CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,828
- 1,862
Kwa kweli nimechoshwa na hizi takataka za kichina. Yaani unanunua headphones unaenjoy kwa miezi 2 na zikijiitahidi miezi 4 basi. Ugonjwa ni uleule bila kujali brand name yaani spika moja inaacha kufanya kazi bila sababu na mchezo ndio umeisha hivyo! Ukienda,kila duka ni hizohizo na hapo naongelea zile za bei kubwa kidogo (zaidi ya 10,000). Sasa naweza kupata wapi headphones nzuri?
