mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,088
- 20,355
Binti wa zamani mimi nataka nijitose kwako nakupenda piya nakutaka piya mpenzi we😎😎❤️🩹
Tuchukulie sasa una miaka 30 unaweza kufunga kizazi kweli?Kama una idadi ya watoto unaoona unastahili kuwa nao, funga kizazi.
Japo wengi watapinga ila ni option nzuri zaidi kama huna mpango wa kuongeza mwingine zaidi.
Mtu kama huyo lazima ana ndoa yake.Binti wa zamani mimi nataka nijitose kwako nakupenda piya nakutaka piya mpenzi we😎😎❤️🩹
Mdau mbona umekuja haraka hivyo au ni mtu wako nini? Sorry for signal 🚥 interference 😎😎Mtu kama huyo lazima ana ndoa yake.
Ndio...Tuchukulie sasa una miaka 30 unaweza kufunga kizazi kweli?
KimaishaUnamaanisha uwezo wa kimwili?
Ufahari na machoni pa mtu mwenyewe ,binafsi nilikua sitaki watoto wengi ila kwa sasa nimebadili mawazo nahitaji watoto wengi zaidi mno🤔Ni kweli, na kuzaa watoto 10 siyo ufahari, tumelazimika ku-evolve kulingana na mazingira ili kusurvive.
Nakupenda piya ❌Binti wa zamani mimi nataka nijitose kwako nakupenda piya nakutaka piya mpenzi we😎😎❤️🩹
Sorry for nini 😅😅Mdau mbona umekuja haraka hivyo au ni mtu wako nini? Sorry for signal 🚥 interference 😎😎
Sinaga time mimi na wake za watu. Huyo ukimsoma tu unajua ni mke wa mtu tena mwenye akili zake.Mdau mbona umekuja haraka hivyo au ni mtu wako nini? Sorry for signal 🚥 interference 😎😎
Watoto wengi kwa ajili ya kazi gani hasa? Badala uwaze kwenda kutembea nchi mbalimbali ufanye utalii wewe unawaza kuzaa watoto wengiUfahari na machoni pa mtu mwenyewe ,binafsi nilikua sitaki watoto wengi ila kwa sasa nimebadili mawazo nahitaji watoto wengi zaidi mno🤔
Pia siku hizi hawapendi kusukuma wakati wa kujifungua.Hawana afya hiyo. Wanakula chips, biskuti na soda. Afya ya kuzaa watoto 10 watowe wapi?
Wanaishi na stress za vicoba afya ya kuzaa watoto 10 watapata wapi?
I know it man... just jokes na banter za mtandaoni sio kwamba nipo seriously kihivyo man... Mapenzi ya mitandao nayaelewaaSinaga time mimi na wake za watu. Huyo ukimsoma tu unajua ni mke wa mtu tena mwenye akili zake.
Usipende SANA kutafuta wanawake mtandaoni
Wa nnUfahari na machoni pa mtu mwenyewe ,binafsi nilikua sitaki watoto wengi ila kwa sasa nimebadili mawazo nahitaji watoto wengi zaidi mno🤔
Nimeshukiwa kama kipanga kwa KIFARANGA 😂😂
Nimejikuta tu na vutiwa na kuwa na watoto wengi tu wala sina sababu nyingineWa nn
Sasa hapa unataka nifuate malengo yako mkuu, halafu niache vipaumbele vyangu🤔Watoto wengi kwa ajili ya kazi gani hasa? Badala uwaze kwenda kutembea nchi mbalimbali ufanye utalii wewe unawaza kuzaa watoto wengi
Mtu mnakubaliana, anamwaga ndani then anakuja kusema "Ningewezaje sasa?"..unaishia kusamehe tu...hujui ni bahati mbaya au makusudiKumwagiwa ndani au nje si jambo la kuzungumza na mwenza wako kabla ya tendo au huko kwenye ndoa hali ikoje mkitaka kubanjuana?
Huu nao ni mjadala mwingine. From feedback ya watu wangu wa karibu; Madaktari wa wanawake wengi hawapendi hili jambo. Actually hata wanaume hawapati wepesi wanapoomba hii huduma. Sijui kwanini.Kama una idadi ya watoto unaoona unastahili kuwa nao, funga kizazi.
Japo wengi watapinga ila ni option nzuri zaidi kama huna mpango wa kuongeza mwingine zaidi.