uncle virus
Senior Member
- Dec 30, 2018
- 126
- 296
Hii mada ya mentality ya wanaume na wanawake kuhusu sex na love havitokuja kueleweka mpaka mwisho wa dunia
Maoni yangu jitafakari na ujipime ndoa yako imesimama katika misingi gan? Dini au misimamo yenu binafsi?
Kama ni dini basi fanya kile dini yako na viapo vya imani yako vinachokuagiza ufanye. Najua unajua ila inaweza kuwa ngumu kufuata dini inachoshauri ila ndo lipaswalo kufanywa kama unataka ndoa yako izidi kusimamia misingi hyohyo.
Kama imesimama juu ya misimamo na yale uyaaminiyo ww kama ww, basi fanya kile unacho hisi kitaupa moyo wako amani.
Mwisho wa siku mlikutana ninyi wenyewe, kitendo cha kuomba ushauri wa wenzako wanasemehe vipi ni dhahiri hutaki ndoa iharibike na unataman umsamehe. Jibu ni moja tu hapo, kusamehe ni nje ya uwezo wa kawaida wa ubinadamu wa nyama. Inahitaji kuweka imani yako katika hlo. Omba sana sawasawa na imani yako, kama unaamini kuwa hali inaweza kurejea kama mwanzo basi shikiria imani yako hyo na kama haiwezekan utapata ufumbuzi wa kuishi na kovu hilo kwa maana kusudio lako ni kusamehe na mrudie kama mwanzo.