Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Kibinadamu ni hali ya kawaida sana kwa yanayokutokea

Usaliti si mzuri na mbaya zaidi tayari ulishamiweka kwenye kundi flani hivi, kuna namna ambavyo ulikuwa unamuona na kuna viwango flani ulimpa, hauwezi kumuona kama zamani kamwe hii haitatokea

Sasa utakubaliana na ule msemo ‘’ndoa ni kwa ajili ya watoto’’

Kila binadamu akisalitiwa kisamehe ni ngumu au inakuwaga unafiki tu ukizingatia wewe hujawahi kumsaliti hapa ndiyo uwezi kabisa kusamehe

Kinachokutokea sasa ni kwamba hauamini tena kwenye true love na hautakuja kuamini, when you caught him cheating he made you doubt love

Suruhu sasa baada ya muda utapona lakini utakuwa unaamini ndoa ni kwa ajili ya watoto na tendo la ndoa utafanya tu kibaolojia kwa kuwa mwili unaihitaji

MAISHA SAFARI
 
Oke wachekini wazungu ni waaminifu 100% maana wao ndoa hazivunjiki.
Zinavunjika Sana tu kuliko kuachana kila mtu nikubaki tu kwa mahusiano kila mtu atafte pa ku timiza hisia zake, Mimi binafsi hisia zikifa hazirudi nyuma wallah
 
Vzuri nadhan wamekusikia vzuri.

Imani bana, inajengwa miaka 100+, ila kuipotexa huwa ni sekunde.

Hapo jamaaa hata akufanyie nn. Huwezi mwamini.

Embu tuanze nahili... wewe mpaka sasa hujaliwa kimasihara?.
 
Kibinadamu ni hali ya kawaida sana kwa yanayokutokea

Usaliti si mzuri na mbaya zaidi tayari ulishamiweka kwenye kundi flani hivi, kuna namna ambavyo ulikuwa unamuona na kuna viwango flani ulimpa, hauwezi kumuona kama zamani kamwe hii haitatokea

Sasa utakubaliana na ule msemo ‘’ndoa ni kwa ajili ya watoto’’

Kila binadamu akisalitiwa kisamehe ni ngumu au inakuwaga unafiki tu ukizingatia wewe hujawahi kumsaliti hapa ndiyo uwezi kabisa kusamehe

Kinachokutokea sasa ni kwamba hauamini tena kwenye true love na hautakuja kuamini, when you caught him cheating he made you doubt love

Suruhu sasa baada ya muda utapona lakini utakuwa unaamini ndoa ni kwa ajili ya watoto na tendo la ndoa utafanya tu kibaolojia kwa kuwa mwili unaihitaji

MAISHA SAFARI
Ur correct
 
Pole sana mamii,
Your kids comes first, ni hali ambayo almost kila mwanamke analipitia au ameshaipitia ndani ya ndoa yake,

Tofauti ni mapokeo tu, kila mtu kuna namna anavyolipokea jambo fulani na kulikubali au kutokulikubali

Kama ulivyosema ameomba msamaha, take as much time as you can na ujaribu kukubali huo ukweli, samehe, focus, maisha yaendelee,

Ukiwaza sana utajiumiza, kumbuka mna watoto wawili, labda tu nikwambie ALL MEN cheats, wametofautiana tu style ya kucheat, wengine wakecheat wanafanya siri sana hata mke hajui wala haonyeshi tofauti yoyote nyumbani, ila wengine wakianzisha mahusiano nje unagundua maana everything change for worse

Usithubutu kuwaza kuanzisha mahusiano nje, utakua unaharibu zaidi ukizingatia watoto wanahitaji mwongozo wako

Jaribu kumwomba Mungu akupe amani ya moyo,uweze kusamehe na kusahau kabisa.

Otherwise, nakupa pole sana
Kamwe hujawai kuniangusha kabisa katika michango yoyote ile kimaisha Mama, nakupendaga sana wewe Mama.
 
Na wewe chepuka tu hapo kilichobaki nikulea watoto cheating haisameheki kabisa hasa mtu uliye mwamini, Hawa viumbe huua nyege za wake zao. Nakuhurumia maskini kiukweli na wewe chepuka tu ngoma droo wallah
Hamna usimshaur kulipiza kisasi Kuna ngom zingine hazichezeki
 
Mke wangu akiwa na rafiki kama wewe nampa talaka siku hiyo hiyo, you are so destructive
Wakati mwingine huenda ni stress za u-single mother au kuachwa na Mumewe kwa maamuzi kama hayo yalishamgharimu so anaona ni vyema tu kumshauri Ke mwenziye pumba ili wote wakose, si unajua tena adui wa mwanamke ni mwanamke mwenziye?
 
Usilipe uzito hilo jambo ni kawaida hasa ukishafikiria kuwa hakuna mkamilifu duniani.. Wanaume ndivyo walivyo mumy na ht ukisema uondoke upate m'ume mwingine ni yale yale tu. Tena wew shukuru kakiri kosa na kuomba msamaha wengi wao huo msamaha utausikia kwenye paa la nyumba
Usijilazimishe kusamehe kwa haraka jipe muda moyo utasamehe taratibu
It seems you are speaking your senses
 
Pole sana mamii,
Your kids comes first, ni hali ambayo almost kila mwanamke analipitia au ameshaipitia ndani ya ndoa yake,

Tofauti ni mapokeo tu, kila mtu kuna namna anavyolipokea jambo fulani na kulikubali au kutokulikubali

Kama ulivyosema ameomba msamaha, take as much time as you can na ujaribu kukubali huo ukweli, samehe, focus, maisha yaendelee,

Ukiwaza sana utajiumiza, kumbuka mna watoto wawili, labda tu nikwambie ALL MEN cheats, wametofautiana tu style ya kucheat, wengine wakecheat wanafanya siri sana hata mke hajui wala haonyeshi tofauti yoyote nyumbani, ila wengine wakianzisha mahusiano nje unagundua maana everything change for worse

Usithubutu kuwaza kuanzisha mahusiano nje, utakua unaharibu zaidi ukizingatia watoto wanahitaji mwongozo wako

Jaribu kumwomba Mungu akupe amani ya moyo,uweze kusamehe na kusahau kabisa.

Otherwise, nakupa pole sana
You are so wise mkuu.

May God bless you and grant you many more years ahead.

I have seen some people advising her to start an outside relationship with someone else. Hahahaahahahahah
 
Back
Top Bottom