Watanzania 27 wanamiliki mabilioni Uswisi

Watanzania 27 wanamiliki mabilioni Uswisi

Hawa ndio Watanzania walioficha fedha Uswisi

Kwamuda wa miaka miwili sasa tangu tulipoanza kazi nzito ya upelelezi wa wakubaini na kuzuia uingizaji na utoroshaji wa pesa nchini,

Juhudi zetu zimeanza kuzaa matunda baada ya kubaini majina halisi ya watanzania walioficha fedha nje ya nchi na wanaoingiza fedha haramu nchini.
Kwakushirikiana na mashirika ya kijasusi ya CIA-USA, M1-6-UK, RAW-India, DGSE-Ufaransa, FSB Urusi, ISI Pakistan, na MSS-China, ambayo yamekuwa yakifuatilia nyendo za fedha haramu hasa za kighaidi dunia, tumefanikiwa kutambua Watanzania, Wakenya, Waafrika kusini, Waganda na Wakongo wengi matajiri walioficha fedha uswisi.
Hapa nitawaorodhesha Watanzania tu;
Orodha ni ndefu ila hapa ni wale walioficha zaidi ya USD $3.5 mmilion kila moja. Wamo wanasiasa pamoja na wafanyabiashara kadhaa maarufu. Imebainikwa kwamba fedha nyingi za wanasiasa zimewekwa na makampuni ya nje yenye shughuli Tanzania. Wamo hata Makatibu Wakuu Wizarani na wakurugenzi ila hawajafikia USD3.5million ndio maana majina yao hayamo.
Orodha kamili ni:

Jakaya M. Kikwete, January Makamba, Abdalla Kighoda, Nimrod Mkono, Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Yusuf Makamba, Edward Lowassa, Rostam Aziz, Yusuf Manji, Ridhiwani Kikwete, Mohamed Dewji, Bernard Membe, Paul Chagonja , Zitto Kabwe, William B. Mkapa, Said Mwema, Abdulrahman Shimbo, Edward Hosea, Daudi T.S Balali, Basil Mramba,Mustapha Mkullo, Grey Mgonja, Patrick Rutabanzibwa,Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Onoko Okesukwu mwenye asili ya Kinigeria, Awadh Mohamed (mwenye uraia wa msomalia) na Subhash Patel

Orodha ya wanaoingiza pesa chafu/haramu na kuzitakatisha ni ndefu nitawawataja kadiri muda utakavyo niruhusu.

Porojo
 
HAPO KWA ZITO KUNA KAWALAKINI FULANI?.Kama cyo chuki binafisi?.
 
Sasa wa kuhoji ndo watuhumiwa wakuu hapa inakuwaje sasa? Serikali za awamu hizi mbili za mwisho Tz ni majanga aisee ..kumbe na ZZK yumo?
 
mchawi akiwanga huwa ndo wa kwanza kupiga kelele atafutwe mganga wa jadi ili aliyehusika na tukio akamatwe ili siku akikamatwa yeye kila mtu atakataa kuamini kama ndiye mhusika! wote watamtetea!

Umeongea pointi mkuu, ndivyo ilivyo. Binafsi huwa sina imani na watu wa aina ya Zzk! Sifa zao zinafanana fanana na Ruto wa kenya, unafiki huwa ni mwingi sana ktk kauli zao, Si watu wa kuaminiwa
 
Ndugu wan jf,kuuliza si ujinga,kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo,mpaka sasa wameshahojiwa watu 200 kuhusiana na kuficha hela huko Uswisi,naomba mnisaidia nami niwajue hao wezi wa kodi zetu.

Hii issue imeibuliwa kuondoa watanzania kwenye focus ya Mlipuko wa bomu Arusha.
 
Mmmmmmhhhhhhh!!!!!!!!!!! ZZK pole ila watz tunahitaj kauli yako thabit naya ukweli katika hili
 
Hivi kwa nini hii serikali imekaa kimya kuhusu mabilioni ya pesa yaliyofichwa Uswisi?
 
vyombo vya habari vyetu bana..sasa kulikuwa na haraka gani ya kuandka habari hii ambayo sii mpya wakati majina hamna?... made in TZ in atisha.
 
huu ni upuuzi tu...kuleta story nyingi wakati awana majina watulete hayo majina tuwajue matajiri wetu wa hapa tanzania
 
Hii serikali ya CCM kweli wamejaa mafisadi.Watanzania tusahau kuwafahamu hao majangili walioficha pesa nje.Serikali imesema haina fungu la fedha kufuatilia mapesa hayo.
Madawa ya kulevya,ujangili kuua wanyama wetu,ufisadi kwenye mashirika ya umma,tenda hewa,utoroshaji hela nje nk Huduma duni za afya,elimu kuporomoka,ujambazi wa kutumia silaha,maji hakuna nk Tukihoji,tunapigwa kwa amri ya Mh sana Waziri Mkuu wa JMT. Tufanye nini?
 
Back
Top Bottom