t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,148
- 17,040
Kweli mimi nimetumia OFIA na SONY zote majanga.
Sony zote????
Umeshawahi kutumia sony Xba series kweli???
Kweli mimi nimetumia OFIA na SONY zote majanga.
Mkuu ntajuaje kama ndiyo iliyokuja na iPhone?Nunua Ya Zilizokuja iPhone mkuu kwa bei ya 25000 Kama Upo Arusha Nenda Nakumat Ukajipatie Ni Hatare Mimi Nanayo Mwaka Na Miezi Miwili Sasa
Tobi!eh tooba! ka sim kangu ka nusulaki ,hizi si zitanitia maradhi mtoto akizivutavuta kama alivyozoea kuvuta ndevu zangu!Acha kulialia wewe, mtu analeta biashara anayoona ina wateja wengi, bongo wateja wengi ni kama nyie mnaotaka headphones za elfu20 kushuka chini, sasa hiyo ni headphone au takataka?! Ingia online chukua headphones za maana, laki3 inakuja mpaka mlangoni kwako!
View attachment 251975
Unaweza pia kuagiza mbele kama accessory ya hiyo simu, utapata.
Kweli mimi nimetumia OFIA na SONY zote majanga.
Acha kulialia wewe, mtu analeta biashara anayoona ina wateja wengi, bongo wateja wengi ni kama nyie mnaotaka headphones za elfu20 kushuka chini, sasa hiyo ni headphone au takataka?! Ingia online chukua headphones za maana, laki3 inakuja mpaka mlangoni kwako!
View attachment 251975
Huwezi kumshauri mtu mwenye simu ya laki 3, anunue ibeatz unazodai ni za laki tatu.
wakatu zipo earphone nzuri tu zunazofunika ibeatz kwa price chini ya hiyo.
labda infact unataka mauzo/sifa ambazo ni za kijinga kwa mtu mwenye mawazi chanya.
Colar you mean earphones if not headphones.

Tatizo bei kaka, earphone za monster ni dola 99, na headphone ni dola 300, mtu akinunua highend smartphone anazipata bure, hivyo ukimpa mtu asiezitumia earphone za simu yake hata 30,000 anakuachia.
Mimi hufanya hivi kupata acessory kama charger (zenye technology ya quickcharge), earphone na usb cable
Ni kweli zinazokuja na simu zinakaa sana mimi nimetumia nokia hadi miaka 6 inadunda tu. Tatizo ni mziki ni mwembamba mimi nataka subwoofer za masikioni.
Huwezi kumshauri mtu mwenye simu ya laki 3, anunue ibeatz unazodai ni za laki tatu.
wakatu zipo earphone nzuri tu zunazofunika ibeatz kwa price chini ya hiyo.
labda infact unataka mauzo/sifa ambazo ni za kijinga kwa mtu mwenye mawazi chanya.
Colar you mean earphones if not headphones.
duh mie nadunda na Nec za tsh 5000/=Acha kulialia wewe, mtu analeta biashara anayoona ina wateja wengi, bongo wateja wengi ni kama nyie mnaotaka headphones za elfu20 kushuka chini, sasa hiyo ni headphone au takataka?! Ingia online chukua headphones za maana, laki3 inakuja mpaka mlangoni kwako!
View attachment 251975
nlipoina hii thread,,,nkaingia kwnz gheto kuzihesabu,..
idad ya nlizozitunza baad ya kuharibika ni 19,..ni hasar kwa kwel