Wanene kuongezewa marupurupu

Wanene kuongezewa marupurupu

Kichuguu,

Umeandika:
"Tatizo letu nadhani ni uwezo wa kuangalia mambo kwa mapana na marefu. Tunataka tuambiwe majibu yanayoendana na mawazo yetu tu; tunashindwa kunyofoa habari tunazotaka kutoka kwenye rundo la habari. Haya ndiyo pia matatizo ya viongozi tulio nao Tanzania ambao pia hawachambui habari na ndiyo maana wakipewa mikataba hawaisomi"

Jitahidi sana kuto ku question abilities za wana JF kwasababu huwajui na haina maana kwamba kama wewe ni researcher basi una tofauti na mwana JF mwingine yeyote. Kinachoendelea hapa ni mapambano ya principles, ni mapamambano ya misimamo ambayo hii JF inatakiwa ifuate huko mbele. Kinachoendelea hapa hakina uhusiano wowote na uwezo wa kuchambua mambo au kutokuwa na uwezo wa kuchambua mambo.

Kiongozi yeyote akiwa na scandal, hapa JF lazima aulizwe maswali tena sio on his own terms huo ndio msimamo wa baadhi yetu. Kundi lingine linaona ngono ni mambo binafsi, sil lazima zijadiliwe hapa. Kuna kundi lingine ambalo linaona Zitto kuwa hapa ni bahati kwa JF kwahiyo tumpe heshima hata pale anapokuwa na makosa, tumpe muda atakapokuwa tayari aje atoe msimamo wake.

Hayo yote ni mapambano juu ya visions za JF. Wanaoandika kila mtu amefanya uchambuzi wa kina kwa uwezo wake. Sasa, kuanza ku question uwezo wa hao watu naona ndio arrogance hizo hizo tunazozipinga hapa.

Kama mnataka mashindano ya kuchambua hoja, anzisheni thread nyingine na tutakuwa tayari huko huko kushindana kwa hoja.

Kwa upande wangu kama alivyoandika hata mzee ES na wengine wote, kinachonisikitisha zaidi ni hili la kujaribu kuzuia watu waache kuuliza maswali, au waache kumjadili Zitto kwasababu tu eti amesema atakuja kujibu on his own terms. Toka lini watu wakazuiwa kujadili au kuuliza maswali hapa JF?

Waacheni watu waendelee kujadili na msianze ku question abilities zao wakati hata watu wenyewe hamuwafahamu. Kama mtu huna la kuongezea kaa kimya na mjadala utaendelea mpaka watu watakapochoka wataacha wenyewe.

JF ina sheria zake, kama mtu amekiuka hizo sheria ndio apewe warning au kuadhibiwa. Lakini sio kwasababu wewe huoni faida ya baadhi ya maswali kuulizwa basi uanze kuwaambia wana JF wengine wasiulize.

Mtanzania nimekusikia loud and clear,

Ila kabla ya kuandika vile nilikuwa nimerudia posts zote zilizokuwa pale kwenye vibweka (ambapo hata hii thread imehamishiwa) na posts zote zilizokuwa kwenye hii thread. Baada ya kulinganisha posts za watu na majibu yao ndiyo maana nikaandika vile. Before that nilikuwa nimetoa summary of events kujibu swali la Mzee ES unaweza kuipata huku nyuma.

Kama nilivyosema huko nyuma, naturally binadamu wengi tuna tabia ya kulaumu wengine wakati matakwa yetu yasipotimia. Ruksa mtu yeyote kutumia jina langu kutoa lawama zake, ila nimetahadharisha tu kuwa itapunguza frustrations na excitement kama tutaweza kuextract information kutoka kwenye garbage. Usitegemee kuwa kila mtu utajayemuhoji atakupa informationa katika form unayotaka, na usipoipata katika form hiyo usilaumu wengine. Imani yangu ni kuwa Jamboforum siyo kilabu cha pombe ambapo watu wanaongea bila kuangalia upya yale waliyoongea,
 
Admin,

Rudisha hii mada mahali pake, kule Giladi sio huku uwanja wa Karume, rudisha mkuu kwa ajili ya heshima ya forum, hatutaki mjadala on hili mkuu wewe tafadhali rudisha kule!, wakati tunaednelea kumsubiri Mheshimiwa Zitto!

Ahsante Mkuu!
 
