Wapi nitapata headphones zenye akili?

Wapi nitapata headphones zenye akili?

Hizi umenunua wapi
Kuna duka linaitwa nas mobile shop lipo 1st floor, China plaza, Kariakoo. Wapo Instagram pia nas_mobile_shop
20190412_123521.jpeg

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Nimetumia headphone na earphone za aina nyingi,now natumia jbl ni nzuri sana,naweza kuiita ni mnyama,maana ina tofauti ndogo sana jbl headphone
20190412_123933.jpeg
 
Awei nimezitumia both inner ear na zile zenye sponge. Mi napenda inner ear kwa sababu ukizivaa mziki wake unajaa. But nazo ni adimu sana sikuhizi so nikipita kuulizia nazikosaga mara nyingi.
Awei kwa kiasi flani wanajitahidi sana kwny bass na kuchuja music....pia uimara wao ni absolutely fantastic....nnazo nlinunua 2017 october mpk sasa zipo na hamna sikio lililoharibika tho sa hv nimezihifadhi nazitumia kama backup. Nilizinunua Moshi pale maduka ya ghorofani...Dar nlizunguka kkoo sikuzipata.

Sent using Samsung Galaxy
 
Yeah Moshi ndio sehemu pekee utazipata, au Arusha. Likely zinatoka Nairobi tu kama majority of electronics za Moshi
 
Awei kwa kiasi flani wanajitahidi sana kwny bass na kuchuja music....pia uimara wao ni absolutely fantastic....nnazo nlinunua 2017 october mpk sasa zipo na hamna sikio lililoharibika tho sa hv nimezihifadhi nazitumia kama backup. Nilizinunua Moshi pale maduka ya ghorofani...Dar nlizunguka kkoo sikuzipata.

Sent using Samsung Galaxy
Daaah umenikbusha mbali kweli hzo earphone za awei nilichukua nami moshi pale stand kwa 8k tu mwaka 2015 zinapiga balaa,but nikipoteza nikipokuja dsm nikitafuta maduka karibia yte bila mafanikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku Dar hata hawazifahamu kabisa...mm nilizipenda bei yake ni kitonga but zipo quality.

Sent using Samsung Galaxy
 
Niliagizia headphone dubai kwa dola 30. Tangu 2017 mpaka sasa na wala hazichuji. Wacha kutumia vitu vya bei rahisi vinachosha.
 
Nawapataje mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliexpress mkuu, KZ wanatengeneza earphones za aina nyingi sana na bei tofautitofauti, anza na za bei rahisi kama ED2 na ATE, hizo mimi nimezitumia mno zina mziki mzuri sana, ATE zina mziki mzuri zaidi hasa kama ni mpenda bass, ila zina tabia ya kukata waya kwandani upande mmoja (iskuogopeshe lakini, ni mara chache sana kukatika...hasa kama unazikunjakuja saaana, japo waya wake hautangle kirahisi), ATE pia huwa zinawasumbua watu jinsiya kuweka maskioni, waya wake unatakiwa upite nyuma ya maskio. ED2 ziko simple zaidi. Kila nikinunua mtu akizijaribu lazima azing'ang'anie. Sasa hivi ninazo KZ AS10 na ZS3

Official store ya KZ aliexpress hii hapa: https://kziems.aliexpress.com/store/1358152?spm=2114.search0104.0.0.42194235q7gvzW
 
Back
Top Bottom