Wanene kuongezewa marupurupu

Mzee ES nakupata kaka!!!! Mi nadhani one thing unapotofautiana na wengine akina Mswahili ni kwamba you havent accused any body, but you want to hear from Mh. Himself!! I guess you are clear. Bi.50 keshanyambulisha hapo juu!

Il sasa mzee ES..(sina kadi ya chama chochote!!-note)...Mi nadhani tuangalie pande zote za shillingi. Zitto hajawa accused na mtu yeyote..bali ametuhumiwa na third parties na magazeti! Issue hapa ni kwamba I think na rudia tena I think..Anasubiri waliomtuhumu walete kesi yeye ajibu. Kama nakumbuka vyema hata Mh. Amina...anawalaumu wengine kwa KUVUNJA ndoa yake na sio Zitto.

Where I find merit in your argument, ni kwamba Zitto should just express what he knows in the whole saga. I mean, mimi kama mpiga kura I support this school of thought, let him explain what he knows (Though unfortunately it will be quoted and filed). But again, this is the price of being mheshimiwa... wote wanaomtuhumu Zitto should just know one thing kwamba kesi ni pande mbili...je upande mwingine yupo nani? Tuliona..Clinton accuser wake alikuwa Starr, Wolfwitz tumeona..etcs..Sasa nani anamtuhumu Zitto? Mi naomba kujua hilo..Mpakanjia..sijasikia kauli yake..bali ni gossip za mtaani tuu, Amina ndo alikuwa very categorical kabisa, kwamba mtuhumiwa na Daktari Nchimbi....!!! .let me know who is the accuser of Zitto kama wahusika walitoa version nyingine ya story.

Hili swala sio la kishabiki..There are some fundamental questions and fundamental disagreements alike. Twende taratibu tuache jazba..maana hata Zitto ni binadamu...Who alleges must prove!!!
 
...Who alleges must prove!!!


Kaka siku hizi ni GUILTY UNTIL YOU PROVE UR INNOCENCE. Si unajua watu wa ughaibuni references zao ni mambo ya ughaibuni kama philosophy ya BUSH WAR ON TERROR...

Zitto kaka, kabla haujashindwa kujizuia kama ambavyo mitego ya ndugu zetu hapa inapolenga kumbuka issue ya mheshimiwa THE HARVARD GRADUATE na ile entrview na Manyerere Jacton (ambaye sasa anagombea nafasi NEC) ambayo mheshimiwa huyu alijitangaza (alijikaanga) kugombea urais halafu upitie makala ya MASIKINI SUMAYE! iliyotoka katika jumapili iliyofuata katika MTANZANIA JUMAPILI.....

Tanzanianjema
 

Mkuu Es.
Kimya nakusubiri niweke dozi ya mwaka kwa Zitto na hawala yake.

BI Senti 50/ Tanzania njema.
Nimeweka link hapo juu kwa Faida ya BI sent 50 na Mkandara, waliotaka kuwazushia watu wa pwani. kumbe wenzetu tayari wana heleni masikio yote mawili,nitajie mji wa pwani uliooneshwa hapo? Mkandara anazuga kufa kuwa wao hawayawezi kumbe, huko wamepitisha kabisa bungeni toka 2001 anakuja hapa kutuzuga.

BI Senti 50-kila nikitizama picha yako huko kwenye helikopta na kandambili, nacheka sana, ukitizama picha yako ile nyingine uliyopiga ukiwa tayari mbunge kuna tofauti kubwa.

Nayakumbuka maneno ya Kichuguu kuwa ni nyumba inayobeba Nguchilo na n.k na pia Bunge limebeba watu wa ajabu sana kama hawa kina Zitto na watu wao, leo unafikia kuona ninamfuatafuta mwanakjj?

najua wewe una benefit sana na Mwanakjj kumtetea Zitto, kisa mbaya wako AC katoswa, na ndio furaha kwako kwani alivunja mahusiano yako na Zitto.

BI Sent hamsini. binadamu yeyote mwenye akili timamu hathubutu kumuombea mabaya mwenzake with exceptional of Mwanakjj ambaye aliwaombea viongozi wa nchi yetu balaa, yaani Mwenyezi Mungu awalaani, na wewe utakuwa wa pili kumuombea mabaya Amina kwa sababu tu alikula nawe sahani moja.

