Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,414
- 191,574
Duh, ilikucost kama bei gani arif, yani mie nna kitu inaitwa Selenium player ya android inachapa mziki Afrika Mashariki na kati. Ipo kama ile Commet player kwa dundo! Ila earphone ndio sinaRock zircon bongo hakuna,,mim nilinunua ali express mkuu
Zinapiga sana kwa budget poa
Nimechek hao wanaitwa earphonetz nao manazi tu hawana earphone.
Sent from my SM-G920P using Tapatalk