Utajiri 'wa kufuru' wa Elon Musk

Utajiri 'wa kufuru' wa Elon Musk

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,412
Reaction score
15,449
Mmiliki wa makampuni ya teknolojia ya SpaceX na Tesla, Elon Musk, anakaribia kuweka rekodi ya kuwa trilionea ambayo wa kwanza dunia kwa kufikia utajiri wa zaidi ya dola trilioni moja.

Kwa sasa Musk anamiliki hisa zenye thamani ya takribani dola bilioni 273 kupitia kampuni ya Tesla pekee. Lakini ikiwa thamani ya kampuni yake ya SpaceX itaendelea kupanda kama ambavyo wawekezaji wengi wanatarajia, utajiri wake unaweza kuongezeka kwa mamia ya mabilioni ya dola zaidi.

Umiliki wake kwa pamoja Tesla na SpaceX unaweza kufikisha thamani inayozidi dola trilioni 1.1. Hiyo ni sawa na dola bilioni 1,100 au dola milioni milioni 1.1.

Ni kiwango cha utajiri ambacho hakijawahi kufikiwa na mtu yeyote katika historia ya dunia. Lakini dola trilioni moja ni kiasi gani hasa? Huu ni mifano 7 kuonyesha ukubwa wa fedha hizo.

Lakini dola trilioni moja ni kiasi gani hasa?

Dola trilioni moja ni sawa na dola bilioni 1,000, unaweza kuitumia miaka zaidi ya 5,000.

Njia ya pili ya kuelewa kiasi hicho ni kuigawanya kwa watu wote duniani. Kwa sasa idadi ya watu duniani inakadiriwa kufikia takribani bilioni 8.3. Kama Musk ataamua na kugawa dola trilioni 1.1 kwa kila mtu duniani mpaka watoto, basi kila mtu angepata karibu dola 133.

Hiyo ni sawa na takribani shilingi za Tanzania 350,000 kwa kila mtu au karibu shilingi za Kenya 17,000 kwa kila mtu. Kwa familia ya watu watano au 6, mgao huo ungefikia karibu shilingi milioni 2 za Tanzania au karibu shilingi 90,000 za Kenya.

Na kama kila mmoja angeamua kutumia shilingi 100,000 za Tanzania kwa siku, fedha hizo zingemtosha kwa zaidi ya siku tatu mfululizo bila kufanya kazi yoyote.
 
CCM wapo ambao hawajawahi kufanya biashara lakini wamemzidi.
 
Leo ni Jumamosi siku pekee ya wiki ambayo baadhi ya makazi ilikuwa wapate maji lakini leo maji hayatoki!
 
Mmiliki wa makampuni ya teknolojia ya SpaceX na Tesla, Elon Musk, anakaribia kuweka rekodi ya kuwa trilionea ambayo wa kwanza dunia kwa kufikia utajiri wa zaidi ya dola trilioni moja.

Kwa sasa Musk anamiliki hisa zenye thamani ya takribani dola bilioni 273 kupitia kampuni ya Tesla pekee. Lakini ikiwa thamani ya kampuni yake ya SpaceX itaendelea kupanda kama ambavyo wawekezaji wengi wanatarajia, utajiri wake unaweza kuongezeka kwa mamia ya mabilioni ya dola zaidi.

Umiliki wake kwa pamoja Tesla na SpaceX unaweza kufikisha thamani inayozidi dola trilioni 1.1. Hiyo ni sawa na dola bilioni 1,100 au dola milioni milioni 1.1.

Ni kiwango cha utajiri ambacho hakijawahi kufikiwa na mtu yeyote katika historia ya dunia. Lakini dola trilioni moja ni kiasi gani hasa? Huu ni mifano 7 kuonyesha ukubwa wa fedha hizo.

Lakini dola trilioni moja ni kiasi gani hasa?

Dola trilioni moja ni sawa na dola bilioni 1,000, unaweza kuitumia miaka zaidi ya 5,000.

Njia ya pili ya kuelewa kiasi hicho ni kuigawanya kwa watu wote duniani. Kwa sasa idadi ya watu duniani inakadiriwa kufikia takribani bilioni 8.3. Kama Musk ataamua na kugawa dola trilioni 1.1 kwa kila mtu duniani mpaka watoto, basi kila mtu angepata karibu dola 133.

Hiyo ni sawa na takribani shilingi za Tanzania 350,000 kwa kila mtu au karibu shilingi za Kenya 17,000 kwa kila mtu. Kwa familia ya watu watano au 6, mgao huo ungefikia karibu shilingi milioni 2 za Tanzania au karibu shilingi 90,000 za Kenya.