Naomba ujue hali ya Amina sio nzuri hamjui anaiyeingia wala kutoka. wewe bado una beef naye si ubinadamu,Mpakanjia aliyofanyiwa makubwa kuliko wewe lakini anamsaidia, hao walikuwa wana ndoa halali.

wewe na Zitto mlichokuwa mnafanya ni kinyume na sheria ingawa ndio watunga sheria wetu. kuendelea kumkomalia Amina wakati unajua kabisa yuko ktk hali mbaya si kumtendea haki.

NI SAWA NA JAMAA MMOJA ALIYEAMBIWA KUWA NI VYEMA KUMUOMBEA KHERI KILA BINADAMU MWENZAKE. NA KILA UKIMUOMBEA KHERI UNAPATA MARA MBILI YA VILE ATAKAVYOPATA MTU UNAYEMTAKIA/MUOMBEA KHERI.

JAMAA ALIKUWA NA BEEF NA MWENZAKE AKAONA ATUMIE NAFASI HIYO KUOMBA MWENYEZI MUNGU AMPOFOE (YEYE) JICHO MOJA, ILI NA JIRANI YAKE YAPOFOKE MACHO YOTE MAWILI.

kwa muhtasari huo hapo juu inaoneka na wewe au mwanakjj ambaye tayari ameomba dua mbaya kwa serikali yetu. mnaweza kukubali mpofoke jicho moja ili AMINA awe kipofu kabisa au JK.

just a word of caution always Dua au maombi hutakiwa kuwa positive, Mwenyezi Mungu hakubali dua negative hilo mlijue.

KUMFUATA FUTA MWANAKIJIJI.
Umedai kila maandishi yangu hakosi Mwanakijiji, hilo unanizushia fuatilia posts zangu zote ujisute nafsi yako bi sent 50.

ukweli ni kuwa Mwanakijiji ndiye amekuwa kila habari yake ni kumfuatafuata JK na serikali yake kwa mabaya, hawezi kutoa habari bila kumkandia JK,SERIKALI YAKE au chama chake, nani humu ndani haijui habari hii au crusade ya mwanakijiji kwa JK?

JEE NAYE ANAMTAJA JK ANAMPENDA? KWANINI JK NA SERIKALI YAKE HAIMTOKI MDOMONI? ROHO YAKE INAKOSA FURAHA HADI AMTAJE JK NDIO AWE SHWARI? KAMA BI SENT HAMSINI HAUKO BIAS MAJIBU YA MASWALI YAKO HAYA HAPA.

MWANAKJJ KAPIGA SIMU KWA MSOLLA AKAKATIWA CM, AKAPIGA KWA EL AKAMWAMBIA NIKO BUSY,AKAPIGA KWA MKONO AKAMWAMBIA NIPE MUDA "NITAKUSHUGHULIKIA" MWANAKJJ HAKUTOSHEKA AKAPIGA KWA JK. AKASEMA "MZEE NINA SHIDA, SISI NI WANAFUNZI TUPO NJE TUNAPATA TABUU UKRAINE, KWANZA HAPO KAMDANGANYA RAIS KUJIFANYA YEYE NI SEHEMU YA WANAFUNZI WA UKRAINE NAYE NI MSEMAJI WAO.

LAKINI PAZURI ZAIDI PATAKAPOMALIZA MJADALA WETU KUONA NANI ANAWAFUATA WATU ZAIDI NI SEHEMU HII YA MAWASILIANO YA MWANAKJJ NA JK.

"JK ALIMWAMBIA MWANAKJJ HUKU UMEFIKA MBONA MBALI? NENDA KWA MSOLLA, MWANAKIJJI AKAJIBU KANIZIMIA CM,MZEE NAKUTAKA WEWE TU UNIMALIZIE SHIDA ZANGU,

JK- NIMESIKIA LAKINI HUKU MBALI, AKANGANGANIA TU MWANAKJJ ASAIDIWE NA JK, MUUNGWANA KWA SAUTI YA KIUNGWANA AKAMWAMBIA NENDA KWA MKONO "ATAKUSHUGHULIKIA TU" WALE NDIO WENYEWE KWA MAMBO HAYO.

