Wanene kuongezewa marupurupu

Wanene kuongezewa marupurupu

Kuuliza swali la msingi hata kama limejaa mambo ya ovyo si kosa hata kidogo.

Hakuna mtu anazuia kuuliza maswali.

Haya maelezo kuhusu maisha binafsi ya mtu kama yangetolewa kama maswali au tuhuma ingekuwa vizuri sana.
 
Hii forum naona inaelekea kubaya sana.Watu kama wanataka ku-chat si watafute site ingine. Admn. demokrasia ya kuongea chochote bila utaratibu ni vurugu kama inavyoonekana hapa.Forum hii sasa inakosa heshima na ninaamini inawezekana kuna watu wako planted humu kuihujumu hii forum na naamini wamefanikiwa. Kwa sasa inatia uvivu kuingia na kuja kusoma. Udaku umezidi. Kichwa cha habari kizuri maada iliyomo ni udaku. Mimi nina wasiwasi na mswahili kaiharibu kabisa hii forum.

Madila kakujibu juu kuwa nyani haoni makalio yake, mbona hujamtaja bi senti 50? umemuona mswahili tu? tumekubaliana na bi sent 50 kuwa hapa panatosha mnaogopa nini? tuliendeleze tu. timing yenu nzuri kwani ni week end wana JF kibao wanaingia. Es upo? njoo uwe refaa. wiki end hii ni komkoma nyani gladi!
 
Mswahili,
kuna msemo unaosema kadri unavyokwenda bara-ndivyo ustaarabu unazidi kupotea.sitegemei mtu wa musoma type ya mwanakijiji, au ZITTO kuwa na uchungu au huruma kwa wagonjwa kwani ustaraabu umewapitia kushoto. ZITTO ACHA ROHO MBAYA KAMUONE AMINA, KWENYE RAHA MLIKUWA WOTE, LEO KWENYE SHIDA HUTAKI KUMJULIA HALI?.

Heeh! heee! ama kweli wee mhuni sana!.. sawa mjomba tunakubali hilo maana ustaarabu wa Pwani mwanamme mzuri wa sura ni mke vilevile, mnafunga ndoa na dada zenu.. mnawakomaza watoto wa kiume mapema! Ama kweli pwani kuna ustaarabu!... tumejifunza mengi toka kwenu ingawa hatuyawezi.
heee heee heee!
 
Ni kweli hapa tumeingia kujadiri mambo mazito na hoja nzito ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni.
Nyepesi zanachukua 10% tu tena zije zikiwa zimeandaliwa vizuri siyo "hear said".
Ni vipi watu mnazikomalia nyepesi kiasi cha kuacha hoja za msingi?

Adm naomba wakati mwingine uwe unaingilia kati na kuchora mistari huku ukitoa makaripio pale jambo linapoponyoka na watu wengine kutwaa wasaa huo kupoteza lengo zima la mjadara.
Madilu kwenu nyinyi hoja ya msingi ni Ukraine na wanafunzi ambayo imekuwa ni Isidingo,Days of our lives au the bold and the beautiful. hakuna mtu aliyehoji uhalali wenu wa kutulazimisha kuwachangia wanafunzi wa ukraine huku wamepewa option ya tiketi.

kwangu mimi suala la Mbunge aliyekulia maisha ya ajabu na kutoka kwenye single parent kumzini mke wa mtu ni hoja ya msingi. kama mnavyoona nyinyi Chadema ni chama kwangu mimi chadema ni NGO YA mzee Mtei na mkwewe Mbowe.halikadhalika kwa mkristu kula nguruwe kwake ni sawa tu. lakini kwa muislamu ni haramu. lazima muwe na uelewa kuwa JF mada za msingi si zile zenye maslahi na chadema tu, kuna wengine hatuna vyama. na kutofautiana kimawazo ni nature ya binaadamu.cha msingi ni kuvumiliana tu. wewe na wenzako hamna authority kusema mada hii ni udaku na binafsi na hii ya msingi kama nani na vigezo gani mmetumia?
 
Mtanzania,

Siyo kwamba niwashukuru nyie kwa vile hata mimi nilitaka ajibu na ndiyo maana aliposhindwa nikaconclude kuwa anakubaliana na shutuma zile; nadhani nilionyesha kuwa alikuwa na alternative mbili na kachagua moja. Unajua kuwa watu wengi walijadili swala lile katika posts zaidi ya 300 na hakuwa amezijibu kwa muda wote unakaribia miezi miwili, kwa wote tulikuwa na hamu ya kuskia mwenyewe.

