Wanene kuongezewa marupurupu

Wanene kuongezewa marupurupu

BI sent 50.
Kama panatosha. tunaanza na maisha ya mama zitto akiwa buguruni malapa. nenda wajihi wake na polisi ya buguruni.
then nitakuja kwenye malaani utayoyataka.nasubiri watu waje.
 
Zile za gazetini sikuwa nimezitilia uzito sana, lakini hii juzi baada ya kupigia kelele alijibu hivyo hivyo in writing hapa na kuanzia hapo ndipo nilipoanza kutofautiana na wenzangu. Tulitakiwa kumcorner kwenye jibu hilo badala ya kumtaka atamke explicitly kuwa kweli alikula mtoto; that is not possible.

Swali la Ziada: Kwa nini Serikali inakubali Taifa Starts isafiri kwa ndege ya propeller kwend kutuwakilisha Ougadougou umbali wote huo? hakuna jet?

Hapa serikali inaingiaje? Haya sio mambo ya TFF kweli? au ndiyo hivyo mkubwa ni jalala? Nafikiri ifike mahala tuweze kutofautisha kipi tuilize serikali na kipi tuelekeze kwa vyama husika!!
Pengine serikali ndiyo imejitakia yote haya kwa kujifanya yenyewe ni baba mwenye uwezo wa kufanya kila kitu!
 
Ungeenda kujibia Kule kwenye michezo, nimeweka link hapa kwa vile ndipo kuna wasomaji. Najua kuwa serikali imekuwa msitari wa mbele na hata Rais aliwahi kusema kuwa TFF wakiwa na shida kuhusu timu ya Taifa wasikose kumwona.
 
Ok, mkuu wangu, nitatembelea hicho kiwanja cha michezo maana huwa sipiti kabisa. Lakini bado point yangu inasimama Rais wetu mpendwa amekuwa akijitwisha mambo mengine ambayo sio lazima afanye yeye. He wants to do everything as a result he ends up doing nothing na lawama inabidi abebe yeye! Anatia huruma, lakini nafikri anaudhi zaidi kuliko kutia huruma!
 
Bi senti 50.
Tutaenda kigoma sekondari, mkasa wa baba ya mheshimiwa kumnyanyapaa mama yake, huyu mama kawafanyia nini watu wa Dar, na Rb ALizopewa na kituo cha polisi buguruni.
 
kiu009rg3.jpg

Hali ya Amina mbaya!
Mpakanjia atokwa machozi ukweni!
Hajaenda bungeni hadi leo!
Ripoti ya udaku.angalia blog ya michuzi.
 
Hali ya Amina mbaya!
Mpakanjia atokwa machozi ukweni!
Hajaenda bungeni hadi leo!
Ripoti ya udaku.angalia blog ya michuzi.
Kazi ya zitto hiyo. tumeambiwa tusilete maswala binafsi. nashangaa hadi kina kichuguu, Mkandara wanakosa huruma na kuzidi kusema kuwa kwanini Amina halaumiwi? mie Mwanaume kwenda kumsuta amina si style yangu. niliweka wazi kuwa kafanya jambo baya.fuatilia kwenye mada ya ugoni wa zitto.
BI Sent 50 NA kundi lao wamasema ni uvushi tu.wakati mwanaharamu yuko bungeni huku nyuma kaharibu maisha ya watu. masikini Amina future yako kaharibu huyu mwanaharamu? ama kweli wa kitanda cha haramu huzaa haramu.
 
Mswahili,

Wee muhuni sana unapojitia una huruma! mhadaifu kumwonea huruma Chifupa hali wewe ni kiwembe. Aaaah angesema Mtazania labda ningeamini lakini wewe? heeee heee! na huyo senti 50 akukalie mbali kabisa! kwanza hii kujibu jibu anasogelea ndoana ya mvuvi!

Umesema sina huruma!....
Hapana ndugu yangu namwonea huruma sana AC pamoja na Zitto! Why? kwa sababu hawa wote wawili wamesema nani mgonvi wao na dunia ya wadanganyika haitaki kuamini. Dr. Nchimbi mbona hajatoa maelezo yake? kama yeye ndiye shuhuda wa haya maswala nadhani inabidi wananchi tuweke madai yetu mbele kuhakikisha kwamba huyu jamaa haleti majungu Bungeni!..
Dr. Nchimbi hakuwapaka Amina na Zitto peke yake kalipaka Bunge zima!..