MWANAKJJ AKASEMA MZEE HANISHUGHULIKII-JK AKASEMA MPE MUDA "ATAKUSHUGHULIA" TU SHIDA ZAKO .

Unapata tafsiri gani BI sent 50? JK anatumia lugha ya kistaraabu kuwa yeye hana mchezo huo mchafu, umepita kote huko kwa kina EL,Msolla n.k,wote hawana shughuli hizo,
mtu anayekufaa ni MKONO kwa vile ni homeboy wake na atajua Musoma wana utaratibu gani wa kushughulikiana.

YAPO mengi ya kutia wasi wasi kwa huyo mtu wako mwanakjj kama vile "jamani kuna mtu ana namba ya Msolla naomba mnPM" mara namba ya Mpendu, mara Spika. huyu ndio mtu wako.

BI sent 50 umesema kuwa pwani ndio mchezo wao huo. sio kweli nimeweka link hapo hakuna mji wa pwani. na hata kama ikiwa hivyo, basi Mwanakjj ndio anakuwa Elton john.
kama umechunguza wazungu wengi wanakwenda Pwani za mombasa au Znz, wengi wao ni jamii ya kina elton john ambao wanahisia kuwa watu wa mwambao makini kwa vile wamerekebisha kalamu zao kama alivyoenda kurekebisha mwanakjj hospital hivi karibuni,

hivyo kama wakishughulikiwa wanapata kitu halisi(natural) ndio utaona wanasingizia kufungua mahoteli ya kitalii kumbe wanataka dozi.

Umehoji vitu vya kijinga sana eti ulijuaje kama Mwakjj yuko, hospital? ile ni kama mtu kenda kufanyiwa operation ya henia na si siri,hata ndugu zetu wamakonde hufanya sherehe kabisa, au utasikia watu wa pwani wanasema fulani na fulani wanatoka siku fulani walikuwa kwa ngariba (natural sio hospital).

dada yetu bi sent 50 . hicho ni kitu cha kawaida kila mtu anakijua kikitokea ktk jamii. labda kwa vile wewe mwanamke umekosea kuliuza hilo swali,ukahisi inafanana na siku wewe "ulipokuwa" ambapo ni jambo la siri. hapana umekosea ni vitu viwili tofauti.

WANABODI

Hapa kuna double standards,watu wanataka tutoke nje ili tusimjadili ZITTO,

Naomba nitoe mfano wangu halisi,lilipokuja suala la Dittopile na dereva wa Dala dala watu walitukana na kujadili sana ingawa wengi wao waliamua kupitishia hasira zao za miaka ya nyuma kuambiwa wana tongo tongo na si wana mji,
kisa DITTOPILE ni mswahili, tulikuwa hatulali,baadhi ya Wanachadema wenye akili fupi wakatumia mwanya ule kupenyeza sera zao. na wenye redio za uvunguni ndio kabisa, wengine wakawa wanatembea na laptop ili kila robo saa achangie mada ya Ditopile.

mimi kama Mswahili sikuthubuti kutetea au kuchangia jambo lolote mle, tena DITO mwana mji mwenzangu, niliacha kwa kuchelea kuwa kuna haki za watu, na kuna wafiwa upande wa pili, na natoa idhini yeyote atayeona andiko langu kule ndio iwe mwisho mimi kuwepo humu.

tuchukulie Ditopile baada ya mwezi na nusu baada ya lile tukio, wakati wana JF wameweka maswali mengi hayana majibu. aje humu na kuchangia topik ya marupurupu ya wanene na asiseme chochote juu ya kadhia yake, jamani tuwe wakweli kungekalika hapa? wangekuja kina Kichuguu nakusema tuachie mahakama? Tanzania njema ungenyamaza? Phillimon mikael ungekaa kimya?