Napenda ujue kuwa siyo kwamba nilikuwa namtetea jamaa huyu kwa kitendo kile, ila nasema kuwa yale mashambulizi aliyotupiwa baada ya kuwa ameshajibu hayakuwa ya kistaarabu hasa kwa vile hakuna aliyekuwa ameleta ushahidi wowote. Imenitia wasiwasi kuwa kuwa wale wote waliofanya hivyo walikuwa na lengo lao tofauti kabisa na wengine wetu.

Ni kweli kama jamaa kasema uwongo tutafahamu siku moja (mfichaficha maradhi ataumbuliwa na kifo); tungeweza kumwuliza maswali ya ziada kuweza kumnasa lakini tumevuruga nafasi hiyo na matokeo yake pia tumejikosesha taarifa za casual za bungeni.

Kuhusu Mwanakijiji, unfortunately mimi sikuwa na tatizo na comments zake wakati Zitto aliposema atakuja kujibu kwa muda wake mwenyewe. Binafsi, nilidhani kuwa Zitto ameshakubali kuhojiwa au ameshahojiwa na Mwanakijiji kuhusu jambo hilo kwa hiyo walikuwa wanataka tusubiri hadi KLH News ije ituletee hizo Breaking-News. Sikulingalia hilo kwa ubaya wowote ile sikuwa naona umuhimu wa kuendelea kusubiri wakati mpikaji mwenyewe yuko hapa.
 
Mswahili,


Heeh! heee! ama kweli wee mhuni sana!.. sawa mjomba tunakubali hilo maana ustaarabu wa Pwani mwanamme mzuri wa sura ni mke vilevile, mnafunga ndoa na dada zenu.. mnawakomaza watoto wa kiume mapema! Ama kweli pwani kuna ustaarabu!... tumejifunza mengi toka kwenu ingawa hatuyawezi.
heee heee heee!

Mkandara
kwa issue ya ushoga naona mkuu unafeli.kanisa la kiangalikana linahangaika kuhalalisha ushoga jee wao ni watu wa pwani? huwajui mapadri waliojitangaza hadharani kuwa wao ni mashoga?

hujui sheria ya the same sex marriage act imepitishwa nchi gani? Elton John, George Michael ni watu wa pwani? mwaka jana UK kumetokea ndoa zaidi ya elfu 15 za mashoga kwa mwaka mmoja tu,

jee wao nao ni waswahili? akina nani walikuja kufanya vurugu kwenye mkutano wa kanisa la kianglikana duniani uliofanyika Zanzibar? hukuona wawakilishi wa gays,lesbians toka UK,Nigeria n.k? jiulize kwanini askofu Peter ambaye ndiye mkuu wa kanisa hilo ameamua kujitenga nalo? hujui kwanini queen Elizabeth alimpa elton John hadhi ya u sir akiwakilisha kundi gani? au walitoka pwani?

Mkandara.

Binti mkubwa wa tajiri yetu bwana Mengi ambaye ni lesbian jee amejifunza pwani? hujui alipokwenda kusoma UK atakarudi na tabia hii toka kwa kina elton John?
hao niliowataja hapo juu wanaweza kukufunza vyema tabia hizo kama unazipenda.
 
Mswahili said:
.....

Mpakanjia ni mtoto wa pwani na kuna msemo unaosema kadri unavyokwenda bara-ndivyo ustaarabu unazidi kupotea.sitegemei mtu wa musoma type ya mwanakijiji, au ZITTO kuwa na uchungu au huruma kwa wagonjwa kwani ustaraabu umewapitia kushoto. ZITTO ACHA ROHO MBAYA KAMUONE AMINA, KWENYE RAHA MLIKUWA WOTE, LEO KWENYE SHIDA HUTAKI KUMJULIA HALI?.


Naona Mswahili unarudia yale yale tulyowahi kuandika huko kwenye thread za nyuma kabisa kuhusu ubara na upwani, naona moyoni mwako unafurahia kuwatenga watu wa bara na vivyo hivyo kama wewe ni mweusi nadhani unawasujudia sana watu weupe kwa sababu ndiyo imani ya mtu mwenye roho ya kibaguzi. Kwa kufuatia maneno yako hayo, je unataka kusema kuwa ugomvi kati yako na mwanakijiji na Zitto unatokana na wao kuwa wa bara na wewe kuwa wa pwani.
 
