Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

- Hapana umejiudhi mwenyewe mkuu, maana hakuna mahali nimewahi kusema unayoyasema, nimesema Lau alikuwa ajira World Bank akaiacha na kjurudi bongo, nimelisema hili toka last years ukienda kwenye maktaba ya JF utalikuta sio mara ya kwanza,

- Naomba kurudia tena ninayoyakumbuka being close to him bila ya kusoma CV yake, Lau alipomaliza Mlimani alirudi US kwa wazazi wake, akaenda kusoma Georgetown, alipomaliza alirudi NYC, akafanya kazi Playland, akafanya Bar ya ku-practice Criminal Law NYC, akaitwa kujiunga na World Bank kabla ya kwenda DC kuchukua kazi akaamua kurudi bongo, lakini ajira World Bank alipewa na ilikuwepo, ni yeye mwenyewe kutokana na ishus mbali mbali mojawapo ikiwa hasa ya afya mama yake na kushinikizwa na baba yake ndio aakaamua kurudi bongo,

- Bongo alianzia kwa Mahalu na Warioba Law Firm, akateuliwa kwenye kamati ya taifa ya marekebisho ya katiba ya muungano, akaingia TOL kama Company Secretary na baadaye Director, akajiunga na IMMA, ndio akaanza kuingia kwenye siasa na sasa ni waziri, haya ninayajua as a matter of fact na sio kwa kusoma au kuambiwa haya nimeyajua wka kumjua kwa karibu.

Thanxs guy!

Mazee ES imetosha sasa maana naona tumeshapata "ze dataz" za kutosha kuhusu Masha.
 
All things considered, Lau Masha is no Dr. Nchimbi (Education wise)

Why is he acting like a Nchimbi beats me, au ndiyo mambo ya kwamba ukikaa na wajinga wajinga wa CCM ambao kutwa kucha wanafikiri kuwa photioshop watu na kuwa portray wrongfully kwenye magazeti ndiyo siasa?

If the claims are true, if this is what a young minister, Georgetown graduate no less, with the advantage of having grown up in the US and the personification of the hope of the "Mizee iondoke, vijana wabadilishe mambo" mantra, is all about, I am simply appalled.

Why, he is giving the likes of Kingunge Ngombale Mwiru and Yuisufu Makamba a run for their reps!
 
1.
Kiongozi FMES, hili linaweza kuwa Valid katika zama hizi.Je, ni kipimo gani ambacho Umma utamtambua kiongozi yeyote ambaye hana record ya kufanya kazi katika Communities, Public Office au hata kuwasaidia ndugu zake?

- So far mkuu ninakuheshimu sana kwa sababu unaongea hoja na please pokea heshima zangu za kweli kabisa kutoka kwenye my soul and spirit,

However, hiki ni kipimo kigumu sana kwa maisha na mazingara yetu wabongo, kwa sababu kwanza ndugu ni wengi sana na sio rahisi kuwaridhisha wote,

- Okay in Lau's case, kwamba ameshindwa kwenye hilo hapana ana ndugu watatu mmoja ni mkulu JWTZ, na mwingine ni Economist US, Missouri State, kama anao ndugu wanaohitaji msaada basi ni wachache sana na wako kule kwao Sengerema, ambako nimewahi kufika sana I mean katika kijiji chao kuna wakulu wengi wa zamani na kwa kweli the Mashas wamefanya wonders kule hasa baba yake, na hata Lau mwenyewe, unless kuna nisiowajua lakini kuacha ndugu wa baba mmoja najua ana ndugu mwingine ambaye ni Pilot wa ndege kampuni moja ya biashara based in Zanzibar, ambaye niliwahi kumsaidia US alipokwenda kuchukua ndege moja ya shirika hilo,

- Otherwise, akiwa UV-CCM Mwanza Lau amefanya mengi sana, infact alifikia mahali aliacha kazi IMMA na kuhamia Mwanza, mpaka alipopata ubunge ndio alirudi Dar na ni mchango wake kule kwenye commuinity za jimbo lake ndio ulioihsia kumpatia ubunge, kwa hiyo kwenye hili sina wasi wasi nalo kabisa kwamba Lau analitimiza kwa kiasi kikubwa lakini inaweza kwua sio kama ulivyotegema wewe mkuu.