Hivyo hivyo Amina tunaweza kumpoteza wakati wowote na aliyesababisha tunaye humu na tunamkingia kifua. kisa mwana chadema. na watu wako tayari kuandika makala kuwa ccm wanalinda na waoga. sisi humu tunafanya nini? kumbukeni familia za Mpakanjia na Chifupa zinahangaika kama mlivyoona Familia ya Mbonde inahangaka.
Senti 50 na wenzako mnapoteza sifa ya chama kwa kutetea maovu.
SUALA HAPA NI ZITTO LAZIMA TUMJADILI. HAPENDWI MTU HAPA WALA HAPENDELEWI HATA KAMA CHADEMA.
 
Mzee ES,

Samahani nimechelewa kukujibu kwa sababu ilinibi nifanye research kwanza, kwa hiyo baada ya kumaliza kale kakibarua ikabini nijichimbia maktaba kufanya utafiti kidogo. Nakumbuka kuwa tuliwahi kujibizana sana kwenye watoto wa CCM, hata hivyo mwisnoni tulifikia makubaliano kuwa tulikuwa na mtazamo mmja ila from different angles. Kuanzia pale nimekuwa naheshimu posts zako kwa vile nyingi huwa zimefanyiwa utafiti wa kutosha, ndiyo maana ulipoonyesha kuwa ulikuwa na ushahidi kuhusu tuhuma za Zitto kama ulivyosema hapa hivi:


Nikasema alas, kama kweli ulikuwa na ushahidi hivyo kwa nini hukutuambia. Nilichokuwa najua kuhusu hii skendo ni kile kilichoripotiwa magazetini kama nilvyo summarize hapa:


Kichuguu.


Nashangaa sana sasa unaposema kuwa nimekuzuia kumwuliza Zitto maswali uliyotaka kuuliza, na kuwa nimetetea upumbavu; nikasema Mungu wangu, uzee wangu wote huu nitetee upumbavu hapa kwenye forum. Pamoja na kwamba baadhi ya wafuasi wako kama Masatu na Mswahili walikuwa na majibu ya kipuuzi sana, napenda kukumbusha kuwa kuwa tulikuwa tunajabdili mambo ya bunge, na wewe ndiye uliyeuliza swali la kwanza kuhusu swala hili na vile vile kuwa umefunga kuwa umekubaliana na jibu lake. Mimi nilichambua jibu lake la kwanza na kufyanya hitimisho langu kuwa inawazekana kabisa kuwa kweli Zitto alikuwa na hatia ile;, wafuasi wako waliendelea kupga kelele kutaka Zitto aseme ndiyo nililala na yule mama. Huo ni utoto kabisa; hakuna mtu atakupa jibu la ndiyo katika mazingira haya. Ama atakana au hatajibu: Clintoni alikana mpaka alipowekwa chini ya kiapo.

Nimeamua kurudia posts zote kukumbusha jinsi mambo yalivyokwenda. Ulianza hivi:


Mzee ES

Zito akajibu

Zitto

Kakalened akaongezea

Kakalende

Zitto akajibu

Zitto

Mtanzania akaongezea

Mtanzania


Masatu akwaeka hivi Masatu

Kafara akasema

Kafara


Kukawa na posts kadhaa na wewe ukahitimisha hivi:


Naye akakujibu hivi:


.....

Kuanzia hapo kukawa na discussion iliyokuwa chini ya title ya topic yenyewe hadi hapa.


Mtanzania

.....

Kuna majibu yaliyofuatia mimi nikajibu kwa mara ya kwanza hivi.


Kichuguuu


If you go through my response, utaona kuwa kama nilivyosema hapo juu, mimi nilikuwa nimeamini kabisa kuwa huyu jamaa kweli alifanya makosa yale ila alikuwa anaona aibu kusema kweli aliyafanya. Na niliona wazi kabisa kuwa hata kama utamwuliza mara ngapi, kama kweli aliyafanya hatasema ndiyo nilifanya vile, kwa hiyo sikuona umuhimu wa kuharibu topic tuliyokuwa nayo ya bunge kwa jambo ambalo tayari nilishapata ukweli wake kutoka kwa mhusika kuliko hapo mwanzo nilipokuwa nasoma magazetini tu.


.....

.....

Baada ya hapo masatu akanijibu kwa kejeli hapa.



Masatu

.....


