Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Washindi wa wanachama bora wa JF 2022

Hahaha
Sasa hata akikoment shudu itampunguzia kwamba yeye ndo mwenye celeb yake??
Na kwa pambe hili ameishiwa nguvu imebidi atoe hongera

Na wewe cocastic ole wako utusaliti
Tutakukata sikio
Jaman mbna nitakuwa wima wimaaa humuuuu, kusambaza upendoooooo. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Wapi cocaaaaa[emoji7][emoji108][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Shosss amefikaaaaaah[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]


Tutampa escort matata ofisi za jf
Coca ananyanyua kwapa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Watu weuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!!!!!!
Wasiyempendaaaa kajaaaa, watu na nyotaaa zao mjini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cocaaaa huyoooo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Shoste unakimbiza[emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Kwa zile codes zako kule jukwaa lenu, hakuna mtu anakukamata
Mwakaaa huuu naja kivingineeee upyaaaaaaaa.
Celebrities woyeeeeeee!!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Bila kutukanwa haya mambo hutoyaweza.
Wapo wafuasi watakutukana na Kura watakupa.
Na wapo watakutukana na Kura hawakupi.
Alafu wapo watakuchekea na kukupa maneno matamu huku wakikung'ong'a na Kura hawakupi.
Alafu wapo wanaokuchekea na kukufurahia na Kura watakupa.

Hivyo ndivyo mambo yalivyo kwenye hizi ishu.

Mimi huwaga namjibu MTU atakavyokuja, akitukana nampa anachokitaka. Akija vizuri namjibu vizuri. Hiyo ndio Haki.
Ongezaaaaa sautiiiiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kila jini na mbuyuuu wakeeee.
 
Habari wana JF,

Jamii Forums inatambua mchango wa wanachama wake walioshiriki mijadala vizuri kwa mwaka 2022. Mchakato huo ulikuwa wa wazi na shirikishi. Kwa mujibu wa kura zilizopigwa hapa jukwaani washindi wetu ni kama ifuatavyo.

Jukwaa
Mshindi
Kura
Jokes​
47%​
Kilimo na Uvuvi​
68%​
Technology​
93%​
Celebrities​
28%​
MMU​
69%​
Siasa​
49%​
Michezo​
49%​
Afya​
58%​
Garage​
40%​
Lugha​
56%​
Elimu​
54%​
International & Kenyan​
62% & 83%​
Historia​
No competitor​
Photos & Habari na Hoja & Intelligence​
83% & 50% & 32%​
Biashara na uchumi​
42%​
Chef​
No competitor​
Sheria​
No competitor​
Entertainment​
82%​


Kwa wote ambao wametajwa katika orodha hii, mnaomba kuingia inbox ili kujua utaratibu wa kuchukua zawadi zenu Mtapokea ujumbe kutoka kwa ID official ya JamiiForums.

NB: Utaratibu wa kuchukua tuzo hautahusisha kufichua utambulisho wa mwanachama yeyote.

Hongereni sana.
cocastic Bwana Yesu asifiwe mtumishi.
Unakumbushwa kutuma fungu la kumi kwa mim mama mchungaji baada ya kupokea zawadi.😂😂😂
Hongera dear
 
Kuna washindi hapo nadhani hata wao wnashangaa, majukwaa walioshinda na story zao humu yaani ushindi kama wamepewa vile with hawakuwa na mshindani.

But Genta nimecheka 😂 sana, zule mada zake leo kadondokea kwenye football 😂 😂 ahahahaaaa!.
 
Cocastic nae kashindaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bora sipo kwenye hiyo list...!!
Utakuwaje kwenye list na hujashinda? Watu wako wa kimasikhara hawajapiga kuraaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndo nimeshindaaa sasa, msiyempenda kaja, na kawafurahishaaaaa, hallowwwwww!!!!

Mbna pambeeeeeee!!!
 
Kuna nn??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Washindi washatangazwa na code za kupokelea zawadi washapewa, had utaratibu washapatiwaa.

Tukutanee tena mwakani.
Mmekula zawadi Sasa mkajitambulishe vizuri next year mnakarishwa
 
Back
Top Bottom