Ebu tuangalie maneno yameanzia wapi kisha tumalizie kipande kinachosema hivi:-

Mwanasiasa huyo mchanga ameonja machungu ya kisiasa hadi kusababisha ndoa yake kuvunjika hivi karibuni. Amina anamshutumu mmoja wa vigogo ndani ya CCM kuwa ndiye amekuwa chanzo cha kuvuruga ndoa yake hadi ikavunjika.
Hata hivyo kumekuwapo na mchanganyiko wa mawazo kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake, wengine wakibainisha wazi kuwa imetokana na masuala ya kifamilia huku wengine wakidai kuvunjika kwa ndoa hiyo kumetokana na nia ya Amina kutaka kugombea moja ya viti vikubwa ndani ya CCM.
Tangu kuvunjika kwa ndoa yake Amina amekuwa haonekani kwenye majukwaa ya kisiasa na hata simu yake ya mkononi ambayo imeandikwa kwenye kitabu cha orodha ya wabunge imekuwa haipatikani.

Kwa hiyo Amina kisha sema nani mgonvi wake tunachotaka sisi ni yeye aje hadharani mpate kumuumbua, hakuna zaidi.

Link hii hapa http://www.dailynews-tsn.com/habarileo/page.php?id=2218
 
Tatizo lako uko one sided, kwa hiyo unaangalia habari ukiwa unafilter yale tu yaliyo upande wako huku ukitupilia mbali yale yote yasiyoenda upade wako.
 
Masatu,
Ebu twambieni upande wa pili mbali na Zitto ni Upi kwenu nyie?..maanake hapa imekuwa Zitto hivi Zitto vile!
Twambieni upande wa pili mnaouzungumzia nyie!. Upande huu tunasema Dr. Nchimbi na Amina na tunawazungumzia kama anavyozungumziwa Zitto.
 
The same as u...

Masatu, Let me assure you that at least I am more open minded than you. You have judged Zitto as a criminal without any supporting evidence, and you still do believe that a woman is a man's property that can be stolen. I don't look at things as naively as that, please.
 
Im talking abt sides as u accussed Mswahili. Whos is not affiliated sides? if mswahili is on that side obvious u r on the other! and its ur right anyway..
 
Hii forum naona inaelekea kubaya sana.Watu kama wanataka ku-chat si watafute site ingine. Admn. demokrasia ya kuongea chochote bila utaratibu ni vurugu kama inavyoonekana hapa.Forum hii sasa inakosa heshima na ninaamini inawezekana kuna watu wako planted humu kuihujumu hii forum na naamini wamefanikiwa. Kwa sasa inatia uvivu kuingia na kuja kusoma. Udaku umezidi. Kichwa cha habari kizuri maada iliyomo ni udaku. Mimi nina wasiwasi na mswahili kaiharibu kabisa hii forum.
 
Kichuguu,

Si afadhal hata utushukuru kwa kusimama kidete mpaka mheshimiwa akabadili
usemi wake wa kwanza na kuamua kujibu? Tungelikubaliana na akina Mwanakijiji mpaka leo tungekuwa tunaendelea kusema alivyokaririwa gazetini. Lakini sasa tunajua kwamba amekanusha.

Mimi binafsi toka alivyojibu sina tataizo tena na mheshimiwa. Nimetunza kumbukumbu zangu na naombea alichosema kiwe sahihi. Kuna jamaa kasema
hiyo ni kama mimba, huwezi kuficha mimba, kuna siku itaonekana tu.

Yanayoendelea hapa sasa ni mengineyo, ni kujifunza kutokana na huu mjadala na pia kumkumbusha ndugu yangu Mwanakijiji kwamba hekima kubwa au ndogo zote ni hekima na kila moja lazima iheshimiwa kwa wakati wake.

Sijawaji kuona ghafla comments nyingi zimemgeukia Mwanakijiji kama sasa. Mimi nimeelewa kama baadhi ya wanachama waliamua kusimama imara na kusema hapana Mwanakijiji hapa uko wrong.

Binafsi naheshimu contributions za Mwanakiji, kama ambavyo nimekuwa nikiheshimu contributions za watu wengine kama mzee ES, Mkandara na wengine wengi ambao siwezi kuwamaliza kuwataja. Ila tu kwa wakati tofauti nilipokuwa na mawazo tofauti nao, sikuogopa wala kuona haya kusema wakuu hapana, kwa hapa mambo hayaendi hivi.
 
Ni kweli hapa tumeingia kujadiri mambo mazito na hoja nzito ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni.
Nyepesi zanachukua 10% tu tena zije zikiwa zimeandaliwa vizuri siyo "hear said".
Ni vipi watu mnazikomalia nyepesi kiasi cha kuacha hoja za msingi?

