Ndugu yangu mswahili ni lazima uwe tayari kukubali kuwa tatizo liko kwako na unatumia wengine kuepuka ukweli kuwa una matatizo ya kisaikolojia. Kama kuwa mtu wa pwani haupo pekee yako humu na kama suala la chuki za kidini muislamu hauko pekee hapa kaka
.
Kwa miaka mingi sana nimekuwa nikisumbuliwa na hili suala la kukejeli neno waswahili ama uswahili ambalo mara nyingi huficha uislam kwa kulihusisha na tabia hovyohovyo na sio uungwana kama ilivyokuwa hapo zamani. Na hili limekuwa linaniuma sana........Lakini kwa jinsi unavyobehave humu nasikitika kuwa unahalalisha prejudice za wengi kuwa waswahili ni watu hovyo na ndio maana mtu kama JK hafai kuwa kiongozi katika jamii ya wale ambao wanajiona kuwa wako civilised yaani wasio waswahili (ama waislamu)
Kuna mengi sana humu kama sio yote unayoongea ni udaku tu unaotegemea ama ushahidi wa vibarazani ama magazeti ya udaku na ndivyo ambavyo watanzania wanaaminishwa kuwa hivyo ndio vyanzo vikuu vya ufahamu wa waswahili.
Nimeona katika uchafu wako wote unaoleta huku upo tayari kuwatetea wale unaona kuwa ni waswahili wenzako(waislamu) and sometime blindly. Kuna mambo mengine umekuwa ukitetea humu wakati ukijua kabisa kwamba yana ukweli.
Lakini zaidi umekuwa ukitetea baadhi ya mambo bila hata ushahid na unajifanya unayajua. Katika ile picha ya kina Dada Muhonga na yule mwengine unayemwita LEILA Mayenga ambayo walipiga katika sherehe nyumbani kwa waziri mkuu katika kikao cha bunge mwaka jana. Kutumia jina la LEILA kunaonyesha dhahiri jinsi ulivyo hovyohovyo kama ambavyo watu wengi huwaidentify waswahili (waislamu). Hivi unajua chanzo cha huyo dada mheshimiwa kuitwa hilo jina. Hivi kweli wewe unamjua huyo Mheshimiwa? Ama kwa sababu siku hizi anajiita LEILA na sio LUCY basi ameshakuwa mfano wa kuigwa na kutumia kuonyesha eti kuwa wengine ni wabaya.
Umekuwa ukibishana na mkandara kuwa katika jamii yako hakuna tatizo la ubaradhuli huku ukijua wazi tofauti iliyokuwepo kati ya jamii ya kimagharibi (ukristo) na jamii ya kiswahili (uislamu) ni kuwa wenzako wamekuwa na na utamaduni wa uwazi na uvumilivu kwa kiasi fulani na ndio maana hayo yanasemwa kwa uwazi lakini sio kuwa wamezidi jamii yako. Unataka kuniambia kuwa waswahili hawana tabia ya ubaradhuli?
Unajua wazi hata hao wengine kama Jamaa zake Philomon Michael wamejifunza huo ushenzi kutoka katika jamii yako. Unajua wazi kuwa wakati tabia hiyo inaanza kukua katika jamii zengine nchini kwetu, lakini ubaradhuli umeota mizizi katika jamii za kiswahili kiasi cha kufikia watu wafanyao huo ushenzi kuwa legends katika jamii.
Ndugu yangu mswahili kwa kifupi wewe una tatizo ambalo kwa ujuvi wangu mdogo katika maswala ya afya ya jamii, naweza kusema una identity crisis..
Unachohitaji si kuwakashifu na kuwazulia mambo wengine bali unatakiwa kujiangalia wewe binafsi mapungufu yako (self reflection) halafu kujifunza kubadilika na kuwa mwema zaidi ili unufaike na kuwa na manufaa kwa jamii yetu. Ukiweza hilo ndio utakuwa unajisaidia na kusaidia jamii yako ambayo inahusishwa na staarabu hovyohovyo kutokana na makosa madogomadgo kama unayofanya wewe hapa.