Heee! Wewe Mswahili mbona inaelekea una-fixation na haya mambo yo homosexuality, kulikoni? Ina maana kuna chembe ya ukweli kwenye yale ambayo Bi. Senti 50 ameyasema kuhusu mwelekeo wako wa kijinsia?
 
Nyani Ngabu.
Aliyeleta hoja hiyo ni mkandara kuwa pwani kuna mambo hayo. hizo link kuna nchi zote zinazo yapa nafasi mambo hayo. huko kwake CANADA walishapitisha sheria hii ya kibaladhuli mwaka 2001.

cha ajabu sijaona maeneo ya pwani kuorodheshwa kama alivyotaka kudanganya Mkandara. ni vyema tukazijua hizo nchi.

mtoto wa mengi Reginald ni Lesbian na amepata tabia hii alipokwenda kusoma moja ya hizo nchi.
 
Mzee Mwanakijiji

Hebu muhoji Zito atuambie yeye mwenyewe kama ni kweli hakula uroda na AC. Tumsikie yeye mwenyewe kwa maneno yake kwa sababu AC amezuiliwa ili asiseme. Midhali yeye hakuna anayemzuia basi atupe ukweli: jinsi Zito anavyoendelea kukaa kimya ndio watu wengi tunaona yeye ndiye aliyevunja ndoa ya mbunge mwenzake bila sababu ya msingi huku akifahamu fika hiyo sio role model kwa vijana wengi wa kibongo kutembea na wake za watu wakati siku hizi kuna mashindano mengi tu ya kuwatafuta ma-miss Tanzania, Universe na hata wa vitongojini, iwaje yeye amng'ang'anie mke wa mtu?

Hii ni tabia mbaya ambayo inafanya kuwe na mpasuko wa vijana wengi kufuata tabia chafu kama hii ambayo haiwezi kuvumiliwa kwani inasababisha vile vile kuongeza idadi ya ugonjwa wa ukimwi, natumaini atafuata masharti na kuonyesha mfano ili apimwe kama hana virusi vya ugonjwa huu.

Tabia ya Zito kama kweli ikiendekezwa tutakuwa kama Zimbabwe ambao life expectance yao sasa hivi ni miaka 37 unaweza kupitia hapa ukaona jinsi majirani zetu walivyoadhirika na gonjwa hili.

Kwa wale wanaompigia debe tafadhalini tumwache huyu kijana aje ajibu hapa hizi tuhuma na tuache longo longo la ushabiki usio na kichwa wala mguu.

Tanzania inahitaji hekima ya JF members ili kuwapiga mawe mafedhuli ambao kila kukicha wanapanga dili ili kudhoofisha maisha ya WTZ. Vile vile tusiwaonee aibu watu kama Zito na kundi lake ambao mission yao ni ngono tu (kama ni kweli) hawataweza kutatua matatizo ya wananchi. Come on Zito you saw Bill Clinton, John Prescott, Paul Wolfwitz etc. The truth will set you free.
 
Mzee Kichuguu,

Usiweke maneno mdomoni mwangu, nimesema nina ushahidi juu ya hii ishu, sikusema kuwa Zitto amefanya kweli, ndio maana ninataka kumuuliza maswali yeye mwenyewe,

kama vile nilivyowaambia hapa forum kuwa Mbunge Malima aulizwe kama sio mkurugenzi wa kampuni ya Manji, alipoulizwa kila mwenye akili alielewa jibu lake ni nini, na ninasema on the same token, nina data kibao on Zitto's ishu ndio maana ninataka kumuuliza mwenyewe, ili nikate mzizi wa fitina kujua kama ni kweli, au anasingiziwa, na tuweze ku-move forward,

Sasa badalala yake nasikia hadithi nyingi za kumtetea, tena na watu very prominent hapa forum, ninarudia tena kwamba kwa mara ya kwanza I am ashamed kuwa mwanachama wa hii forum, majuzi nilikuwa ninalala macho kutafuta data za Richmond, mpaka nimetumiwa ujumbe na wanaohusika kuwa ni-slow down maana nilikuwa tayari ninaelekea kuwafichua uovu wao, sasa tunalala macho kwa ajili ya credibility ya hii forum, halafu mnasema eti ni uroda sijui, na mambo ya binafsi?