2.
Mwalimu case yake ni tofauti sana kwa kuwa alianzia katika grassroot level na kazi yake aliyoifanya inaeleweka na kutambuliwa. Mchango wake unathaminiwa. History can tell. Alikuwa na uzalendo wa juu sana na uaminifu wa hali ya juu kiasi kwamba utumishi wake kwa umma hauhitaji record ya kujua aliwasaidiaje ndugu zake.

- Sawa sawa, aliyeweka hii standard ni wewe, sasa kama unasema umeamua kumsamehe Mwalimu on it, sina maneno tupo ukurasa mmoja.

3.
Issue iliyopo mbele yatu ni kuwa kama hakuna namna ya kujua utumishi wa mtu katika Communities au Public, basi walau tuangalie wale ndugu zake alionao karibu na hasa kama mhusika huyo ana mafanikio kibiashara. Kama si hivyo, tutajuaje records ya mhusika au hata kupata imani kuwa anaweza kuusaidia umma wa Tanzania? Au ni kutafuta Opportunity ya kupata Power na Authority regardless ya nini utaisaidia jamii? Kwa kuwa unamfahamu Masha, bado unayo nafasi ya kutueleza kama anayo record yeyote ya kufanya kazi za kijamii au kama hakuna walau hata kusaidia ndugu zake.

- Nafikiri kwenye la kwanza nimejaribu as much as I know him, ila heshima mbele sana maana michango yako ni a serious na very educative challenge, I wish wangekuwepo wengi kama wewe hapa JF.

Respect Mkuu.
 
Nimepata kuongea na watu tofauti wanaomjua masha vizuri.

Wanasema, huyu(wa sasa) si masha yule waliomjua wao tangu akiwa UDSM mpaka anarudi na kupanda kuwa MD wa Tanzania Oxygen... inaonyesha huyu bwana baada
ya kujiweka karibu sana na mzee wa delusions of grandier, EL. Nae ameambukuzwa
kale ka ugonjwa ka Bigotry ya kifisadi.

Mkuu FMES midhali upo karibu naye,...unaweza kabisa kumfunda jinsi ya kubehave unapopewa dhamana ya big portfolio, kama MoIA, kama ulivyomfunda juu ya kuwa hard working.

Najua mwisho wa hili sakata ni bado kabisa,...ila the sure thing kinachommaliza huyu bwana mdogo ni kuamua kufa na kundi la mafisadi...badala ya kuwa smart na kusoma alama za nyakati na kureact accordingly. Anasahau kuwa ni politics hakuna permanent allies, bali kuna permanent interests... Kama permanent interest yake ni umimi na maslahi binafsi, basi na abaki na kujiidentify na akina EL, RA na Mafisadi wengine,... na kama long term interest yake ni serving the nation honorably, then hana choice but to severe ties zake za kifisadi NOW.... HE CANT HAVE IT BOTH WAYS!

Inavyoonekana kale ka ugonjwa ka bigotry ya kifisadi kameshamkamata,... It may not be too late for him, but the choice is his.

- Mkuu Sober,

Heshima mbele sana, maneno yako ni mazito sana na yanahitaji tafakari iliyotulia sana,

Thanxs Guy!
 
wandugu,

..mpaka sasa hivi nashangaa kwamba waandishi wa habari hawajamuuliza Reginald Mengi kama alifikisha malalamiko yake kwa Waziri Mkuu au Raisi. zaidi, kama alifikisha malalamiko yake kwa wakubwa hao, alipata response gani?

..vinginevyo napata matatizo na Mengi kuendelea kufanya identity ya aliyemtishia maisha kuwa ni siri. Mengi lazima aelewe uzito wa nafasi yake ktk jamii ya Watanzania.

..kwa madai haya ya Mengi jamii inaweza kuwahisi vibaya Mawaziri wote vijana ktk cabinet ya Kikwete. tena kuna uwezekano hata wale "wazee-vijana" nao wakaanza kuhisiwa vibaya.

..binafsi napenda Waziri aliyemtishia maisha Reginald Mengi ajulikane na achukuliwe hatua za kisheria. naamini Waziri huyo ana kesi ya jinai ya kujibu.

