Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,193
- 33,580
Kuna choko kapewa ushindiHahaha hasira za nini shekhe!![]()
Kuna choko kapewa ushindiHahaha hasira za nini shekhe!![]()
Mkuu hongera sana , ulistahili tuzo
Nakushukuru sana kwa pongezi zako .Erythrocyte honger sana, bila wewe humu habari za Chame chetu pendwa Chadema hatuzipati, yaani wewe ni mbunge mwakililishi wa chadema hapa JF
Sana. Yule Jamaa LEGEND sana.Nyani ngabu hajapata hata moja!.
Jamaa ana english nzuri mno
Retired alistahili tangu 2018 namuona kuleHuyo Pascal Mayalla mmempa kamserereko
Mngempambanisha na Allen Kilewella au Retired
Mkaona mmfanyie uteuzi Ili asikose hata humu JF, eti!?
Siku hyo ndo watajua ww ni ke au me 😆 😆 😆 😆 😆 au nitume nikakuchukulie hahaaaAhsanteni sanaaa wote mliofanikisha ushindi huu kwangu, mbarikiwe zaidi na zaidi.
Nawapendeni nyoteee.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
nikujibu ? ?Leeni wajukuu.
Karibu tena jamani,Duuh!
Hiyo mineno umefundishwa na nani we mtoto![]()
naomba niwasindikizeAiseee !!!!Erythroycte kashinda jukwaa la siasa, japo ni mwanaChadema mwenzangu napinga.
Kuna watu hawata enda chukuwa zawadi next time yoga lazima ule zawadi nitapambana mpk dack day ikupe tuzoUnaweza kushangaa tu mmoja kati ya wapokea zawadi ni miongoni mwa wale watu watatu wazito kwenye baraza la mawaziri.
Unaenda kupokea nae zawadi na uliwahi kumkejeli atafute maisha aache njaa.
Halafu ni mtanzania wa kanda ya Ziwa.Sana. Yule Jamaa LEGEND sana.
Popote alipo nampa tuzo ya heshima.
Ni kati ya watu walionipa ushawishi wa kujiunga hii forum 2013.
RarareeNapendekeza pia muweke zawadi kwa wanaotoa like hapa JF, maana kuna watu wanajitahidi.
Umenielezea vyema kweli kweli Mkuu wangu na kama hajakuelewa / hawajakuelewa hapa basi watakuwa na tatizo Kubwa la Akili linalohitaji Tiba ya haraka Hospitali Kubwa na Rufaa kwa Vichaa / Wendawazimu nchini Tanzania.So what? GENTAMYCINE is not only famous, but also intelligent, intellectual, brilliant, understanding, humble, mjivuni, mtoto wa mjini, muhuni, na amekuzidi kila kitu