Zitto, anawakosoa viongozi wa serikali hapa kila siku, yeye kwa nini asiulizwe? Yeye ni nani? Msilete dhihaka wazee, ndio maana tutatawaliwa na kina Ridhiwani, mpaka mwisho wa maisha yetu, ni kwa sababu ya mchezo wa kujificha kama huu wa eti alikula uroda, ala tumeandikiwa barua na mzito mmoja wa nchi akiomba tuache kuandika on Richmond na anakubali kuwa anapagopa sana hapa forum maana hakuna mchezo hapa, sasa leo kuna mnaotaka kuleta busara za spika hapa, yes maneno ya kula uroda, oooh ameshajibu aseme nini tena, ndio hizo hizo busara za spika tulizozinunua kwa shillingi millioni 100!

Huuu ni unafiki usiokuwa na mfano, na wale wote mnaohusika nao shame on you, ndio maana CCM wanapata kura 80%, mwaka 2006 ni kwa sababu wananchi walishashituka kuwa wale tunaojifanya kuwa na exposure za majuu kuwa ni kina "Malinzi Type", hatuna lolote zaidi tu ya kuwa wasemaji wa viongozi uchwara, and I mean it maana sijui nitaitoaje hasira yangu na huu unafiki, tumejaa unafiki wabongo, wewe mtu mzima wa kimataifa rais wa benki ya dunia amepumzishwa kazi ya dunia kwa sababu ya uzinzi, leo unasema eti ni uroda?

Ninasema kuwa nimenawa mikono, maana uchunguzi wa Richomnd nusura unifikishe pabaya, na nina info kibao nimeshindwa kuzitoa nilikuwa tu nasubiri the right time, sasa leo kiongozi wa nchi, tena kijana tuko naye hapa kumkoma nyani, halafu anatuhumiwa kwa kashfa ya kijinga badala ya kutuonyesha how responsible au tall he is, anajificha na kuna wanaomtetea?

Usaniii maana yake ni nini? Hiii ndio hasa maana ya Boys 11 Men, usaniii usaniii tu, ndio maana kina Ridhiwani wanataka fomu za uongozi, maana sisi ndio wananchi wenyewe, ninarudia tena kuwa I am ashamed kuwa mwanachama wa hii forum, na siwezi kuona kiongozi yoyote wa serikali akikosolewa tena hapa, maana ni kufukuza upepo tu wa baharini,

Tuko uchi tunajaribu kufukuza mwenda wazimu, nasema bravo kwa wale owte waliosimama kidete kulinda heshima ya forum, kwako Mheshimwa Zitto, ninasema kuwa you are not bigger kuliko hii forum, NO WAY na over our dead bodies, hatutakubali kabisa huu unafiki mpaka utakapojitokeza na kuliweka hili jambo linapotakiwa kwenye hii forum ambapo wewe kwa hiari yako, ni mwanachama, tutakukumbusha tu hata kama ni one year from now, ninaema dawa ni kuja Clean hapa forum kwa wananchi walalahoi, ujibu shutuma ambazo so far ni accusations tu, mpaka tukapokuja clean, sio gazeti wala radio za uchwara, mambo ni hapa hapa forum!

Tutakusubiri mpaka utakapokuwa tayari!, kwa wale wapambe kina 'Malinzi" tumewasikieni, sasa muachieni Mheshimiwa Zitto aje hapa!
 
Mzee ES, bado niko online, nitakujibu muda mfupi ujao, ngoja nimalize kikazi fulani.
 
chama cha demokrasia na kumungunyuana


2006-12-10T16_20_31-08_00.png



MBUNGE HUYU ANAONA SIFA KUFANYA ZINAA NA WAKE ZA WENZIE BILA AIBU WALA HESHIMA, KSIHA ANAENDA BUNGENI KUTAKA KUTUNGA SHERIA ZA KUTAKA SISI WANANCHI TUWE NA MAADILI JE LEO AKITOLEWA BUSHA ATASEMA WATU WANAMWONEA?