- Fair and balanced, saafi sana na ndio ukweli wenyewe.
 
Wakuu nimesoma threads nyingi hapa.
Nakwenda kulala sasa niwaache wale mlio majuu mkiendelea na mjadala.
Lakini kitu kimoja tu nilichokigundua hapa FMES ni mkaribu kabisa wa Masha maana anamfahamu ndani na nje. Na nadiriki kusema kuwa ni jamaa wa karibu na naweza kuhisi ni nani hata kwa jina lakini sina ruhusa kulitaja tu hapa.
All in all FMES baada ya kusoma kwa kirefu post zako nimegundua kuwa hukuwa na hoja kubwa sana za kuni convice kuwa Masha is not guilty katika kesi hii.
Umeng'ang'ania kujaribu kuweka wasifu wake tuuuu lakini pia maelezo yako unayatoa hivi katika post hii na kuyapinga katika post nyigine tena kwa maneno makali kama vile unagombana na watu hapa.
Masha amekosea kwa sababu hakutajwa katika malalamiko ya Mengi. Maana nilimsikiliza binafsi Mengi wakati wa press conference yake.
Na hata Masha katika taarifa yake TBC1 ambako alikuwa akizungumza kwa hasira kweli!
Wala Mengi hakuwa na intention ya kushitaki maana kushitaki au kuacha huwa ni uamuzi wa mtu mwenyewe. Na yeye alisema wazi kuwa Kama mkristo ameamua kumsamehe.
Na kumbuka alisema kabisa kuwa yale yote yanayotoka katika media zake si ya kwake bali ni ya waandishi na wahariri. Sijui kwa nini wanamhusisha?
Lakini pia alisema hata kama atafirisiwa au kufa vita ya ufisadi imeshachukua kasi haitakwisha. (which is true)
Lakini nashangaa wewe umeshikia bango sheria sheria sheria. Basi mwambie nduguyo Masha akafungue kesi kama yeye ndiye alihusika! Sheria au kuwa mwanasheria si haki ya kutisha wengine!
Kwa heri nakwenda kulala wakuu.
 
All things considered, Lau Masha is no Dr. Nchimbi (Education wise)

Why is he acting like a Nchimbi beats me, au ndiyo mambo ya kwamba ukikaa na wajinga wajinga wa CCM ambao kutwa kucha wanafikiri kuwa photioshop watu na kuwa portray wrongfully kwenye magazeti ndiyo siasa?

If the claims are true, if this is what a young minister, Georgetown graduate no less, with the advantage of having grown up in the US and the personification of the hope of the "Mizee iondoke, vijana wabadilishe mambo" mantra, is all about, I am simply appalled.

Why, he is giving the likes of Kingunge Ngombale Mwiru and Yuisufu Makamba a run for their reps!

What's Makamba's qualifications?
 
- Lau alipoondoka US kurudi bongo, alikwua amepewa ajira World Bank, lakini hakuenda kuichukua au kufanya kazi alivyokuwa amewaomba, aliamua kurudi bongo, kwenye hili unaweza ukasema anything you want na ukasaidiwa na forum nzima kama ninavyoona ila siwezi ku-move kwa sababu ninajua for a fact, tena 100% truth.

Hiyo ajira aliyopewa aliiomba yeye au ni WB ndio waliomuomba na kwa vigezo gani. Kwa jinsi anavyokurupuka ovyo nakuwa na wasi wasi na hizo sifa anazomwagiwa.
 
1.
Ku-deliver Pizza tena mazee, too much information.

- Hapana huu ndio ustaarabu tuliofundishwa na Muingereza, kuona aibu kusema wazi uliyowahi kuyafanya huko nyuma kabla ya kufikia juu, mkuu ukisoma majuu kuosha vyombo, kutunza wazee, ni kazi za kawaida sana na infact ku-deliver pizza huku unasoma ni kinda of luxurious job, na yeye mwenyewe ukiongea naye one on one, atakuambia sana hili bila aibu.

2.
FMES, kwa nini ulimuendesha? Kwani yeye alikuwa hajui kuendesha? au alikuwa hana leseni au leseni yake ilikuwa imekwisha muda wake? Na wewe ulivyokuwa unamwendesha ina maana ulikuwa huna kazi ya kufanya?