Nikamjibu ifuatavyo:


Kichuguuu

Akajibu hivi:

Masatu

Nikamjibu tena kwa kusisitiza hivi:


baadaye nikalalamika hivi:



Kukawa na discussion iliyofuatia hadi Masatu aliponifuata tena hapa:

Kichuguu kwako wewe hili linaishia kwenye kuiba mke wa mtu tu, sisi wahafidhina tunaangalia bigger picture, ikiwa ameweza kuiba mke wa mtu hutashindwa kuliibia taifa given a chance! we call it LOGIC!


Mr Zero akaongezea point kabla sijamjibu Masatu

Mr. Zero

Ndipo Zitto alikuja na kujibu swali hilo hapa.


Zitto


Hata hivyo wakati Mr. Zero na Zitto wanaweka posts zao, mimi nilikuwa nimefungua editor ya kujibu swali na Masatu lakini nilikuwa sijapost. Nilipopost jibu hili hapa nikakuta kuwa kulikuwa naposts hizo mbili mbele yangu.

Kichuguu


Hivyo nikaomba samahani ifuatavyo:


Baada ya hapo mjadala ukaendelea hadi alipokuja mswahili hapa

Mswahili

na hapa



Kuanzia hapo mjadala ukawa hauna maana tena.


Sasa baada ya kukumbusha historia hiyo, niarifu ni wapi nilipozuia mtu asimwulize maswali au ni wapi nilimtetea Zitto.

Najua binadamu wengi tumezowea kutafuta wa kulaumu mambo yetu yasipoenda tutakavyo, ukichagua kumlaumu kichuguu nakupa ruksa ili tusonge mbele. Hata hivyo, kila nitakapokuwa na nafasi, nikiona mjadala ninaofuatilia unaanza kuwa kama wa walevi wa kilabuni sitashindwa kuingilia na kusema sasa basi.
 
Samvula chole.
Niwekee tena ile picha bi sent 50 kavaa nguo za ofisini kwenye harusi. hamuoni LEILA Mayenga alivyopiga vitu kiasi yule jamaa nyuma anatoa udenda tu utafikiri Zitto Kabwe.

ES.

Nashukuru umekuja mkuu tunataka kuburuzwa. kila mtu kawa haoni chongo anaona kengeza tu. tunaimbiwa kila siku kuwa CCM wanalinda wezi, wao Zitto Kaiba mke wa watu wanamkingia kifua. ccm tunaambiwa wananyamaza kimya kwenye vikao vyao hawataki kutoa maelezo ya mikataba mibovu. wao wanakuja hummu kutetea uovu.nadhani wanaonyamaza wana nafuu kuliko waokuja kutetea wizi wa mke.

ila mkuu Es jamaa tunaye 24 hours hapa kabadilisha kanzu tu. hilo ulielewe nitaku PM soon.

Kuna mkakati wa kutupoteza sisi tulenge huko huko. na mchana wa jumamosi nitashusha file la mheshimiwa ZITTO & MAMA 419.
Kwa hili hata JOHN Mnyika ameona haja haja ya kupoteza heshima wake hapa.
huyu ZITTO kafukuzwa chuo kikuu Zanzibar kwa mambo haya leo anatetewa mara ooh ni siasa tu, mara hearsay, mara tumpe muda, mara Mpakanjia hajasema wazi. hakuna mjinga hapa.
 
Mbona Ditopile alihukumiwa kabla ya kufika mahakamani? ulikuwa wapi mkuu kutoa hii kauli? au kwa vile leo kwao, ndio sentensi imebadili na kuwa Guilty until .....
Prove ipi unahitaji mheshimiwa? bibie ndio hivyo kawa hajui chochote.
 
Mswahili,
Taratibu babuuuu!..
hao wote uliowataja wanatoka Pwani mjomba.UK kuna pwani, Canada Australia na kwingineko kote hata hao akina George Michael,Elton John wametoka Pwani ya UK na wanapenda sana Upwani. Hao waliokuja Zanzibar wametoka Pwani huko walikotoka sijazungumzia rangi zao bali watu wa Pwani.
Mimi nimesema tu sisi watoka bara hatuna ustaarabu - which is true, na kweli wapo wa bara walijaribu kuiga ustaarabu pamoja na kwamba hawauwezi! ndio hao akina Mangi...lakini rahisi sana kujisahau na ndio maana bado wana waume zao!.. Pwani hawana mpango huo, wa pwani mna pride bwana!. Unaweza ambiwa Mpakanjia mtoto vilevile. heee heee!