Na kama kila mmoja angeamua kutumia shilingi 100,000 za Tanzania kwa siku, fedha hizo zingemtosha kwa zaidi ya siku tatu mfululizo bila kufanya kazi yoyote.
Utajili wa jamaa umeongezeka zaidi hii imejili baada ya hisa zake za Space X kuuzwa sokoni Sasa anamiki utajili wa dollar trillion 1

yaani Trillion 1 dollar ni sawa mtu atumie $1 million kwa siku ambayo ni sawa na billion 2 na million 600 ya kitanzania itamchukua miaka 2740 hivi ili aimalize hiyo pesa au Akiamua atulipie deni letu la taifa trilion 114 atalilipa zaidi mara 22 na kubakiwa na pesa ambayo akimpa diamond platnum na alikiba wanachoma studio na kuanza kula hiyo hela mpaka kizazi chao cha tatu bila kufanya kazi

iko hivi ukipewa hiyo hela itakulazimu Kila siku utumie $1 million ambayo ni sawa na kununua MAGARI ya wabunge wetu land cruiser v8 zaidi 100 na itakuchua Miaka 2740 ili uimalize pesa ya jamaa, Elon musk mtu alieanza biashara na pesa kama za mo dewj wa Simba tu akiwa kama tajili wa 654 hivi akapaa mpaka kuwa wa kwanza Sasa hivi

Utajili alionao mpaka Sasa hakuna mtu aliewahi kumiliki baada ya kristo amempiku mpaka massa Musa wa Mali aliekuwa na utajili wa kutisha zaidi na historia yake iko kwenye vitabu vingi mashuleni

Kumbukeni Elon musk ametokea hapa south Africa tu kwa kifupi watu wazima wote wa dar es salaam mnapata kruger mpya wote endapo akiamua kuwanunulia kwa hiyo pesa yake dollar 1 trillion na akaendelea kuwa billionea Sasa nyinyi wengine endeleeni kupoteza muda tu eti mnatafuta hela nimechoka kuandika 🤣🤣🤣🤣🤣

Hivi mdau unatafuta hela au unapoteza muda tu 🤣🤣🤣 kumbuka utajili wa mo ni $3 1.8 billion na jamaa ana $1 trilion , jamaa anamzidi tajili wetu mara 687 ,Aliko dangote ili amfikie jamaa inabidi aongeze utajili wake mara 30 zaidi
 
Mmiliki wa makampuni ya teknolojia ya SpaceX na Tesla, Elon Musk, anakaribia kuweka rekodi ya kuwa trilionea ambayo wa kwanza dunia kwa kufikia utajiri wa zaidi ya dola trilioni moja.

Kwa sasa Musk anamiliki hisa zenye thamani ya takribani dola bilioni 273 kupitia kampuni ya Tesla pekee. Lakini ikiwa thamani ya kampuni yake ya SpaceX itaendelea kupanda kama ambavyo wawekezaji wengi wanatarajia, utajiri wake unaweza kuongezeka kwa mamia ya mabilioni ya dola zaidi.

Umiliki wake kwa pamoja Tesla na SpaceX unaweza kufikisha thamani inayozidi dola trilioni 1.1. Hiyo ni sawa na dola bilioni 1,100 au dola milioni milioni 1.1.

Ni kiwango cha utajiri ambacho hakijawahi kufikiwa na mtu yeyote katika historia ya dunia. Lakini dola trilioni moja ni kiasi gani hasa? Huu ni mifano 7 kuonyesha ukubwa wa fedha hizo.

Lakini dola trilioni moja ni kiasi gani hasa?

Dola trilioni moja ni sawa na dola bilioni 1,000, unaweza kuitumia miaka zaidi ya 5,000.

Njia ya pili ya kuelewa kiasi hicho ni kuigawanya kwa watu wote duniani. Kwa sasa idadi ya watu duniani inakadiriwa kufikia takribani bilioni 8.3. Kama Musk ataamua na kugawa dola trilioni 1.1 kwa kila mtu duniani mpaka watoto, basi kila mtu angepata karibu dola 133.

Hiyo ni sawa na takribani shilingi za Tanzania 350,000 kwa kila mtu au karibu shilingi za Kenya 17,000 kwa kila mtu. Kwa familia ya watu watano au 6, mgao huo ungefikia karibu shilingi milioni 2 za Tanzania au karibu shilingi 90,000 za Kenya.

Na kama kila mmoja angeamua kutumia shilingi 100,000 za Tanzania kwa siku, fedha hizo zingemtosha kwa zaidi ya siku tatu mfululizo bila kufanya kazi yoyote.
Stock price inaweza kushuka wiki ijayo pia. Hizo trillion haziko kabatini bali ni thamani tu ya hisa za Elon kwenye makampuni yake
 
Back
Top Bottom