- Huyu ni rafiki yangu niliyekuwa nikiishi naye, na hata baba yake alipoondoka aliniachia nyumba yake kwa ajili ya kuisimamia kibiashara, magari yote ya baba yake yalikuwa yametangulia bongo na Contena na yeye alitegemea kurudi DC kwa hiyo hakuwa na gari, na mtihani ulikuwa mbali sana kutoka tulipokuwa tukiiishi, ulitaka nifanye nini mkuu?

- Una maana nikija huko uliko hutakuja kunichukua Airport, au? Sasa ukinichukua unakuwaje dereva wangu au what? Kwa hiyo ukija kunichukua ina maana unakuwa huna kazi ya kufanya?

Unless kuna something ninamiss hapa sielewi exactly maana ya hili swali, au?
 
1.
Lakini kitu kimoja tu nilichokigundua hapa FMES ni mkaribu kabisa wa Masha maana anamfahamu ndani na nje. Na nadiriki kusema kuwa ni jamaa wa karibu na naweza kuhisi ni nani hata kwa jina lakini sina ruhusa kulitaja tu hapa.

- This was not the ishu, ila katika kujaribu kupoteza lengo na kulazimisha hoja za chuki ndio ikafikia huku, lakini sio ishu ingawa hata kama ningekwua simjui kwa karibu badi ningedai ukweli wa kisheria upewe nafasi yake kwanza.

2.
All in all FMES baada ya kusoma kwa kirefu post zako nimegundua kuwa hukuwa na hoja kubwa sana za kuni convice kuwa Masha is not guilty katika kesi hii.Umeng'ang'ania kujaribu kuweka wasifu wake tuuuu lakini pia maelezo yako unayatoa hivi katika post hii na kuyapinga katika post nyigine tena kwa maneno makali kama vile unagombana na watu hapa.

- Sikutegemea anything different kutoka kwako, kama vile kwenye topic ya rais na kutojiamini, infact hata wewe ninaweza kukutaja kwa jina lako kutokana na hii hoja ila hairuhusiwi kama ulivyosema mwenyewe, au unanipa ruhusa nikumwage?

ya CV na education yake nimeulizwa ndio maana nikajibu, sijawahi kusikia mtu anaweza kugombana na wmingine wkenye internent, naomba kujua huwa inakuwaje mkuu kugombana na usiyemuona wala kumjua? Bwa! ha! ha! ah! ah!

3.
Masha amekosea kwa sababu hakutajwa katika malalamiko ya Mengi. Maana nilimsikiliza binafsi Mengi wakati wa press conference yake.
Na hata Masha katika taarifa yake TBC1 ambako alikuwa akizungumza kwa hasira kweli! Wala Mengi hakuwa na intention ya kushitaki maana kushitaki au kuacha huwa ni uamuzi wa mtu mwenyewe. Na yeye alisema wazi kuwa Kama mkristo ameamua kumsamehe. Na kumbuka alisema kabisa kuwa yale yote yanayotoka katika media zake si ya kwake bali ni ya waandishi na wahariri. Sijui kwa nini wanamhusisha?
Lakini pia alisema hata kama atafirisiwa au kufa vita ya ufisadi imeshachukua kasi haitakwisha. (which is true)

- Mengi sio serikali kwamba akisema amesamehe basi yaishe, naona hata na wewe una tatizo sana na kuelewa what is at stake hapa kwenye the ishu, ni kwamba hii ishu inagusa sana msimamo wangu hasa wa kuwepo hapa JF, yaani kutaka "utawala wa the respect kwa rule of law", mkuu ndio hasa ni a na madhumuni yangu kubwa kuwepo hapa, ninaota utawala wa kuheshimu sheria kwa taifa langu siku moja.

- Sasa hivi hili lilipofikia sio tatizo la Mengi Vs Masha, no way! hili ni tatizo la sheria, on one side (1). Mengi asitishe wananchi, viongozi, na serikali kwa sababu ya kua mmiliki wa media, na (2). Lau kama waziri na muwakilishi wa serikali, asitishe wananchi au kutumia vibaya madaraka aliyopewa na sisi wananchi , sasa ishu iende kwenye sheria ili sheria iamue nani ni nani na kuweka msingi mzuri kwa the future ya taifa letu na sheria.