Samahani wakuu namchemsha Mswahili, mtoto wa Pwani - Bwagamoyo! ama kwa jina la Michuzi line Baltimore!

Mikuki,
What side of his story jamani mnaitaka? kesha sema hakuna kilichoendelea zaidi ya urafiki wa Bungeni..ama Mnataka kujua baada ya siku ile ya uhesabuji wa Kura na walipoanza kujenga Urafiki wao walikuwa wakiwasiliana vipi?...na urafiki anaouzungumzia ni urafiki wa aina gani?
Ama kweli waswahili mjomba tuna taka fukua mengi!
 
Mswahili + Dr DAU,

I wish ushauri ama shinikizo analolitoa Mswahili kwa Zitto angelitoa kwa Dr DAU pia kutokana na ile kashfa za wizi wa mabilioni na nyinginezo NSSF.

Tanzanianianjema

Tn.

1.Mwanzo Nilijua vita ni kwa Ditopile kwa vile kaua. baadae nimekuja kugundua kuwa kulikuwa na zaidi ya kifo cha dereva.na mkatumia mkasa huo kupitisha hasira zenu.kisa ni Mswahili mwenzangu.

2. Mzee Mwinyi alipokuwa rais kundi la Mbatia na kimaro wenye asili za kilimanjaro, lilimchora na kuweka picha zake za nguoni-1990s na kuzuka migomo ya nguvu.sababu sikuzijua-sasa napata picha kuwa ni uswahili wake ulikuwa kero kwenu.

3. Mkapa alipokuja hakuna mgomo vyuo vikuu, sababu ni shemeji yenu jibu nimepata.hakukuwa na waraka wa Mbowe wala Kijijini leo hii.

4.Kaja JK migomo upya,na viredio vya uvunguni,nyaraka za mbowe n.k, kumpiga vita na kuchochea wanafunzi kisa ni mswahili.

5. Tanzania njema kumuunganisha Dau kwenye jina langu ni katika mfulilizo huo huo nilioutaja hapo juu.sikushangai kisa mswahili hasitahili kwanini usimuulize Mkapa ndio aliyekuwepo wakati hiyo issue?.

Jamani mmekaribishwa mjini bado mnaona wenye mji hawastahiki na kuwapiga vijembe kiasi hiki? mnataka wahame mji? wake zao ndio hivi mnawachukulia (mpakanjia) bado hamkinai?.

Mambo haya yanazidi kututanabaisha kuwa kadri utakavyowaweka karibu hawa watu na kuwafanyia ihsani wao hawana shukrani wala kheri.

kwa crusades hizi namshauri JK abadili hata madaktari na mabody guard wenye asili za ajabu ajabu.wanaweza kutupotezea rais wetu kwa kumuhujumu, maana wanaona waswahili si mahala pao kuongoza.

JK wakumbatie tu usije kujuta watu hawa hawana kheri wala shukrani waangalie kwa macho mawili.
 
Mkandara.
Hii ya mwaka Mpakanjia amekuwa mtoto? kwa hiyo ndio maana Zitto kachukuwa mke wake? huu ni unyama mkubwa sana ndugu yangu. mtu ameharibiwa familia yake na sasa mnampa maneno ya kejeli kuwa ni mtoto?

Nashukuru mkuu.lakini si vyema kuwafanyia dhihaka wenzio kwenye matatizo. leo yeye kesho hujui nani? hata kama sio wewe nawe unaweza kupata watoto yakawakuta haya!
 
you know what? I'm beginning to like you mswahili! Nimechelewa kulala kwa sababu nilikuwa nasubiri jibu lako. You are quite a character, ndio maana sikubaliani kabisa na watu wanaotaka ufungiwe au nini. Unapachangamsha hapa sana. Kwanza hujakana kuwa una "manly crush" on Mwanakijiji na unapiga maneno ya kina Elton sijui kina nani isipokuwa kukiri feelings zako mwenyewe kwa mwanamme mwenzio. Kwa vile unajua mambo haya yanatokea na kwa haraka unaweza kupata site zao (you are really preoccupied with ugay) basi sisi sote tutaendelea kukusikiliza na itakuondolewa stress isiyo ya lazima ukiamua kutoka hadharani (come out).