Lingine kaka, niliweka suala la Dr Dau ili kukuchokonoa tu lakini ukweli ni kuwa mimi namjua sana DAU na naijua issue ile A-Z with written proofs na DAU ni mmoja wa watu walionisaidia kufika nilipofika na namuona kama nimuonavyo Zitto kama mmoja wa watu muhimu katika maisha yangu, ya jamii yangu na Tanzania yangu kwa ujumla. Nasikitika kusema kuwa kama katika ule mjadala wa ukabila na ule wa Dr KIMEI, DR DAU alidhalilishwa basi ni kutokana namapungufu yako. Nasikitika kuwa hata mdogo ambaye tupo naye humu alishindwa kuliona hilo na kuendelea kukuunga mkono wakati ukimwanika DAU kwenye zizi la mafisi waliokuwa wakitafuta njia ya kumdisqualify kama ambavyo wanalenga kwa Zitto hivi sasa
.
Tanzanianjema
Wakuu.
Habari za masiku? Nimeufuatilia huu mjadala kuna mambo muhimu tunaweza kujifunza kwa mustakabali wa Taifa.
Mswahili amekuwa akiandamwa, kwa sababu ya jina lake Mswahili na angekuja na jina Joseph au Smith tungesema anatoa data.
kuna wengi wamesema Mswahili mdini na mkabila, lakini hapa wanajadiliwa waislam watupu Zitto,Amina na Mpakanjia uzuri zaidi kati yao hakuna mchagga.sioni mkristu wala mchaga. tumwambie Mswahili unawashambulia waislamu wenzako. sisi hatufanyi hivyo.
hapa mnamuonea Mswahili, kuna hoja hazijapata majibu sahihi kuna sehemu bi senti 50 anasema Zitto Kabwe alikosa scholarship, ndio akaenda chuo kikuu cha Dar. na Kitila anasema walimshauri afanye hivyo. badala ya bi senti kuja na jibu sahihi anakuja kumkejili Mswahili kwa mambo ya Mwnkjj. hili linaonesha ukwepaji wa hoja.
Zitto Kabwe ndiye aliyevuruga mjadala huu, kwa kurudi kwenye forum kupitia mlango wa uani huku akijua watu wanamsubiri kama mpira wa kona.
Haikuwa busara kuendelea kumtetea Zito huku tukijua ananuka kashfa nzito.
Mswahili ameonesha hana beef na Zitto isipokuwa kwa kuona watu wanamfagilia mhalifu, ukipitia michango ya Zitto kabla ya sakati hili,sioni sehemu ambapo wamekwaruzana na Mswahili.
Mwanakijiji nae amekuwa kikwazo kingine, kila mada ya Chadema lazima achangie positively. utafikiri ana mkataba nao, hili wana JF wanalifumbia macho angekuwa Nungwi mngesikia kelele. kutetea uovu si jambo la kufurahia kwa sababu yeyote itakayotolewa.
Mswahili pamoja na kuwa jina lake hamlipendi, amekuwa neutral kama mmefuatilia mada ya Ditopile alivyodai yeye. hajachangia chochote kumsuport Dito na kwa vile wote ni waswahili wangesaidiana, Mswahili aliweza kuvumilia, ni sawa na Mwanakjj kuweza kuvumilia kuona mada ya Chadema au wanafunzi Ukraine imesomwa na watu elfu 20 na asichangie. ni jambo ambalo haliwezeni lazima atakuwa Bias tu. jamani tunajuana humu tuache unazi.
Kichuguu.
Matusi uliyomwaga humu ni uthibitisho wa ujinga wa wasomi wa Udsm, huwezi kumwambia mwenzako kuwa ********. kila siku mnakesha kumtukana Dr.Warioba wa Mzumbe University, hajawahi kuwaambieni kuwa ni wajinga. ana busara,hekima na uvumilivu mkubwa ambao nyie mnaojifanya malecturer wa Udsm, mmejaa jazba, matusi na upendeleo wa wazi kumsaidia Zito Kabwe sababu alisoma chuo kikuu cha Dar-es-salaam, mjadala huu umenisaidia kujua kuwa Udsm inakula makapi ya Zanzibar University, mtu aliyefukuzwa Zanzibar University watu wa Udsm wamempokea kwa mikono miwili hili ni jambo la aibu sana.