- Atakayepatikana na hatia kama ni waziri basi awajibishwe na yeye binafsi amesema wazi kuwa atajiuzulu, na kama ni Mengi ndiye mwenye makosa basi achukuliwe hatua za kisheria. Naomba ksuema hivi kama Mengi angekwua hajawahi kuwa na matatizo mengine huko nyuma ningemuunga mkono hata na miguu kwenye hili na Masha, lakini hapana bro he is going too far sasa, unajua mpaka leo lile la Mashehe sijalielewa vizuri hasa baada ya kuona hili, ninaamini na lenyewe linaweza ku-come out kwenye hii kesi pia itakua ni valid legal argument.

4.
Lakini nashangaa wewe umeshikia bango sheria sheria sheria. Basi mwambie nduguyo Masha akafungue kesi kama yeye ndiye alihusika! Sheria au kuwa mwanasheria si haki ya kutisha wengine!
Kwa heri nakwenda kulala wakuu
.

- Again, hapa huna hoja, maana waziri kwa niaba ya serikali ametoa siku saba, hazijaisha sasa wewe unasema nini hasa?
 
- I like this one maana ndio inabeba weight ya whole sagga, akigundulika kuwa ni yeye hana njia ni kuachia ngazi tu, very responsible words.

FMES you are risking losing your deserved credibility on this Masha/Mengi saga. Please recuse yourself as you are now getting emotional. Emotions can cloud a wise man's (such as yourself) judgement...
 
tanzania kuna kina Chakubanga wengi tu; bado kuna wengi wataendelea kuacha viatu vyao nje na kuingia chooni pekupeku kwa madai ya kutotaka kuchafua viatu vyao hivyo.

3039d1228776378-mengi-vs-masha-tuhuma-vitisho-na-matokeo-ch_choo03.gif
 
Attachments

  • ch_choo03.gif
    ch_choo03.gif
    24.7 KB · Views: 149
1.

- Hapana huu ndio ustaarabu tuliofundishwa na Muingereza, kuona aibu kusema wazi uliyowahi kuyafanya huko nyuma kabla ya kufikia juu, mkuu ukisoma majuu kuosha vyombo, kutunza wazee, ni kazi za kawaida sana na infact ku-deliver pizza huku unasoma ni kinda of luxurious job, na yeye mwenyewe ukiongea naye one on one, atakuambia sana hili bila aibu.

2.

- Huyu ni rafiki yangu niliyekuwa nikiishi naye, na hata baba yake alipoondoka aliniachia nyumba yake kwa ajili ya kuisimamia kibiashara, magari yote ya baba yake yalikuwa yametangulia bongo na Contena na yeye alitegemea kurudi DC kwa hiyo hakuwa na gari, na mtihani ulikuwa mbali sana kutoka tulipokuwa tukiiishi, ulitaka nifanye nini mkuu?

- Una maana nikija huko uliko hutakuja kunichukua Airport, au? Sasa ukinichukua unakuwaje dereva wangu au what? Kwa hiyo ukija kunichukua ina maana unakuwa huna kazi ya kufanya?

Unless kuna something ninamiss hapa sielewi exactly maana ya hili swali, au?

FMES, heshima mbele mkuu! Hapana, sikuwa na nia wala lengo baya kuuliza. Nilikuwa nauliza tu ili nipate undani zaidi wa uhusiano wenu.

Na rest assured mzee, ukija huku nitakutandikia zulia jekundu kabisa. I got you covered. Hutahitaji hata kutumia senti moja toka mfukoni mwako na nitakupeleka kokote unakotaka kwenda ili na mimi baadae nije kuwaambia watu niliwahi kumwendesha Field Marshall Emergency System
 
tanzania kuna kina Chakubanga wengi tu; bado kuna wengi wataendelea kuacha viatu vyao nje na kuingia chooni pekupeku kwa madai ya kutotaka kuchafua viatu vyao hivyo.

