Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,481
- 2,609
Hizi nimenunua eur 29,bei unaweza kuiona hapo,nadhani ni vile kila mmoja anavyopenda awe vipi,ninazo dr beat headphone natumia kwa pc tu nikiwa faraghaView attachment 1069920
Huu ndio ushamba/ulimbukeni naoupigia kelele hapa.
Kwanini uingie unnecessary/unrealistic costs kisa tu upate sifa kuwa una gadgets za gharama "matawi ya juu"
wakati mtu ungetumia 20% ya pesa hiyohiyo kupata headphone mziki mnene pale Posta/Mikocheni.
Halafu unakuta sasa, baada ya mwaka kawaya kamoja kanakatika kwa ndani, kwisha habari.
Laki moja yako inakua ishayeyuka. Pole sana kaka!!