Wapi nitapata headphones zenye akili?

Wapi nitapata headphones zenye akili?

Jaribuni na brand hii
IMG_20190412_152945.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bluetooth earphones zp nzuri mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Anker Soubuds Slim. Hizi kwanza zinatunza chaji hadi masaa nane. Pili unaweza ku connect 2 or more Bluetooth devices at the same time. Tatu zina IPX4 certified kwa incident ndogo ndogo za sweat na splash zina survive bila shida.
thanks!
 
VP bei na upatikanaji wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii thread nimeipitia yooote pamoja na comments zote, ni ki swa English, hivi mnawasaidiaje walio pembeni na lugha hiyo ? Kwa kweli bado tupo tupo sana..? Hivi watu wakianza kuchangia mawazo, wanakua na swahili - english dictionary pembeni..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetumia headphone na earphone za aina nyingi,now natumia jbl ni nzuri sana,naweza kuiita ni mnyama,maana ina tofauti ndogo sana jbl headphone View attachment 1069408

Hizi ni earphone sio headphone. Mie sizipendagi kabisaaa zilivokaa. Kama vile za kuchokonolea nta za masikio.
Ukimuazima mtu mwenye uchafu masikioni lazima zirudi zinanata nata. Kwanini msinunue headphone jamani!!!
 
Zinakera, ngoja ntaenda mobile plaza pale nikaone hali ikoje

Hizi ni earphone sio headphone. Mie sizipendagi kabisaaa zilivokaa. Kama vile za kuchokonolea nta za masikio.
Ukimuazima mtu mwenye uchafu masikioni lazima zirudi zinanata nata. Kwanini msinunue headphone jamani!!!
 
Aliexpress mkuu, KZ wanatengeneza earphones za aina nyingi sana na bei tofautitofauti, anza na za bei rahisi kama ED2 na ATE, hizo mimi nimezitumia mno zina mziki mzuri sana, ATE zina mziki mzuri zaidi hasa kama ni mpenda bass, ila zina tabia ya kukata waya kwandani upande mmoja (iskuogopeshe lakini, ni mara chache sana kukatika...hasa kama unazikunjakuja saaana, japo waya wake hautangle kirahisi), ATE pia huwa zinawasumbua watu jinsiya kuweka maskioni, waya wake unatakiwa upite nyuma ya maskio. ED2 ziko simple zaidi. Kila nikinunua mtu akizijaribu lazima azing'ang'anie. Sasa hivi ninazo KZ AS10 na ZS3

Official store ya KZ aliexpress hii hapa: https://kziems.aliexpress.com/store/1358152?spm=2114.search0104.0.0.42194235q7gvzW

Hizi ni earphone sio headphone. Mie sizipendagi kabisaaa zilivokaa. Kama vile za kuchokonolea nta za masikio.
Ukimuazima mtu mwenye uchafu masikioni lazima zirudi zinanata nata. Kwanini msinunue headphone jamani!!!
 
Binafsi kuvaa headphone kwenye public naonaje sijui,nahisi kama kila mtu ananiangalia mimia,yan full kujishtukia,headphone natumia nikiwa home,ila nikiwa mtaani natumia earphone

Mjue mie nawashangaa sana mnavodiscuss hutu tudude twa kuchokonolea uchafu masikionoi!!
Hebu ona tulivokaa, ukimuazima mtu ana nta masikioni lazima zirudi na uchafu.

1069902

Kwanini msinunue headphone mziki mnene kama hizi chini jamani!!! Huchokonoi uchafu, huna hofu hata ukimuazima rafiki yako.
1069905
 
Mie earphone kwa kweli hapana. niwe sokoni, mlimani city, kwenye public bus, home, jogging!!
Unavaaje vidude vinakutekenya masikio, halafu issue nyingine tusidanganyane... mziki wa headphone huwezi ku-compare na "vitekenya masikio" aiseeee.. Mie huwa nikivaa headphone zangu naona kama vile niko "MMG LAS VEGAS"

Sasa kuna mdau hapo juu kasema eti alinunua "vitekenya masikio" kwa $25. Kweli jamani!!!
Hiyo TZS 60,000 angeenda M.city ama Shoppaz Plaza angeondoka na HEADPHONES nzito za BOSSE.

Sijui ni ushamba ama nini... Nawashangaa sana wanaume kuzisifia "earphones" aka "vitolea uchafu wa masikio.
 
View attachment 1069902
Kwanini msinunue headphone mziki mnene kama hizi chini jamani!!! Huchokonoi uchafu, huna hofu hata ukimuazima rafiki yako.
View attachment 1069905
Lakini hiyo HeadPhone umeona price yake? Takribani laki sita na zaidi huko.
 
Mie earphone kwa kweli hapana. niwe sokoni, mlimani city, kwenye public bus, home, jogging!!
Unavaaje vidude vinakutekenya masikio, halafu issue nyingine tusidanganyane... mziki wa headphone huwezi ku-compare na "vitekenya masikio" aiseeee.. Mie huwa nikivaa headphone zangu naona kama vile niko "MMG LAS VEGAS"

Sasa kuna mdau hapo juu kasema eti alinunua "vitekenya masikio" kwa $25. Kweli jamani!!!
Hiyo TZS 60,000 angeenda M.city ama Shoppaz Plaza angeondoka na HEADPHONES nzito za BOSSE.

Sijui ni ushamba ama nini... Nawashangaa sana wanaume kuzisifia "earphones" aka "vitolea uchafu wa masikio.
We nawe mshamba mkuruzinza

Hizi nimenunua eur 29,bei unaweza kuiona hapo,nadhani ni vile kila mmoja anavyopenda awe vipi,ninazo dr beat headphone natumia kwa pc tu nikiwa faragha
20190412_123933.jpeg
 
Lakini hiyo HeadPhone umeona price yake? Takribani laki sita na zaidi huko.

Hiyo picha nimetoa kama sample kuonesha tofauti ya "vitekenya masikio" na "headphone". ignore the pricetag.
Unataka kuniambia nikiwa na TZS 50,000 nikaenda Kariakoo kutafuta Headphone Quality mziki mnene kuna earphone uchwara zitafikia uwezo wake!!! Jibu ni hapana.
 
Yes, kuna earphone zinatema mziki mpaka unasema 'Ndiyo'
Sema tu wewe haujabahatika kuzipata, sana sana we we umezoea kupata hivyo "Vitekenya Masikio"
Ila ukweli ni kwamba EarPhone zinazotema zaidi ya HeadPhone zipo.
 
Back
Top Bottom