3039d1228776378-mengi-vs-masha-tuhuma-vitisho-na-matokeo-ch_choo03.gif

Ahahahahahahaaaaa....I love that one....ahahahahahaaaaa
 
Hiyo ajira aliyopewa aliiomba yeye au ni WB ndio waliomuomba na kwa vigezo gani. Kwa jinsi anavyokurupuka ovyo nakuwa na wasi wasi na hizo sifa anazomwagiwa.

- Mkuu suijui umesoma wapi huko majuu, au hukusoma kabisa majuu, ni kwamba shule kubwa kama Georgetown, na infact shule karibu zote huko US, kuna tabia ya waajiri kwenda shuleni mwishoni mwa kumaliziwa kwa darasa au muhula, kujaribu ku-recruit wanafunzi wanaomaliza ile shule kwa ajili ya kampuni zao, na hasa wenye vichwa, na umri mdogo, na sio siri Lau anafit hayo!,

- Sasa kama kawaida huwa ninasema ukweli ninaoujua, sijui how it happened kama aliomba kazi, au kama kuna recruiters wa W/B walioenda pale shuleni kwake ku-recruit, lakini ninajua one thing for a fact kwamba, alipopata barua ya kuitwa W/B nilikuwa naye na nilihusika sana kujaribu kumshauri what to do next, kulingana all the facts presented, la afya ya mama yake ndilo liliokuwa na umuhimu zaidi kuliko yote, na ushauri wa baba yake ndio uliokuwa na uzito zaidi, alitaka muda wa kufikiri na siku moja akaaamua kurudi bongo, nikampeleka Airport.

- The rest ni mawazo yako na ya wengi hapa JF, lakini haina maana kuwa ndio ukweli kama ila ni subject to debate, kwamba amekurupuka nafikiri sheria ndio itakayosema na kama alivyoahidi mwenyewe kuwa akijulikana kuwa ni yeye mwenye matatizo atajiuzulu, sasa sielewi what is the buzz hapa?
 
FMES you are risking losing your deserved credibility on this Masha/Mengi saga. Please recuse yourself as you are now getting emotional. Emotions can cloud a wise man's (such as yourself) judgement...

- Mkuu kuna tofauti moja muhimu, kati yangu na wewe ni kwamba inaonekana humjui Mengi, mimi ninamjua vizuri sana na all his games, na besides ni ishu kama hizi ndio zinatu-define who we are na where we stand kama wananchi as far as our nation is concerned,

- My credibility haiwezi kufanywa anything kwa kusimamia ukweli, kwamba ningependa sheria ichukue mkondo wake kwenye hii ishu, na ikijulikana kwua waziri ndiye mwenye makosa kisheria basi aondolewe tena haraka sana, na pia ikifahamika kuwa Mengi ndiye mwenye makosa naye pia aadhibiwe, sasa kama kwa kwua na mawazo haya unasema nita-lose credibility yangu so be it, lakini I am not in anyway changing my stand on this never,

Tatizo langu kwa taifa langu Tanzania, ni heshima kwa utawala wa kisheria.
 
Unajua Bwana Masha anastaajabisha, maana hata ukimwangalia katika education level yake na hata presentation yake, he is well educated and looks intelligent. Sasa anapoanza kujiweka group moja na Dr Nchimbi wasio kama yeye hapa anatushangaza sisi akina yakhe.

Wake up Masha... You are better than that...

- Mnyonge mnyongeni, Nchimbi ndiye aliyemuingiza Lau kwenye siasa, now lets say kwamba point yako ni valid inasema nini kuhusu sisi wananchi tunaongozwa na Nchimbi kama kiongozi waziri tena wa ulinzi?

Inasema nini sisi kama taifa kuongozwa na huyu DR? Kama ni valid basi hoja yako isiiihsie wka Masha tu, ishuke chini mpaka kwetu wananchi na taifa, au? Lakini anyways, well said na points taken!

Thanxs!
 
1.

- Mkuu ubarikiwe kwa hili na I am down maana this is wasup, I mean for real! Wewe unafikiri nikienda kwa kina flani wataniendesha kweli? Si wataniitia police! Bwa! ha! ha! ha!

2.

- Ahsante mkuu, lakini kwangu Lau will alyways be Lau, the man ingawa kwa wengine ni waziri na all that stuff,

- kumuendesha sio big deal kwa sababu na yeye amewahi kuniendesha sana inapobidi, kwa hiyo mkuu ukiniendesha sawa na mimi siku moja nitakuendesha tu, hakuna noma, ila respect kwa offer! maana sio wote hapa wanaweza kutoa hiyo, ubarikiwe!

