Halafu kusema "Hawa ndio viongozi wa chama M-badala! kuongoza jimbo tu mnamaliza wake za watu je mkifika huko Ikulu si mtafungua madunguro? heri ya hao wanaofanya biashara Ikulu..."... ni maneno yasiyo na umakini yakipinduliwa upande wa pili. Hivi kuna wana CCM wangapi ambao wamekula wake za watu? Je hujawahi kusikia jamaa ambaye mke wake alichukuliwa na Waziri na yeye mwenyewe akapewa Ukuu wa Wilaya? Hujasikia habari za Kiongozi mmoja ambaye kila akija US wakati huo akiwa waziri alivyokuwa akijifungia ndani na mtu asiye mke wake hadi kukosa vikao muhimu vilivyomleta? Kama tungetaka kuwapigia kelele, mbona tungepiga kelele sana! Siyo kwamba hatujui, tunajua kuna mambo mengine ni ya binafsi na tukianza kuyazungumzia yanataka kutupoteza kwenye mambo muhimu!
In that tone now two wrongs makes one right!... Huyo alyechukuliwa mkewe na kupewa ukuu wa wilaya is as victim as Mpakanja... na huyo Kiongozi alikukuja US is as culpit as Zitto... Kama hukuweza kuanika uozo wake huo ni udhaifu/woga wako mwenyewe na usiutumie kuhahalisha ufuska wa Zitto hapa.
Tuzungumze mambo ya muhimu kitaifa. Swali la usalama wa wake za watu au waume za watu ni masuala ya wenzi wao! Kama ungetuhumiwa kubaka, kunajisi n.k ningekuwa wa kwanza kupigia kelele jambo hilo, hili ni udadisi wa kisiasa tu na kulia chabo (voyerism) maisha ya mtu ambaye tunafikiri "tunamjua". Kama kuna mtu anayetaka kuzungumzia suala hili binafsi wanaweza kukupigia simu na ukazungumza nao kiutu uzima.
Yaani Mbunge kuvunja ndoa ya mtu ni suala binafsi tuliache na tuzungumzie masuala muhimu ya kitaifa! Kwa taarifa yako ktk hili Zitto, kaiba, kazini, kavunja ndoa, kaharibi malezi ( ya mtoto Abdulrahman ) na kaongopa kwa kweli I feel very sorry for young Rahmaninho.
Hili haliwezi kuachwa kwa kisingizio cha masuala muhimu ya taifa. Haya ndio wanaotaka ridhaa ya kutuongoza baadae lazima tuwajadili wapende wasipende. Kama kathubutu kuiba mke wa mtu na kupelekea kuvunja ndoa, atashindwa nini kutuibia hazina yetu tukimpa madaraka. Mwizi ni mwizi tu hata ukijaribu kupindisha kwa tafsiri yeyote, (mambo binafsi, mambo muhimu ya kitaifa nk)
Hivi kuna lolote atakalosema Zitto litakalowaridhisha? Kama mmeshaamua "uroda ale yeye kwa raha zake" sasa kinachotakiwa kujulikana ni nini? Mimi ni mhalisia, siyo mwota njozi. Mnachotaka kujua ni je tunda lilikuwa tamu au la! na ilikuwa kuwaje... Kwa vile Zitto ni mwanachama hapa basi tumefikia mahali pa kuamini kuwa tuna haki na tunastahili habari za maisha yake binafsi. Kwa vile tunahisi tunamjua Zitto basi atuambie sisi washkaji zake mambo yalivyokuwa. Akisema ndiyo amekula, tutaridhika? Akisema hakula tutaridhika? akisema nizungumze kwa wakati wangu muafaka, tutaridhika?
This is more than suala binafsi acha kupotosha, huyu ni kiongozi anatakiwa awe kioo cha jamii. Kufanya ufuska kwa kiwango cha kuvunja ndoa ni jambo lisilo mithilika. Mwenyewe kakiri hapa ktk surgery yake jimboni anahudumia wa wastani wa watu 70 kwa siku, kati ya hao kutakuwa na wake za watu halafu unatuambia mambo binafsi..
Zitto akiamua kuzungumzia sasa hivi sina tatizo ni uamuzi wake, akitaka kuzungumzia mwezi ujao sawa sina tatizo, akigoma kulizungumzia kabisa sina tatizo...ni uamuzi wake! kati ya vitu vilivyoko mawazoni mwangu suala la Amina na Zitto liko mbali kweli!
I hope u could provide the same concession to Mkapa in the doing business from Ikulu saga. Wat a double standards!
amani, watu wote mnaotaka Mheshimiwa Zitto awataarifu kuwa alikula yule mtoto, mnataka atumie lugha gani hadi mfahamu. Kuwa ndiyo nilimtafuta? Ameshatoa jibu ambalo liko wazi kabisa. Kumbukeni kuwa Kabwe ni msema ukweli na katika sakata hili ana majibu mawili tu:
Jibu lipi?
Ingawa ni jambo la kukatisha tamaa kabisa hasa kwa vile kuna watu walikuwa wanamtegemea Mheshimiwa Zitto kuwa na standard kubwa sana na hivyo kutoa mfano wa aina ya uongozi tunaotegemea, ndiyo hivyo tena, maji yaliyomwagika hayawezi kuzolewa tena. Wakati sakata hili bado lina nguvu, niliwahi kuongea na ndugu yangu mmoja pale Dar aliyehappen kuwa anamfahamu sana huyu dada kwa vile walifanya kazi pamoja pale redioni; jamaa huyu anasema mtoto yule ni moto sana, anapenda sana yale majambo ya sirini, na anaweza kumfuatilia mwanamme yeye mwenyewe akimtaka. Jamaa huyu hakushangaa kabisa alivyosikia tuhuma zile kwa vile alitegemea kuwa kuna wabunge kadhaa wanatinga tu na hasa vijana. Kwa vile Zitto naye ni kijana it becomes obvious.
Kwa kama maji yamemwagika huturusiwa hata kujadili? U r now bringing a new twist on this! shifting the burden to AC kwamba amejilengesha? huu usanii at it best....
Ushauri wangu, JF tumwache Mheshimiwa Zitto ajisahaulishe na mambo yale kusudi aweze kuconcetrate kwenye kazi za umma. Pamoja na purukushani ile, bado ana nguvu na uwezo wa kuleta mabadiliko katika mfumo wa bunge letu kama tutamsaidia kuyasahau yale mambo. Yeye siyo wa kwanza kukumbwa na mikasa ya aina hii. Hapa Tanzania wabunge na wanasiasa wengi wanafanya hivyo hivyo, tatizo tu hawajashikwa. President Clinton na President Kennedy walifanya mambo hayo hayo lakini yalikwisha na leo hii legacy yao ni kubwa tu katika historia ya marekani.
This is a very advice.. but why dont we extend it to cover the Lowassa's, JK's Karamagi's etc so as we can give them more time to concetrate on kazi za umma? between Zitto and those afore-mentioned who has more kazi za umma?
Hii ni precedence mbaya sana tunaijenga hapa JF. It sound to me kuna untouchable one humu.
Zitto kafanya ufuska wa kupindukia, kavunja ndoa lakini kwa standards za JF hilo ni suala binafsi tuliache!
Kumbe there one rule for Chadema and another rule for other parties....!!!!!!!!