Kaka wewe kubali tu yaishe. NImeangalia jibu lako hapo juu na kile nilichokuwa nawazia utafanya ndio umefanya na hivyo kuendelea kuthibitisha kuwa huwezi kuandika malalamiko yako mengi bila kumtaja "mwanakijiji". Kwenye jibu lako hapo juu umemtaja mara 13! Hii si kawaida, bila ya shaka popote unapokwenda hilo jina haliko mbali.

Nimejaribu kutafuta nione mahali popote hapa hadharani ambapo mwanakijiji ametaja jina lako hivi karibuni. Hakuna. Sijui mara ya mwisho ilikuwa mwezi gani, lakini wewe kila ukiingia naona mawazo yako ni "mwanakijiji,mwanakijiji,mwanakijiji". Nakushauri uache kusikiliza radio yake inawezekana sauti yake inakuharibu!

Kwa niaba yangu na ya memba wengine naomba ujitangaze hadharani tu ili tuyamalize kuwe mwenzetu ni timu "ile" na wasiliana na mwanakijiji chemba myamalize.

Asante.
 
Mswahili,
Aaaah Mjomba hata Utani?... natania tu Mpakanjia hawezi kuwa mtoto..namfahamu vizuri sana nimefanya joke tu!
Looooh kumbe ulikuwa serious uliposema Wabara hawana ustaarabu? duuuh, umenichoka mzee wangu, poa vile vile!
 
Bi senti 50,
Aaaah kumbe sauti ya Mwanakijiji kijiko vile heee!
 



Kumbe hapa bado kuna upumbavu hivi. Mara ya mwisho nilijibizana na watu mambo ya kipumbavu mwaka jana na kwa muda mrefu nilidhani ustaarabu umejengeka lakini kumbe bado upumbavu upo.

Kwa jumla Mswahili umeongea upumbavu sana, na umeprove hivyo tena na tena. Una bahati kuwa rais ni ndugu yako, jitahidi umshauri utakavyo na endesheni nchi mtakavyo kwa vile ni swala la upwani na ubara. Nimetunza post yako ulioadress kwa rais kwenye hard disk yangu kwa kumbukumbu zangu na nitaweza kuitumia kwa namna yoyote ile nitayopenda kuonyesha some mentalities za wapwani. Kumbe muda wote huu tunabishana wakati wewe una yako moyoni mwako kuwa wabara wakukome. Je ndiyo hivyo pamoja na timu yako yote ya Mzee ES, Mtanzania, na Masatu, yaani watu wa pwani? Nadhani kuwa Masatu siyo wa pwani, nahisi yeye ni wa Musoma au Mwanza hivi; vile vile hata kama Mzee ES ni wa pwani kama wewe, sidhani kama anakubaliana nawe katika upumbavu huu. Sielewi kuhusu Mtanzania kwa vile sijafuatilia articles zake.

Nadhani sitajibizana na upumbavu huu tena.
 


Bi thumni unanifurahisa kweli kweli jinsi unavyomwaga psychology; in fact jamaa huyu ametaja "mwanakijiji" kama mara 17 hivi; very interesting.
 
Wazee nimewasikia, sasa tutaendelea kumsubiri Zitto, atakapokuwa tayari kuja hapa forum, ili tumkome nyani usoni hapa hapa giladi!
 
mzee es, na hapo akija na mimi nitakuunga mkono. amesema yeye mwenyewe basi tunatarajia ametoa ahadi ya kiungwana na ninatumaini baada ya kujibu maswali basi tutaridhika na kumuacha aendelee na maisha yake unless jambo jingine litokee. Hiyo ndiyo huitwa hekima.
 
