cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,701
Na huyu mleta mada inaonyesha alikuwa mke mwema, wenzake Wana michepuko na hawagombani na waume zao, Tena anaenda na kazini kabisa. Angekuwa na michepuko asingeumia hivi angemsamehe tu chap mumewe. Jamani kwenye maisha lazima uwe na options a up to z.Yaaan mie nashangaa mwanamke ana haha na gugu na goga moyoni kisa usaliti was mwanaume kwan huko nje wanaume wengine hawapo?
Khaaaaaah tena mie ndo natafuta mchepuko huko nje nampa kimasikhara na every taim he wannah,
Sitaki kabisa kuishi kwa mateso na maumivu wakati soln ipo na ni rahisi km kumsukuma mlevi, aaaaaah kwan tsh ngapi bhanaaah
Namshauri mleta mada asimwache mume atafte vidumu vimesaidia wengi usaliti hausameheki walah