2007-01-28T19_55_19-08_00.jpg


MBUNGE HUYU ALIFANYWA KAMA KIMANDA NA MBUNGE HUYO HAPO JUU NA KUAHIDIWA KUWA ANGEPATA NAFASI PALE UNIVERSITY OF EAST LONDON LAKINI BWANA ZITTO AKAAMUA KUMTOSA KWANI ALIKUWA MSHAMBA MNOOOO


2006-11-26T16_15_58-08_00.jpg

MBUNGE ZITTO KABWE BILA AIBU ALIAMUA KUFANYA ZINAA NA MBUNGE HUYU AMBAYE KWA SASA NINAVYOTYPE HII NI KUWA AMEKUWA INSANE, SASA MHESHIMIWA MBUNGE ZITTO KABWE UNAJISIKIAJE BAADA YA KUVUNJA NDOA YA MWENZIO? NDIO TUNAJUA UMEUPGRADE TOKA ford focus TO BMW X5


mv11.jpg

SASA HIVI MBUNGE HUYO ALIYEKAA KWENYE HIYO HELICOPTER AMEJARIBU KUPGRADE TOKA ford focus ILI AMFIKIE huyo X5 lakini wapi maana naona bado yuko Kwenye status ya HONDA CIVIC R REG NA PAMOJA NA KUFANYWA KIMANDA WA ZITTO BADO ANAMATUMAINI YA KUPATA ADMISSION LETTER TOKA UNIVERSITY OF EAST LONDON WALAU AMEANZA KUNGAA NGAA KIDOGO, MAANA LIKUWA ACHECHOKA SANA, LAKINI STILL I AM NOT IMPRESSED NA HER CHOICE OF DRESS, USIKU KWENYE SHEREHE KAVAA NGUO ZA KWENDEA OFISINI, YAANI MBUNGE HUYU MABO YAKE YAMEKAA KI 1980, 1980's tuuu HIVI HAMUONI HUYO MBUNGE WA CCM ALIVYO JITWISHA NA EVENING DRESS?



freeman_bowe_in_lndon.jpg

LAKINI MSITEGEMEE KITU TOKA KWA BOSI WA ZITTO KWABWE KWANI YEYE HUYU HAPO JUU ANA TRACK RECORD YA KUDEAL NA MA CRIMINALS NA DOSSIER LAKE LIPO ILA KWA SASA LINAWEKWA KWANI LIKITOLEWA HUYOU BWANA POLITICAL CAREER YAKE ITAWAKUWA IMEKWISHA NO WONDER HAO WANAOMDAI WANATAKA KUMFUNGA SASA
 
Mzee ES, maneno yako yamenipenya moyoni sana hadi nikajisikia huzuni. Pole sana baba. Ikanibidi nianze kuanza kusoma toka ukurasa wa kwanza nifuatilie maneno na hoja zako. Nitakunukuu kwa kifupi tu.

Mjadala ulipoanza ilikuwa ni masuala ya marupurupu hadi pale ulipoingia tena na kuja na hoja hii (msisitizo wa mstari wangu)

..Sasa tusingependa unafiki au umbeya, kama sio udaku, mimi kama mtu niliyekuwa ninakufagilia sana, na bado ninaendelea kukufagilia as a matter of principle, ningekuomba uiweke hii ishu to the rest, by coming clean hapa forum nyumbani kwako, na sisi tuta-spread the good and the bad news,

Wana-Forum, tungependa kujua exactly, What happened? WHY? na WHERE? kama sio WHY YOU?

Na ninakuhakikishia what ever you say, we will take it na case close, please come clean mheshimiwa!

Ahsante kwa kunielewa, ingawa ni nje ya hii topic ila the best time and place, ni sasa na hapa forum!!

Mhe. Zitto akaja na kusema atazungumzia jambo hilo kwa wakati wake bla bla bla. Jibu lake hilo likawaudhi baadhi ya watu na kuzua mgawanyiko au niuite "mpasuko wa forum". Walikuwepo wale waliokubaliana na hoja ya "atazungumza in his own terms and time" na wakawapo wale wenzako na wewe waliotaka "sasa na hapa".

Ni wewe ndiye uliyekuja na kutetea uamuzi huo wa Mhe. Zitto ukasema, na ninanukuu.

Mheshimiwa Zitto,

Ninjua kuwa wewe ni mwanasiasa mwenye vision, kwa hiyo unajua umuhimu wa "timing" katika siasa, kwa hiyo nitavuta subira mpaka utakapokuwa tayari, labda sasa ndugu zangu turudi kwenye ishu,

Isipokuwa ndugu yangu, kama Salim alivyosema, baada ya Chimwanga, uongo wa siasa usipojibiwa kwa muda mrefu, hugeuka kuwa ukweli wa siasa!

