Wapenzi mkikaa pamoja kwa muda mrefu kuna kitu mtafanana, je wewe umefanana nini na mpenzi wako?

Siku naenda kulipa mahari ndugu ikabidi wafatilie kwanza kama sinda undugu na mke wangu

Kuna kipindi nikiwa ofisi ya ardhi bagamoyo, watu wanajua nimeongozana na dada yangu.

Kifupi mke wangu ni kama pacha wangu. Mimi pacha wa kiume yeye pacha wa kike.

Tuna mawazo ya kufanana mpaka kero. Kama siku nikimwacha huyu mwanamke ni kwa sababu tunafanana. Naweza Ingia chumbani nikabeba charge nafungua mlango unasikia "mme wangu usisahau charge" hii kitu inaniudhi sana

Kwa sababu naweza toka mishe nafungua mlango unasikia "alafu baby nilisahahu kukukumbusha kununua dawa ya meno" huku ninerudi nayo

Ni mambo mengi ambayo unakuta namweleza au ananieleza wakati kimefanyika. Nadhani hata yeye inamkera

Na ile kuzungumza kitu kimoja kwa wakati mmoja, jana tulizungumza jambo pamoja tukaghairisha na sex🤣

Ramadhan Karim.
Kwa wakristo wenzangu pasaka iko karibu, kwa wale walio Rombo nikichinja nitawakaribisha.
 
Ndio maana Tanga kuna machoko wengi sana
Leo nimeangalia nineona makala Black American hip pop artist wanajihusisha na uchoko kwa asilimia kubwa

Akina 50 cent, p didy......., usher raymond, jaime fox nk

Nikoenda states sitaki kuitwa black American, nataka kuitwa African American. .
 
Wewe kumbe kaka yangu .
 
Mbele kufirana kawaida sana hata wazungu wanapumuliana sana visogoni
 
Siku naenda kulipa mahari ndugu ikabidi wafatilie kwanza kama sinda undugu na mke wangu

Kuna kipindi nikiwa ofisi ya ardhi bagamoyo, watu wanajua nimeongozana na dada yangu.

Kifupi mke wangu ni kama pacha wangu. Mimi pacha wa kiume yeye pacha wa kike.

Tuna mawazo ya kufanana mpaka kero. Kama siku nikimwacha huyu mwanamke ni kwa sababu tunafanana. Naweza Ingia chumbani nikabeba charge nafungua mlango unasikia "mme wangu usisahau charge" hii kitu inaniudhi sana

Kwa sababu naweza toka mishe nafungua mlango unasikia "alafu baby nilisahahu kukukumbusha kununua dawa ya meno" huku ninerudi nayo

Ni mambo mengi ambayo unakuta namweleza au ananieleza wakati kimefanyika. Nadhani hata yeye inamkera

Na ile kuzungumza kitu kimoja kwa wakati mmoja, jana tulizungumza jambo pamoja tukaghairisha na sex🤣

Ramadhan Karim.
Kwa wakristo wenzangu pasaka iko karibu, kwa wale walio Rombo nikichinja nitawakaribisha.
Hahahaha hii ndo maana halisi ya umepewa wa kufanana nae
 
Wapenzi mkikaa muda mrefu kuna vitu mtafanana sababu ya kuigana tu ambako kunatokea automatically.

Mfano mke wangu ameiga kabisa maneno nnayotumia kuwagombeza watoto wakikosea, akiwa peke yake labda seblen mie nipo nje au chumbani utasikia anatumia hayohayo maneno nnayotumiaga mimi. Vile vile hata ongea yangu naona anaiiga na mm kuna baadhi ya maneno machache nimeyatoa kwake pamoja na namna ya kuyatamka.

Ww je umefanana nini na mpenzi wako?
Mchumba angu mshamba_hachekwi ety tumefanana nini?
 
Wapenzi mkikaa muda mrefu kuna vitu mtafanana sababu ya kuigana tu ambako kunatokea automatically.

Mfano mke wangu ameiga kabisa maneno nnayotumia kuwagombeza watoto wakikosea, akiwa peke yake labda seblen mie nipo nje au chumbani utasikia anatumia hayohayo maneno nnayotumiaga mimi. Vile vile hata ongea yangu naona anaiiga na mm kuna baadhi ya maneno machache nimeyatoa kwake pamoja na namna ya kuyatamka.

Ww je umefanana nini na mpenzi wako?
Tunafanana vikojoleo
 
Mimi mke wangu siku hizi eti naye anafuga ndevu, jana tuligombana sana asubuhi wakati nataka kushevu na yeye akawa anagombania aanze yeye kushevu ndevu zake, nikachelewa kazini aisee.
 
Back
Top Bottom