodha kamili ni:

Jakaya M. Kikwete, January Makamba, Abdalla Kighoda, Nimrod Mkono, Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Yusuf Makamba, Edward Lowassa, Rostam Aziz, Yusuf Manji, Ridhiwani Kikwete, Mohamed Dewji, Bernard Membe, Paul Chagonja , Zitto Kabwe, William B. Mkapa, Said Mwema, Abdulrahman Shimbo, Edward Hosea, Daudi T.S Balali, Basil Mramba,Mustapha Mkullo, Grey Mgonja, Patrick Rutabanzibwa,Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Onoko Okesukwu mwenye asili ya Kinigeria, Awadh Mohamed (mwenye uraia wa msomalia) na Subhash Patel

Orodha ya wanaoingiza pesa chafu/haramu na kuzitakatisha ni ndefu nitawawataja kadiri muda utakavyo niruhusu.
 
Back
Top Bottom