Adm naomba wakati mwingine uwe unaingilia kati na kuchora mistari huku ukitoa makaripio pale jambo linapoponyoka na watu wengine kutwaa wasaa huo kupoteza lengo zima la mjadara.
 
Mswahili,

Wee muhuni sana unapojitia una huruma! mhadaifu kumwonea huruma Chifupa hali wewe ni kiwembe. Aaaah angesema Mtazania labda ningeamini lakini wewe? heeee heee! na huyo senti 50 akukalie mbali kabisa! kwanza hii kujibu jibu anasogelea ndoana ya mvuvi!

Umesema sina huruma!....
Hapana ndugu yangu namwonea huruma sana AC pamoja na Zitto! Why? kwa sababu hawa wote wawili wamesema nani mgonvi wao na dunia ya wadanganyika haitaki kuamini. Dr. Nchimbi mbona hajatoa maelezo yake? kama yeye ndiye shuhuda wa haya maswala nadhani inabidi wananchi tuweke madai yetu mbele kuhakikisha kwamba huyu jamaa haleti majungu Bungeni!..
Dr. Nchimbi hakuwapaka Amina na Zitto peke yake kalipaka Bunge zima!..

Ebu tuangalie maneno yameanzia wapi kisha tumalizie kipande kinachosema hivi:-

Mwanasiasa huyo mchanga ameonja machungu ya kisiasa hadi kusababisha ndoa yake kuvunjika hivi karibuni. Amina anamshutumu mmoja wa vigogo ndani ya CCM kuwa ndiye amekuwa chanzo cha kuvuruga ndoa yake hadi ikavunjika.
Hata hivyo kumekuwapo na mchanganyiko wa mawazo kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake, wengine wakibainisha wazi kuwa imetokana na masuala ya kifamilia huku wengine wakidai kuvunjika kwa ndoa hiyo kumetokana na nia ya Amina kutaka kugombea moja ya viti vikubwa ndani ya CCM.
Tangu kuvunjika kwa ndoa yake Amina amekuwa haonekani kwenye majukwaa ya kisiasa na hata simu yake ya mkononi ambayo imeandikwa kwenye kitabu cha orodha ya wabunge imekuwa haipatikani.

Kwa hiyo Amina kisha sema nani mgonvi wake tunachotaka sisi ni yeye aje hadharani mpate kumuumbua, hakuna zaidi.

Link hii hapa http://www.dailynews-tsn.com/habarileo/page.php?id=2218
Kichuguu.
Asnate kwa link hiyo ya Daily news,si udaku tena AMINA anaumwa na anashindwa kuwawakilisha wananchi. nimesikitishwa sana kuona kuwa ZITTO KABWE (KIPANYA) ameshindwa kuwa na huruma na amina.

nilitarajia kusoma kuwa naye Mbunge aliyezini na amina, amekwenda kumuona au anamuhudimia.Mpakanjia anazidi kuonesha uungwana kuwa hata mkiachana lakini bado mtasaidiana kwenye shida. kilichomtoa machozi nadhani ni ile hali ya kumkuta AMINA kafungwa kamba mikononi na hajijui na future yake yote imeharibika.sintoshangaa kusikia Amina kapoteza maisha wakati wowote ule.Tukimkomalizia Zitto tunaambiwa mambo binafsi,wakati nafasi ya mbunge mmoja imekwishapotezwa na ZITTO.

Mpakanjia ni mtoto wa pwani na kuna msemo unaosema kadri unavyokwenda bara-ndivyo ustaarabu unazidi kupotea.sitegemei mtu wa musoma type ya mwanakijiji, au ZITTO kuwa na uchungu au huruma kwa wagonjwa kwani ustaraabu umewapitia kushoto. ZITTO ACHA ROHO MBAYA KAMUONE AMINA, KWENYE RAHA MLIKUWA WOTE, LEO KWENYE SHIDA HUTAKI KUMJULIA HALI?.
 
Nyangumi,

Na wengine tukisema unaongea kama umetumwa na CCM, je utaamini? Waacha watu waseme na kuna saa watachoka na kuendelea na mambo mengine.

Jamii iliyo huru ina watu wa aina mbalimbali kuanzia wajinga, werevu, wagonjwa na wazima. Ukitaka JF iwe ya wenye akili tu, si muda mrefu itapoteza maana yake. Wacha JF iwakilishe jamii ya Kitanzania kama ilivyo mitaani Dar.

Kinachotakiwa ni kuwa na sheria na kama mtu anakiuka basi anaadhibiwa kama vile watu wanavyofungwa kule magerezani.
 
Back
Top Bottom