Naweza kufanya hivyo kwa 'kukupa heshima tu' lakini THINK about it. Haipingiki kuwa hii inastahili kukaa kwenye VIBWEKA VYA WAKUBWA kwakuwa hoja inayojadilika ipo eneo hili hili.

ES, ukiona nafanya hivi na kuirejesha Siasa basi elewa ni kwakuwa JINA LA TOPIC linadhihirisha ilitakiwa ikae hapa. Hata hivyo mbona umepaona huku? Maanake Forum ni moja lakini hoja zinagawanyika. Just in case wengi wanahitaji irejee Vibweka vya wakubwa NITAIREJESHA.

Nice w/end to all
 
Hapana hii thread isirudishwe kwenye siasa. Hapa ilipo ndipo pake. Isipokuwa title ya topic na content haviendani. Title ingehusu Zitto kula uroda au kufanya uzinzi na AC (ndivyo content yake ilivyo).
 
Asante Admin kwa kuirudisha.

Iendelee kubaki hapa hadi itakopoa au kujifia yenyewe.
 
Jamani waacheni wale, si tuliwachagua wenyewe? kwani tuliwatuma wawakilishe hoja kutatua matatizo yetu? ule ubwabwa maharagwe waliotupa si tayari malipo tosha? kama tulikubali KULA, vipi tudhani wao shida yao ilikuwa KURA!!? waKALE wapi? mnh ila bajeti imebana sana!!!, soo, itabidi tuangalie upya, kabla kujaza vikaratasi vya kura, 2010!
 
you know what? I'm beginning to like you mswahili! Nimechelewa kulala kwa sababu nilikuwa nasubiri jibu lako. You are quite a character, ndio maana sikubaliani kabisa na watu wanaotaka ufungiwe au nini. Unapachangamsha hapa sana. Kwanza hujakana kuwa una "manly crush" on Mwanakijiji na unapiga maneno ya kina Elton sijui kina nani isipokuwa kukiri feelings zako mwenyewe kwa mwanamme mwenzio. Kwa vile unajua mambo haya yanatokea na kwa haraka unaweza kupata site zao (you are really preoccupied with ugay) basi sisi sote tutaendelea kukusikiliza na itakuondolewa stress isiyo ya lazima ukiamua kutoka hadharani (come out).

Kaka wewe kubali tu yaishe. NImeangalia jibu lako hapo juu na kile nilichokuwa nawazia utafanya ndio umefanya na hivyo kuendelea kuthibitisha kuwa huwezi kuandika malalamiko yako mengi bila kumtaja "mwanakijiji". Kwenye jibu lako hapo juu umemtaja mara 13! Hii si kawaida, bila ya shaka popote unapokwenda hilo jina haliko mbali.
Muhonga.


Nimejaribu kutafuta nione mahali popote hapa hadharani ambapo mwanakijiji ametaja jina lako hivi karibuni. Hakuna. Sijui mara ya mwisho ilikuwa mwezi gani, lakini wewe kila ukiingia naona mawazo yako ni "mwanakijiji,mwanakijiji,mwanakijiji". Nakushauri uache kusikiliza radio yake inawezekana sauti yake inakuharibu!

Kwa niaba yangu na ya memba wengine naomba ujitangaze hadharani tu ili tuyamalize kuwe mwenzetu ni timu "ile" na wasiliana na mwanakijiji chemba myamalize.

Asante.
muhonga.

JK NA SERIKALI YAKE MMEMTAJA MARA 13?
 
Bi thumni unanifurahisa kweli kweli jinsi unavyomwaga psychology; in fact jamaa huyu ametaja "mwanakijiji" kama mara 17 hivi; very interesting.

Kichuguu.
Akiandika sent 50 unasema psychology. mie unasema upumbavu.kweli hapendelewi mtu hapa?. una authority gani ya kusema ninachoandika mimi ni upambavu? na body ipi iliyokupa dhamana hiyo?

nakuuliza sio wewe na kundi lako? kuna siku alichaguliwa mkurugenzi wa idara moja nyeti kwa vile ni mswahili. yalikuja matusi na kejeli nyingi tu kwa JK.

kumteua huyu bwana. na kigezo kuwa jamaa hajasoma na mengi tu. huyu bwana kabla ya kupewa ukurugenzi mkuu alikuwa mkurugenzi wa utawala na fedha.nilipofanya utafiti wangu nikaona yule aliyeingia ana masters wakati anayeondoka ni kidato cha sita. hapo ndio nikajua kuna crusade ya namna gani kwa JK..
unasema nimetaja mwanakjj mara 17.nakuuliza B.B.C AU sky news inatajwa mara ngapi kwa siku? au tunai google mara ngapi? VYOTE ni vyombo vya habari ndugu kichuguu.
acha upendeleo wa kijinga. tuko macho hapa.
 
