Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,736
- 2,402
ebay.com mkuu.Nimekupata mkuu. Ni duka gani linauza nikanunue?
ebay.com mkuu.Nimekupata mkuu. Ni duka gani linauza nikanunue?
Huwezi kumshauri mtu mwenye simu ya laki 3, anunue ibeatz unazodai ni za laki tatu.
wakatu zipo earphone nzuri tu zunazofunika ibeatz kwa price chini ya hiyo.
labda infact unataka mauzo/sifa ambazo ni za kijinga kwa mtu mwenye mawazi chanya.
Colar you mean earphones if not headphones.
Thank you Brother,
U just spoke my mind. Huyu bwana hela haijui, muache kama alivyo.
Nisaidie elfu kumi "blaza"....lol!
Fanya kazi. Kuna jela. Lol
sasa blaza tunapofanya kazi tukipata pesa tukiztumia mnasema hatuzjuwi pesa blaza!
Learn to be reasonable, its not only about knowing what to do, to make money. Its about being reasonable with what ur offering in the process of making money.
Like why use this and not that on that particular situation/scenario. Yes, U might be offering the right solution but let it reflect on that particular situation.
sawa mkuu, kumbuka tu kwamba unreasonable kwako huenda kwangu ni reasonable..kinyume chake ni kweli pia.
Laki tatu ni bei ya kati kwa earphones !hizo ndiyo imara na bora za bei ya kati nazozijua mimi mkuu,
ndiyo maana sijamwambia Bose, au Shure za bei ghali sana. Pia anaweza kupata skullcandy wana machaguo mazuri kwa around 80K. Kama wewe unazifaham earphones bora za elf kumi unaweza kumwelekeza pia, ndiyo maana kaleta thread hapa. .
Nimeendeleza my post hapo juu....
Najua unacho maanisha sasa ulichokosea ulitakiwa utoe more options kwa mteja quality Vs price on things offered in the1st world mtu anasoma hapa na ku decide mwenyewe.
Sijasema binafsi siwez nunua hzo headphone cz uwez jua namiliki gadget gani perhaps iphone 6 plus utajuaje..hata kama hela ninayo kwani ni lazma kununua headphones za jiwe 3 ?? Mteja yeyote anapenda kitu quality chenye reasonable price ndio alichoeleza TheChoji hapo nikasema he is more wiser than u.
mimi nimetoa wazo moja, la kitu nachokielewa zaidi, tuko wengi hum kila mmoja akitoa mawazo kulingana na uzoefu na kitu anachotumia mdau atafanya chaguo lake.
wala sijamaanisha kuwa hauwezi kununua earphones za laki tatu mkuu, namaanisha usipende kuhukumu mtu kulingana na matumizi yake, nikikuta unakunywa Yamazaki ya laki mbili siwezi kuita chaguo lako ni unreasonable eti tu kwa sababu kuna Johnnie Walker ya elf 70!!!
Pamoja mkuu, simaanishi madhara.
Hizo zako utaniuzia kwa bei gani?Mkuu kama bado hujapata earphones ingia ebay, search "KOSS The Plug". Hizi ni noise isolating earbuds nzuri sana. Mimi nimeshatumia earphones nyingi zikiwemo za sony, nokia, iphone na ibeats lakini hizi ni kiboko. Utazipata kwa USD 15-20 tu including shipping from USA. Hutajutia mkuu.
Ungepata SONY EX-088 zile OG ungeleta review tofauti. Mi niliziotea Moshi zinatokaga Nairobi sister angu akazipenda siku hiyo hiyo nmetoka nunua nikampa. Baada ya kurudi shop nkakuta zimeisha yani dah.Kweli mimi nimetumia OFIA na SONY zote majanga.
Zina bass na clarity!? Maana sie wengine "Bassheads" sio wapenzi wa "Nyanga" maskioni! Earphone inapiga kelele hadi uitulize na Equalizer ukitumia kitu kisicho na EQ makelele tu hata huo mziki hauinjoy!miezi kadhaa iliopita nimenunua headphone za Nokia Boom, quality nzuri na sauti nzuri, weakness yake ni kwamba siku za mwanzo zitakuwa zinabana tu masikio ila baadae zinakaa vizuri. na zina mic pia kwa wale wenye shida nayo
![]()
![]()
unaweza cheki review zake amazon
bei nilinunua 35,000 kupatana
Ukinunua Sony za Kariakoo bure kabisa, inshort dar hakuna earphones. Nilipokuwa Moshi nilikuwa nainjoy sana. Kuna ambazo zinaitwa TDK za beats by dre. Hizo ilikuwa balaa tupu maskioni. Baada ya intake ya kwanza wakaanza leta fakes!Kweli mimi nimetumia OFIA na SONY zote majanga.