Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Kibinadamu ni hali ya kawaida sana kwa yanayokutokea

Usaliti si mzuri na mbaya zaidi tayari ulishamiweka kwenye kundi flani hivi, kuna namna ambavyo ulikuwa unamuona na kuna viwango flani ulimpa, hauwezi kumuona kama zamani kamwe hii haitatokea

Sasa utakubaliana na ule msemo ‘’ndoa ni kwa ajili ya watoto’’

Kila binadamu akisalitiwa kisamehe ni ngumu au inakuwaga unafiki tu ukizingatia wewe hujawahi kumsaliti hapa ndiyo uwezi kabisa kusamehe

Kinachokutokea sasa ni kwamba hauamini tena kwenye true love na hautakuja kuamini, when you caught him cheating he made you doubt love

Suruhu sasa baada ya muda utapona lakini utakuwa unaamini ndoa ni kwa ajili ya watoto na tendo la ndoa utafanya tu kibaolojia kwa kuwa mwili unaihitaji

MAISHA SAFARI
Umeongea ukweli mchungu.
 
Hongera sana kwankuwa muaminifu, kama ulivyoona comments za me wengi hapo juu, wamekiri kwamba hawaridhiki na mwanamke mmoja
usimwamini huyo, we jisogeze uone kama hapiti na mzigo
 
Utajijua bwana...

Muache uende huko duniani udhani wa huko ndio hawa-cheat ndio utaelewa vizuri...

Achika,wanawake wengine wamchukue na wewe uchukuliwe na hao wanaume ambao "hawacheat" wa kufikirika!

Hivi mwanaume ku-cheat ni ishu siku hizi?

Kwanza ulijuaje ana-cheat kwa kidhibiti kipi,tuanzie hapo maana utatuletea utoto wa nilikagua simu,ulitokana nayo wapi to begin with?
Hebu kunywa balimi kubwa
 
Naked truth tuache unafiki kwani bila wewe atakosa pumzi
busara Zaid inahitajika, ukifanya kosa la hivyo halina mjadala , unalamba talaka hapo hapo

[emoji41][emoji41]
 
Embu tafuta kidume cha mbegu huko pembeni mi sijaolewa ila nikigundua mwanaume anachepuka huwa siumizi roho nani anapenda kuangalia mashine ile ile kila siku, yeye anatamani uchi mpya hata mimi natamani dushe jipya [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] ninajifunza na style mpya huko niendako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimeshangaa huyu mwanaume kwanza anazalilisha wanawake sio Uzi huu tu hata nyingine kwahyo ku comments tofauti na wanaume wanachopenda kusikia ndio dhihaka, hafu eti single mother wakati hata labour sijaenda
Silaha zao kuu ukiwa kinyume nao ni
1. Single mother
2. Stress
3. Feminist
 
Pole sana. Ndoa si lelemama kama alicheat haimaanishi hakupendi. Yesu ndio alishindwa kujaribiwa na shetani. Kuna mashetani wengi kwenye umbo la binadamu. Kuna wanawake wanajua kuseduce waume za watu mpaka wanaingia line.

Usifikiri watu wanasheherekea miaka 50 ya ndoa ilikua ni vicheko tu

Muombe Mungu wako akuongoze kwenye kutenda jambo sahihi. Ni wewe mwenyewe ndio mwenye funguo ya future life yako.
Kumbe ndio maana wanajipiga vifua na kujiona vidume vya shoka kumbe ujinga mnawajaza wenyewe[emoji134][emoji134][emoji134]
 
[emoji2788]my future husband popote ulipo...nasema hiviiii I don't care how much u are going to cheat me...AI DONT KEA...I will eat food..eat your d*ck... enjoy my life take care of our babies...and steal your money...and start a business... idiot organism..[emoji849][emoji849]
Future wife, nami nakubaliana nawe kila kitu
 
Wabongo bhana, uliwahi fanya tafiti ukabaini wanaume wote wana cheat?

Unaishi kwa kukariri.

Kama unacheat wewe usidhani kila mwanaume yupo hivyo.

Wapo wanatosheka na mmoja na hawatoki nje kamwe.
Tupo tunaoridhia kua na mmoja Ila si kutosheka mkuu hiyo haipo Kwa mwanaume rijali

Ila wale tunaotamani na kuridhia kua na mmoja tupo na ni wachache
 
A very destructive comment IMO, very destructive. Ingekuwa hivi ndoa zingebaki chache sana. Njia salama ni kuishi na kusameheana, ikishindikana basi talaka. Kulipiza kisasi sio maisha ya wanandoa.
Babe hatulipizi kisasi, kwani mkicheat huwa mnalipiza kisasi?[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Msitake kumpoteza mwenzenu avunje ndoa yakee...!! Akati nyie zenu mnavumilia vipigo na kucheat kama kawaa[emoji1787][emoji1787]
Ndio maana mimi mwisho nimemwambia yeye ndio wa kufanya maamuzi.
 
Back
Top Bottom