Tatizo letu nadhani ni uwezo wa kuangalia mambo kwa mapana na marefu. Tunataka tuambiwe majibu yanayoendana na mawazo yetu tu; tunashindwa kunyofoa habari tunazotaka kutoka kwenye rundo la habari. Haya ndiyo pia matatizo ya viongozi tulio nao Tanzania ambao pia hawachambui habari na ndiyo maana wakipewa mikataba hawaisomi. Hata kama Zitto akijitokeza kujibu maswali na watu wakamwuliza upuuzi huu huu sitashangaa akiondoka. Inabidi tujifunze kuunganisha majibu yake ili kupata habari kamili, siyo habari zote zitakazokuja moja kwa moja vile.
 
MM

nilisema huko nyuma kwamba Mh. Zitto amepotea wiki 5 bila kuonekana; akajibu kuwa nani kasema wiki 5 in muda mrefu?

Sie tutasubiri lakini anvyozidi kukawia, inatufanya tuamini yanayosemwa na yanayoendelea kusemwa juu ya haka 'kaskandali'. Yeye mwenyewe kakiri kuwa uongo usipojibiwa hugeuka ukweli.
 
Kichuguu,

Umeandika:
"Tatizo letu nadhani ni uwezo wa kuangalia mambo kwa mapana na marefu. Tunataka tuambiwe majibu yanayoendana na mawazo yetu tu; tunashindwa kunyofoa habari tunazotaka kutoka kwenye rundo la habari. Haya ndiyo pia matatizo ya viongozi tulio nao Tanzania ambao pia hawachambui habari na ndiyo maana wakipewa mikataba hawaisomi"

Jitahidi sana kuto ku question abilities za wana JF kwasababu huwajui na haina maana kwamba kama wewe ni researcher basi una tofauti na mwana JF mwingine yeyote. Kinachoendelea hapa ni mapambano ya principles, ni mapamambano ya misimamo ambayo hii JF inatakiwa ifuate huko mbele. Kinachoendelea hapa hakina uhusiano wowote na uwezo wa kuchambua mambo au kutokuwa na uwezo wa kuchambua mambo.

Kiongozi yeyote akiwa na scandal, hapa JF lazima aulizwe maswali tena sio on his own terms huo ndio msimamo wa baadhi yetu. Kundi lingine linaona ngono ni mambo binafsi, sil lazima zijadiliwe hapa. Kuna kundi lingine ambalo linaona Zitto kuwa hapa ni bahati kwa JF kwahiyo tumpe heshima hata pale anapokuwa na makosa, tumpe muda atakapokuwa tayari aje atoe msimamo wake.

Hayo yote ni mapambano juu ya visions za JF. Wanaoandika kila mtu amefanya uchambuzi wa kina kwa uwezo wake. Sasa, kuanza ku question uwezo wa hao watu naona ndio arrogance hizo hizo tunazozipinga hapa.

Kama mnataka mashindano ya kuchambua hoja, anzisheni thread nyingine na tutakuwa tayari huko huko kushindana kwa hoja.

Kwa upande wangu kama alivyoandika hata mzee ES na wengine wote, kinachonisikitisha zaidi ni hili la kujaribu kuzuia watu waache kuuliza maswali, au waache kumjadili Zitto kwasababu tu eti amesema atakuja kujibu on his own terms. Toka lini watu wakazuiwa kujadili au kuuliza maswali hapa JF?

Waacheni watu waendelee kujadili na msianze ku question abilities zao wakati hata watu wenyewe hamuwafahamu. Kama mtu huna la kuongezea kaa kimya na mjadala utaendelea mpaka watu watakapochoka wataacha wenyewe.

JF ina sheria zake, kama mtu amekiuka hizo sheria ndio apewe warning au kuadhibiwa. Lakini sio kwasababu wewe huoni faida ya baadhi ya maswali kuulizwa basi uanze kuwaambia wana JF wengine wasiulize.
 
Mzee ES,

Naona umeandika hoja nzito kweli kweli. Unajua UNAFIKI au DOUBLE STANDARDS ndio mwanzo wa mifarakano katika jamii zote. Muhimu ni
kuhakikisha taratibu tunazotumia kuendesha mijadala hapa hazitegemei mtu wala chama. Muhimu nafikiri wote tumejifunza juu ya hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…