Wanawake wenzangu wenye vitanzi (IUD), mnaendeleaje?

Wanawake wenzangu wenye vitanzi (IUD), mnaendeleaje?

Naona mleta mada anashambuliwa sana kwa kuamua kutumia njia ya uzazi wa mpango!!! Hii sio sawa,tumeshapita zama za kuzaa kama wanyama .

Kama mimba ingekuwa inatunga kwa mtu yeyote baada sex lazima na sisi wanaume tungetumia uzazi wa mpango. Bahati nzuri ni mwanamke anaye beba mimba,kitu pekee tunacho weza kufanya ni kutoa support ya njia salama za kupanga uzazi.
 
Hahaha ila sio lazima mpka kuoa mkuu, 😅😅😅
Ndiyo, shida ni muda. Nishindwe kuwasiliana na washirika wangu wa biashara nikae kupokea simu za wanawake niliozaa nao kila wakati badala kutumia simu yangu kuwasiliana na madili ya biashara

Mapenzi au mahusiano yanahitaji

1. Muda
2. Pesa
3. Nguvu za kiume

Kwahiyo unapokuwa na wanawake wengi ni rahisi kutumia vibaya muda wako, pesa zako hata nguvu zako za kiume.
 
Sawa
 
Kwani nimesema sina watoto ndugu yangu? Unataka nizae 10 nishindwe kuwasomesha walimwengu mnicheke?
Zaa wewe haya madude ya wazungu mnakuja jiharibia tu mwilini .....paka limao chini huko uue viluwiluwi kama huwezi fuata tarehe za siku hatari badala ya sijui mavidonge na mavijiti mnaenda tengeneza tu magonjwa na hiyo UTI ni yanayoonekana..bado hormonal imbalance na madhara mengine ya mda mrefu..mmeubwa kuja kuijaza dunia Gates Foundation’s new world-first contraceptive for African women: what it means for Africa1770896130334.png
 
Miaka yake inahusika nin na alichokiandika
Na unadhan mtu unaweka njia ya uzaz wa mpango bila kumshirukisha mwenza wako ? Mbona watu mnapurupukaga huko mkadhan mnajua maisha ya watu? Au hizi mada za jamii forum zinawatoa akili zenu
tulia msimbe we swala la kuzaa nadhani ushafikia menopause ah ah hamna haja
 
Wanadamu wa sasa tunapenda ngono kama chakula.

Siku za hatari kwa mwanamke ni 7-10 tu. Kuanzia siku ya 10 hadi ya 18 au 20 mkiweza.

Sasa hizo siku 10 mwanaume eti anashindwa kuvumilia, ni uzembe wa kifisi.

Na wanaume inabidi wajue kukaa japo wiki 2 straight kwa mwezi bila kusex inakufanya u-recharge mwili na inner energy yako inakuwa kubwa.

Kiasi kwamba siku ukimkamata mkeo anafeel kama kakutana na mtu mpya.
Tatizo evolution inakufanya mwanamke uwe na genye sana

Hasa kama huna kipengele na mwenza wako jamaa unaweza shtuka umebakwa
 
Wanadamu wa sasa tunapenda ngono kama chakula.

Siku za hatari kwa mwanamke ni 7-10 tu. Kuanzia siku ya 10 hadi ya 18 au 20 mkiweza.

Sasa hizo siku 10 mwanaume eti anashindwa kuvumilia, ni uzembe wa kifisi.

Na wanaume inabidi wajue kukaa japo wiki 2 straight kwa mwezi bila kusex inakufanya u-recharge mwili na inner energy yako inakuwa kubwa.

Kiasi kwamba siku ukimkamata mkeo anafeel kama kakutana na mtu mpya.
Kwahiyo tukae wiki 2 tunatizamana tu...
 
Mimi
Habari,

Hii ni kwa wanawake wenzangu ambao wanatumia uzazi wa mpango aina ya IUD (Intra-uterine Device) au Kitanzi.

How are you guys? Vinawapa maudhi kama kilivyoninyoosha mimi au mmetulia?

I have to say nili-opt kutumia IUD sababu niliambiwa haina maudhi, na niliweka a copper IUD nikiambiwa ni non-hormonal yaani hakiingilii mifumo ya homoni. Miaka miwili ya mwanzo naona niliishi nacho tu poa.

Kuanzia around February 2025, nikaanza kupata periods zinazodumu siku 8 hadi 10, tumbo likawa linauma Mungu hapendi, nikipona yeast infection napata BV na mzunguko unaendelea hivyo.

Nimetoa IUD tangu November 2025. Kila kitu kimetulia! Yaani periods zangu zimerudi kuwa normal, sipati infections anymore na wala siumwi tumbo.

Tatizo ni kwamba; NIMEKIMISS. Namiss maisha yangu ya kuwa siwazi kupata ujauzito. Maana huku kwenye ndoa muda wowote unamwagiwa ndani, sipendi kukaa roho juu kabisaa. Niweke tena nikitumaini nitatulia miaka miwili mingine?
Ukinikuta hospital halafu useme unataka nikuweke kitanzi nakupiga makofi na wengi nimewafanya hivyo wapuuZi sana hivi nyie mnajua ujinga wa huo unaoufanya? Jinga kabisa nyie
 
W
Miaka yake inahusika nin na alichokiandika
Na unadhan mtu unaweka njia ya uzaz wa mpango bila kumshirukisha mwenza wako ? Mbona watu mnapurupukaga huko mkadhan mnajua maisha ya watu? Au hizi mada za jamii forum zinawatoa akili zenu
anawake ndiyo ujinga wenu na wengi wenu hamshirikishi waume zenu mimi ukija hospital ukisema nikiweke kitanzi nakuuliza umemshirikisha mumeo ukinijibu hapana nakupiga makofi au nakufukuza
 
Back
Top Bottom