Tanzania Njema au niseme Tanzania Daima.
Historia aliyoitoa Mswahili kuwahujumu waswahili kupitia chuo kikuu cha Dar-es-salaam haina shaka ndani yake. kumekuwa kunapikwa migomo na majungu kila ajapo kiongozi Mswahili.
Kazi ya Dr.DAU inaonekana,labda kwa vile wewe unajibu lako kuwa waswahili ni watu wa ovyo ovyo ndio sababu kuu ya kumpiga vita huyo bwana.
kulikuwa na mada ya Nssf na Mengi ulikuwa wapi TN? hii ni kuonesha chuki zako za wazi kama ambavyo amekuwa akipigwa vita Dr.Warioba. jamani na Dau naye kwa vile Dr. ndio mnamchukia? huyu Dau ni mtu wa UDSM, msimchukie na amelitoa mbali shirika hili,jifunzeni utaratibu wa kusifia pale wanapostahili.DR.Dau hongera kuiongoza Timu yetu ya Taifa kuifunga Burkina Fasso, umeacha shughuli zako uko na vijana bega kwa bega.nimeiamini kamati yako ya oparesheni Ushindi.
jamani tuwe wa kweli wa nafsi zetu, kwangu mimi waswahili ni watu waungwana sana na watu wema.
mlianza kuwabagua Wana Mzumbe kuwa ni wababaishaji, sasa mmewavamia waswahili kuwa ni watu ovyo ovyo.
Nani kiziwi humu? kila JK akifanya mabadiliko akiweka waislamu. tutalalamika weeeeeee. hata pale wakristu tunapokuwa wengi bado tunaona hawa waislam hawastahili na ni watu ovyo ovyo tu ni sehemu ya jamii yetu.
kwa muda mrefu JK amekuwa akichagua wakristu sana hivi karibuni toka wakuu wa wilaya, afisa tawala wa mikoa, kundi la mawaziri waliochaguliwa kipindi cha Membe kupewa mambo ya nje, hakuna muislam japo wa dawa aliyechaguliwa.tulilala kwa salama na amani.
tufuatilie makatibu wakuu wamechaguliwa hivi karibuni wote ni wakristu, tabaka gani tunajenga? alipochaguliwa Adadi kuliwaka moto, Mkuu wa usalama wa Taifa ilikuwa balaa. huu si ustarabu ndugu zangu.
Mswahili.
Ushauri wangu kwako. kitendo cha kutumia jina halisi imekuwa tabu kwako. ungejaribu kuiga ulimbukeni wa Udsm, kujipa majina ya kizungu kama DR.Augustine Moshi, au John Walker hapo ungepata heshima kubwa kama Es.
Ulichokisema hapa nakupongeza sana kijana wangu.usiwaogope ndio tabia yao hawa walijaribu kumfuatafuata DR.warioba na kuanzisha mada za uongo na majungu juu yake leo wamenyamaza, nilipambana nao kwa nguvu zote walipotaka kuharibu jina la kiona mbali au tochi ya Taifa letu.
Ukisikia Dau analalamikiwa sababu pale kuna msomi toka chuo kikuu cha Mzumbe kama naibu waziri wa wizara ya Dau, kwao wao lengo ni kumchafua DR.Nchimbi. huyu chizi Bi senti 50, muulize DR.Nchimbi wamemtaja mara ngapi humu?na amewahi kuwajibu? au wanataka bakora yake? aliyelikoroga Zito lakini wao wamekazana na DR.Nchimbi tu.
Mswahili.
Wewe mtu matata sana, nakuuliza jee Mwanakijiji alifanikiwa kushughulikiwa na mzee Mkono?
WanaJF.
Mada hapa ni Zitto msilete matusi, graduate wa Udsm kavunja nyumba ya watu hiyo ndio kesi iliyopo hapa. msijaribu kupindisha topic au muelekeo wa mada hii.