Kichuguu.

******** ni wewe usieweza kutuma post 2 bila kutaja "wakati nafundisha pale mlimani" huo upumbavu wa hali ya juu. Nani anataka kujua hilo? Why keep repeating it so many times? pumbafffffffffffff!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mzee Amin,

Heshima mbele mkuu, acha hii topic hapa mkuu mbona imekaa karibu wiki mbili hakukuwa na noma, yaani toka jana tu ndio imekuwa haifai kuwepo hapa?

Iache itajifia yenyewe!

Ahsante Mkuuu!
 
you know what? I'm beginning to like you mswahili! Nimechelewa kulala kwa sababu nilikuwa nasubiri jibu lako.

Well, it is quite clear here who has crush on the other. Ha ha ha! Anyway, kama tunataka hii forum iendelee kuwa na heshima, basi tupingane lakini tuheshimiane. Tusimamie principle pasina kutukanana na kukejeliana.
 
Mzee Amin,

Heshima mbele mkuu, acha hii topic hapa mkuu mbona imekaa karibu wiki mbili hakukuwa na noma, yaani toka jana tu ndio imekuwa haifai kuwepo hapa?

Iache itajifia yenyewe!

Ahsante Mkuuu!


ES,

I am disappointed by some posts in this topic. Sikutarajia watu wanaweza kuwa na kauli chafu kiwango ninachoanza kuona. Naamini ni w/end tu ndo inasababisha haya. Na leo ni mara ya kwanza w/end kuwepo mimi hapa maana nakuwa kwenye mizunguko mingi kimaisha.

Alichoongea Masatu kimeni-shock sana!

See:

Kichuguu.

******** ni wewe usieweza kutuma post 2 bila kutaja "wakati nafundisha pale mlimani" huo upumbavu wa hali ya juu. Nani anataka kujua hilo? Why keep repeating it so many times? pumbafffffffffffff!!!!!!!!!!!!!!!!


Huu si uungwana na hoja za namna hii mnajua adhabu yake. Sijafurahishwa na naamini watanzania wengi hawajafurahishwa na majibu kama haya. Nadhani tuangalie impact ya hasira zetu over wengine... Neno 'upumbavu' linaweza kuwa na maana mbaya linapotumika kimkazo na msisitizo mkubwa. That's what's within this post.

Sijui nimhukumu nani au nichukue hatua gani??? I'm feeling ashamed for bringing this topic back!
 
Kichuguu.

******** ni wewe usieweza kutuma post 2 bila kutaja "wakati nafundisha pale mlimani" huo upumbavu wa hali ya juu. Nani anataka kujua hilo? Why keep repeating it so many times? pumbafffffffffffff!!!!!!!!!!!!!!!!
Kaka Masatu.

Mlimani ni tungo tata, inawezekana kuwa na maana ya Kilimanjaro. maana hata mkuu freeman alisema kuwa mbona chief marealle haenziwi vizuri JF au kwa vile ni mtu wa mlima? iko TRA NA UCHAGGA THREAD.

KUHUSU Kichuguu.

Anasema mimi ni ******** kwa maandishi ya kupuuzi. lakini Mpakanjia kaandikwa kuwa ni Msenge na Mkandara. bwana Kichuguu kashindwa kutoa hata yellow card. kambeba mkandara kwa mbeleko.
ndio wasomi wetu. cha ajabu msomi mzima kama anavyolazimisha tukubali anatoa kauli namna hiyo.

nakuombeni nendeni kwenye hoja ya msingi ya Zitto hapa kuna mpango wa kutopeleka pembeni. nasubiri wajae wana JF. NIWEKE B-52 kwa zitto na family yake,
 
ES,

I am disappointed by some posts in this topic. Sikutarajia watu wanaweza kuwa na kauli chafu kiwango ninachoanza kuona. Naamini ni w/end tu ndo inasababisha haya. Na leo ni mara ya kwanza w/end kuwepo mimi hapa maana nakuwa kwenye mizunguko mingi kimaisha.

Alichoongea Masatu kimeni-shock sana!