Heshima Mbele Mkuuu!

Basi mjadala ukaendelea kidogo hadi alipokuja Mtanzania ambaye akaamua kukumbushia swali lako. Yeye alisema:

Wana JF,

Hakuna haja ya kupeana sifa za kudanganyani hapa, mheshimiwa Zitto anatakiwa kujibu maswali ya wana forum kama hataki aseme pia hataki kujibu na kila mtu atakuwa na nafasi ya kutafsiri maana ya maneno hayo..

..Kuamua kuchagua maswali ya kujibu sidhani kama kunamsaidia yeye au kunatusaidia sisi, kama hapa JF tunashindwa kuwawajibisha hawa waheshimiwa wetu, itakuwaje huko mitaani TZ?

Kutoka hapo ukaja mjadala mkali kati ya Mtanzania, Mwanakijiji, Masatu, na Kichuguu. Huku baadhi ya members wakichagua upande. Ndipo Mhe. Zitto akaibuka na kusema:
Nimewahi kusema huko nyuma kuwa sihusiki na kadhia iliyotokea na siwajibiki kwa matukio yaliyofuatia. Maelezo yangu yalinukuliwa katika gazeti la Tanzania Daima. Maelezo yale bado yanasimama kwa sababu sijayakanusha.

Mzee Es, kwa kutumia fursa ya kwamba mimi ni mwanachama wa jamii hii akataka nimpe maelezo zaidi kwa niaba ya wanaJF. Nikamwambia muda mwafaka ukifika nitaeleza maelezo zaidi. Kwa sasa niachwe kwanza.

Sasa, sijui wanaotaka niseme wanataka niseme nini? Maana msimamo wangu niliutoa kitambo sasa. Kama mwanachama mwenzenu mnataka mpate faida ya details. Nimesema mungu akipenda nitasema zaidi. Nitasema vipi, nadhani ni juu yangu.

Mtu yeyote anayetaka niseme kwa terms zake, kwa vyovyote vile ana ajenda nyingine. Sio ajenda ya kujua kutoka mwanaJF mwenzake nini kilisibu.
ZK

Sasa wengi wetu tulidhani mjadala umeisha lakini wewe uliyesema mwanzoni kuwa utaridhika na atakachosema inaonekana hujaridhika. Sasa Mzee hadi ukaja na maneno makali hiyo, unatarajia jibu gani kutoka kwa Mhe. Zitto ambalo litakufanya utulie? Kasema hahusiki na tuhuma zote dhidi yake. Je unajua anahusika? na hilo ndilo jibu pekee unalosubiri au nini hasa ambacho akikisema utajua amesema kweli? Kama unaushahidi uweke hadharani ili nasisi tuuone na tuamue kama anataka kuulezea. Kama hauna ushahidi basi timiza ahadi yako kwa Zitto.

Asante.
 
Ninasema kuwa ninamtaka Zitto aje ajibu maswali, sio nyinyi wanchama mnaomshabikia, vipi kile kiporo cha SAM mbona hujakijibu mpaka leo?

Nimesema wapmbe kaeni pembeni, alisema wakati sio muafaka nikamkubalia, nikatoka kidogo kwa siku chache kurudi nikakuta kuna nyinyi wapambe wake mmejaribu kuigeuza geuza ishu na kuwa just kula uroda, lakini kuna kina Masatu, Mtanzania, Mugongox2, na Mswahili waliosimama kidete kutetea heshima ya forum, ndio nikaaingilia na nimesimama hapo hapo kuwa,

Ninamuomba huyo bozi wenu, Mheshimiwa Zitto, aje ajibu maswali hapa, ikiwa ni pamoja na data tulizokusanya on ishu yake, ili ajisafishe hapa kwanza, nsio baadaye aende kwenye Tanzania Daima, na ile redio yetu, maneno ni hapa kwanza!

Ninasema nina data ambazo ninataka anifafanulie kama ni za uongo au za ukweli, sasa naona mnataka kuigeuza ishu kuwa data, NO! ishu ni Mheshimiwa Zitto kushutumiwa kutembea na mke wa mwananchi, kama kweli huo ni uonevu wa mcahana kama wezi wa Richmond, ndicho ninachosema, aje ajibu maswali kuhusu kuiba mke wa mwaanchi!

Ahsante!
 
Back
Top Bottom