Wazee wa sauti ya umeme, kutoka radio station ya FMES!
Kaka ES naomba uachane na hao watu wanaoanza kuingiza mambo ya mtu binafsi na wakati hawamjui, kwa sababu mimi siwezi kubishana na wewe kuhusu maisha ya Mhe. Masha ambaye wewe unamuita Lau kwa sababu najua unamjua vizurii, yaani kwa mfano wewe uanze kubishana na mimi kuhusu mshkaji wangu anayeitwa Saidi wakati wewe humjui yaani unamsoma tuu au una -m-Google, waambie watoe kitu chochote wanachojua kuhusu wewe, maana umeshaelekeza kuhusu suala la WB, na pia nimejua kwamba unamjua sana baada ya kusema kwamba ulikuwa unajua alikuwa ana-deliver Pizza wakati anasoma kitu ambacho kimenifanya nijue kwamba unamjua vizuri, sasa siwezi kubishana na wewe kuhusu Personal life yake. Lakini tatizo la mtu kama mimi ambaye simjui Mhe. Masha sisikii lolote zuri linaloongelewa kuhusu yeye kwa sababu watu unajua humu duniani hawapendi kuongelea vitu vizuri vinavyofanywa na watu ni always wanatafuta kakosea nini na mazuri yoote aliyoyafanya yanafutwa na kitu kidogo sana cha kijinga alichokifanya, na hayo ndio maisha tuu.
 
1.

- Mkuu ubarikiwe kwa hili na I am down maana this is wasup, I mean for real! Wewe unafikiri nikienda kwa kina flani wataniendesha kweli? Si wataniitia police! Bwa! ha! ha! ha!

2.

- Ahsante mkuu, lakini kwangu Lau will alyways be Lau, the man ingawa kwa wengine ni waziri na all that stuff,

- kumuendesha sio big deal kwa sababu na yeye amewahi kuniendesha sana inapobidi, kwa hiyo mkuu ukiniendesha sawa na mimi siku moja nitakuendesha tu, hakuna noma, ila respect kwa offer! maana sio wote hapa wanaweza kutoa hiyo, ubarikiwe!

Wazee wa sauti ya umeme, kutoka radio station ya FMES!

FMES don't use the pretext ya kuwa a "concerned citizen" wakati unamdefend rafiki yako...Just come out and defend The Honorable Minister like a good friend is supposed to do..Ad in turn he might throw you another shindig at Trinity lol
 
1.

- Hapana huu ndio ustaarabu tuliofundishwa na Muingereza, kuona aibu kusema wazi uliyowahi kuyafanya huko nyuma kabla ya kufikia juu, mkuu ukisoma majuu kuosha vyombo, kutunza wazee, ni kazi za kawaida sana na infact ku-deliver pizza huku unasoma ni kinda of luxurious job, na yeye mwenyewe ukiongea naye one on one, atakuambia sana hili bila aibu.

2.

- Huyu ni rafiki yangu niliyekuwa nikiishi naye, na hata baba yake alipoondoka aliniachia nyumba yake kwa ajili ya kuisimamia kibiashara, magari yote ya baba yake yalikuwa yametangulia bongo na Contena na yeye alitegemea kurudi DC kwa hiyo hakuwa na gari, na mtihani ulikuwa mbali sana kutoka tulipokuwa tukiiishi, ulitaka nifanye nini mkuu?

- Una maana nikija huko uliko hutakuja kunichukua Airport, au? Sasa ukinichukua unakuwaje dereva wangu au what? Kwa hiyo ukija kunichukua ina maana unakuwa huna kazi ya kufanya?

Unless kuna something ninamiss hapa sielewi exactly maana ya hili swali, au?

When all is said and done, if at all the account is accurate, FMES is a loyal friend exhibiting some spartan characteristics of a truly passionate and dependable ally.

My concern is he may not necessarily correctly gauge the intricacies of the nuanced crusade waged, and how some delicate info splurged here may be smithereensed and reassembled.
 
Back
Top Bottom