See:




Huu si uungwana na hoja za namna hii mnajua adhabu yake. Sijafurahishwa na naamini watanzania wengi hawajafurahishwa na majibu kama haya. Nadhani tuangalie impact ya hasira zetu over wengine... Neno 'upumbavu' linaweza kuwa na maana mbaya linapotumika kimkazo na msisitizo mkubwa. That's what's within this post.

Sijui nimhukumu nani au nichukue hatua gani??? I'm feeling ashamed for bringing this topic back!

ADM.

Mpakanjia sio member humu. Mkandara amesema ni msenge hukutoa comments, vipi?
wewe acha tu. Ditopile watu walisema wakachoka. neno hilo jepesi sana kuliko msenge alilosema Mkandara.
 
Kaka mswahili,

There's no more politics in this topic as it started! Imeanza kuibua 'bifu' ambazo si dhamira ya JF.

Kauli za kumalizia hoja kwa msisitizo wa PUMBAFFFFFFF!!!!!!!! ni kuonesha kufikia hatu mbaya na kukosa uvumilivu katika hoja.

Huwa sina rafiki ninapofikia maamuzi. Guess what, hata Mwanakijiji anaweza kukumbuka nshampa warning mara ngapi, Mkandara same and even Murangira. Ni wajibu wangu kutoa tahadhari ninapoona tunaenda visivyo. I do respect you bro mswahili lakini nawe ukianza kutoa hoja za PUMBAFFFF naamini utanichukia bure... Napenda tujibizane kiutu uzima sio kudharauliana au kukashifiana kizembe.

Kumtupia mtu dongo kunawezekana lakini kwa njia mbadala sio ya wazi namna hii! Hope nimeeleweka.

Am out on this
 
Nashangaa sana sasa unaposema kuwa nimekuzuia kumwuliza Zitto maswali uliyotaka kuuliza, na kuwa nimetetea upumbavu; nikasema Mungu wangu, uzee wangu wote huu nitetee upumbavu hapa kwenye forum. Pamoja na kwamba baadhi ya wafuasi wako kama Masatu na Mswahili walikuwa na majibu ya kipuuzi sana, napenda kukumbusha kuwa kuwa tulikuwa tunajabdili mambo ya bunge, na wewe ndiye uliyeuliza swali la kwanza kuhusu swala hili na vile vile kuwa umefunga kuwa umekubaliana na jibu lake.

Invisible

What abt that one from Kichuguu?
 
Masatu, wewe mtu mzima... Omba radhi kwa kumalizia na neno kali sana la PUMBAF and we can carry on. Sijui maana haswa ya neno 'upuuzi' lakini nadhani neno ulilomalizia kwenye sentensi yako lilikuwa KALI MNO.

Come down and regret...

I beg to be out pls
 
Kaka mswahili,

There's no more politics in this topic as it started! Imeanza kuibua 'bifu' ambazo si dhamira ya JF.

Kauli za kumalizia hoja kwa msisitizo wa PUMBAFFFFFFF!!!!!!!! ni kuonesha kufikia hatu mbaya na kukosa uvumilivu katika hoja.

Huwa sina rafiki ninapofikia maamuzi. Guess what, hata Mwanakijiji anaweza kukumbuka nshampa warning mara ngapi, Mkandara same and even Murangira. Ni wajibu wangu kutoa tahadhari ninapoona tunaenda visivyo. I do respect you bro mswahili lakini nawe ukianza kutoa hoja za PUMBAFFFF naamini utanichukia bure... Napenda tujibizane kiutu uzima sio kudharauliana au kukashifiana kizembe.

Kumtupia mtu dongo kunawezekana lakini kwa njia mbadala sio ya wazi namna hii! Hope nimeeleweka.

Am out on this

Mbona mimi hukunitaja uliponifungia miezi 3 kisa nilichangia mjadala wa Mengi.kumbuka kipindi kile alipokuwa mengi mwenye kama moderator? hujanitendea haki taja kama uliwahi kunifungia.

pia MPAKANJIA sio members humu. ameitwa msenge una comment nini hapo?
kama upumbavu kichuguu kaanita sana. Adm. mbona umekuwa mkali kwa kauli iliyoanzia kwa kichuguu ,mwenyewe na masatu ameirudisha huko.limeshakuwa kosa. duuh Adm niweke sawa mkuu. labda nami nimekuwa makengeza ila kiswahili ni lugha yangu naelewa kwa ufasaha.
 
Back
Top Bottom