cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,793
- 189,242
Una amini JF? hahahah wala sio hio.Wewe pia si ni ME...unataka kwenda sawa na nani?View attachment 1524197
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Una amini JF? hahahah wala sio hio.Wewe pia si ni ME...unataka kwenda sawa na nani?View attachment 1524197
Na umewahi fanya utafiti zamani kina mama walikuwa wanabambikia Sana kina baba watoto wasio wao,umejiuliza kwa nini,mwanamke ukimcheat akijua kovu lake ili lipone lazima litibiwe na jinsia ya kiume.ukiona unacheat halafu mkeo hajali Basi jua Kuna kidume kinamkuna kuliko wewe,ndio Ile inaitwa stage ya kulea watoto...mwanamke asipokuwa na mbadala hawezi kumove on endapo tabia za mume zimemchosha..sema wanawake wasiri Sana kuhofu ndoa kuvunjika.hakuna mwanamke mwaminifu kwa mwanaume mzinifu unapewa wa kufanana nayehii mada bwana! tokea siku ile ya kwanza nilitaka kukoment nikaona nisome maoni ya wadau kwanza.
ndugu mleta mada nakupa neno la faraja kwa maana ya POLE.
maoni ya wenzetu mengi yanajitosheleza na unapaswa uyazingatie. muhimu ni kujipa muda nyakati ngumu zipite,na nyakati ngumu huwa hazidumu zinapita tena mapema mno.
nina ushuhuda wa ndugu yangu ama ndugu wa mzazi wangu, mume wake wakati alipokuwa vizuri kiuchumi aliweza kumchukua binti mdogo na kuwa nae kimahusiano. mwanzoni ilikuwa kama siri hivi lakini vile mapenzi yasivyo na siri yaliweza kujulikana.
kwa miaka kumi na nane mwana ume yule alitumia nguvu nyingi kuihudumia ile familia ya mama mdogo, waliweza kuzaa watoto 2 wa nje. yule mke mkubwa pamoja na kukosa huduma muhimu na malezi madogo kwa wanae ailivumilia ili kuinusuru ndoa yake.
leo hii yule mzee ameachana na yule mwanamke wa pili familia imerudiwa na amani ilio kua haipo miaka karibu 20, na hivi karibuni wanakaribia kufanya sherehe ya miaka 50 ya ndoa.
nimewahi kuandika hapa jamii forum nikazodolewa kweli na wadada wakileo, narudia tena kusema wanawake wasiku hizi ni wepesi sana wa kubeba mambo kama haya!! natoa ushauri tena warejeeni bibi zenu waulizeni waliweza kuishi vipi na wanaume zao miaka 50 mpaka 70 ya ndoa nawengine mpaka 80.
vitu kama hivi walikutana navyo san na hata hio nafasi ya kuombwa msamaha hawakuweza kuipata na maisha yakaenda.
nitoe tena mfano mdogo kwangu binfsi, niko kwenye ndoa mwaka wa nne sasa, mke wangu ni mzazi wa miezi 3 sasa,tokea alipokua mjamzito wa mwezi wa 7 aliniomba tusishiriki kwa sababu hayuko frii kufanya hivyo, tokea kipindi kle mpaka sas ni mwezi wa sita sasa sijakutana nae, na mpaka sasa kuna miezi 3 mbele ndio nijaribu hivyo kwa sababu ni uzazi wa upasuaji ambao kwa ushauri walao inatakiwa kukutana baada ya miezi 6.
sasa kwa mwana ume alie mkamilifu hapo utamwambia nini akuelewe miezi zaidi ya 6 no sex, mimi sijafanya chochote lakini si kawaida ya mwanaume kukaa hivyo!
asilimia kubwa ya cheating kwa mwana ume mwanamke ana mchango mkubwa sana, lakini kwangu hii sio hoja, hoja warejeleeni wazazi wenu waulizeniwaliishi vipi na wenza wao?
Wambie hao hakuna mwanamke mwaminifu kwa mwanaume mzinifu,Umeshasema n zamani na sio sasa, hebu tupishe hukoo bandiko lefu afu una andika utopolo wa zama za mababu, wakati tupo zama za wajukuu,
Wee baki na mkeo, na ujue ukicheat tyuuh akijua anapeleka nyapu nae nje kukunwa vema. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeh sana.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ndo hapo sasa khaaah, hapa n tit 4 tatWambie hao hakuna mwanamke mwaminifu kwa mwanaume mzinifu,
hapo sawaChepuka ila siku mkeo akijua usitujie na kamasi
Wengi wa waaminifu ni kwa muda kiasi gani? Maana unaweza kujitapa wewe ni mwaminifu kumbe ndoa yako ina miaka miwili tu [emoji23][emoji23]I am a man. Huu ni uongo. Tupo wanaume waaminifu.
Swali kuntu hili
Wewe tunaungana , wanawake wanakimbilia kulaumu tu matokeo ila mara nyingi sababu wanazianzisha bila kujua.Kuna shida ipo, inawezekana nayeye hana hisia na wewe tena. Ukiwa mjuaji au haumueshimu mumeo, thats a natural consequence. Heshima kwa mwanaume ni kitu cha kwanza. Jitathmini wewe kwanza, hatuwezi kutoa hukumu kwa kusikiliza ushaidi wa upande mmoja. Tafakari
Hana mume huyo achana naye aongee tu ila hakuna kidume cha kukubali ujinga huoNarudia mwanaume wa kuvumilia hayo hakuna,ndio mana mmoja anaondoka mwingine unabaki kuishi na watoto
Sisi ndiyo watawala hivyo huwa hatukubali kuyaweka mataifa yetu chini ya watawala wengine yaani heri pachimbike tuBibie kwa mwanamme hupaswi kutafsiri yeye kuchepuka kuwa ni kwa kuwa hakupendi uko wrong aisee. Anaweza akawa na mchepuko ila bado akipata taarifa na we una mahusiano mengine ukawa msala na usishangae hata ukabondwa au akakurudisha kwenu kwa muda. Kiukweli sijui tumeumbwaje.
Umefanya utafiti wako wapi utupe sample?Walivumilia kwasababu hawakuwa na pakusemea, halafu nikwambie wamama
wazamani walizaa sana nje ya ndoa kwa taarifa yako
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Duuu kweli ujue nivile hatuwezi kuona roho zaoYaani fuatilia hata wanaume wengi wenye tezi dume ukirudi nyuma wengi wao ni wale wazinzi mno, hawasemagi tu ukweli
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
So sad!Oh Africa!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Yaani fuatilia hata wanaume wengi wenye tezi dume ukirudi nyuma wengi wao ni wale wazinzi mno, hawasemagi tu ukweli
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Wanadhani hao wamama walikuwa wanavumilia burebure tena walikuwa wachepukaji matata sana tena walikuwa wanazaa nje sana tu.Walivumilia kwasababu hawakuwa na pakusemea, halafu nikwambie wamama
wazamani walizaa sana nje ya ndoa kwa taarifa yako
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app