Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

Nilivyokusoma ili upone inabidi upate side lover ulipize kiasi. Ukimaliza ndiyo muanze maisha upya na mumeo. Tofauto na hapo utaishia kupata depression na hiyo ndoa itakufa kifo kisichofufuka.
Hata Mimi ndio nilichoona hapa, eeeh mahusiano huwa mazuri Ila watu hutaka bara na pwani matokeo ndio hayo
 
Huoni wana watoto? Mbna huyo mwanaume hakuomba talaka kwan ndipo akachepuke vzuri na vidampa wake?
Revenge ts a soln in this situation.
Mimi namshauri amuache mwanaume...kwani mwanaume akujua kama anafamilia na kufikia kucheat je angemletea UKIMWI. Simba akishakula nyama ya binadamu kuacha ni ngumu. Na akizidi kumchimbua huyu mumewe atakuta mengine zaidi.
 
Walioanzisha ndoa ndio husema hivyo[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]!
[emoji116]
Yeremia 31:22” hata lini utatanga tanga , Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani, mwanamke atamlinda mwanaume”.

Soma pia habari hii yote katika Isaya 32:9-17

Ule mstari wa tisa unasema “Inukeni enyi wanawake wenye raha, sikieni sauti yangu; enyi binti za watu wasiokuwa na uangalifu,tegeni masikio yenu msikie sauti yangu”.

Moja ya majukumu makubwa ambayo Mungu amemkabdihi mwanamke ni jukumu la ulinzi kwa mwamamumue yoyote na si mumewe tu kama wengi wanavodhani au kufikiri
. Kwa maana hili andiko linawahusu wanwake haijalishi wameolewa au la, ni binti au mjane linamhusu.

Si wanawake wengi wanaoifahamu siri hii juu yao. Imeandikwa ya kwamba Mungu ameumba jambo jipya, mwanamke atamlinda mwanaume. Hii ina maana ulinzi wa mwanaume uko kwa mwanamke. Hii inaashiria kumbe Mungu ameweka neno la ulinzi wa mwanaume kwa mwanamke.

Hebu tuangalie mifano kadhaa ndani ya Biblia;

" style="max-width: 100%; display: block !important;"> Kuzaliwa kwa Musa, Kutoka 2;1-10.

Tunaona wazi kabisa mama wa Musa alivyomlinda mwanae akijua ndani yake kuna kusudi limebebwa.

" style="max-width: 100%; display: block !important;"> Kuzaliwa, kukua na ndoa ya yakobo, Mwanzo 25:21-28, 27:1-4, 5, 6, 11-13, 17, 46.

Siri ya kusudi la Mungu hapa duniani kupitia Yakobo aliiweka kwa mamaye. Alimweleza maana ya vita iliyokuwa ikiendelea tumboni mwake alipokuwa mjamzito. Rebeka alihakikisha kusudi la Mungu juu ya watoto atakaowazaa linatimia, kwa sababu alijua Yakobo ndiye taifa kuu alihakikisha hilo linatimia na pia alihakikisha Yakobo haoi nje ya mpango wa Mungu kwa maana ya kuoa mataifa.

" style="max-width: 100%; display: block !important;"> Kuzaliwa na maisha ya Samson, waamuzi 13:2-5, 12-15.

Siri ya nini Mungu amekiweka kwa Samson na kwa nini anamleta duniani, pamoja na namna mtoto huyo anavyotakiwa kulelewa aliiweka kwa mamaye Samson na si baba yake, Mzee Manoa. Sasa ukisoma utaona jinsi huyu mama alivyosimama kwenye nafasi yake ki ulinzi mpaka Samson alipoanza wajibu wake uliomleta duniani.

" style="max-width: 100%; display: block !important;"> Zaidi unaweza ukajifunza pia kupitia kuzaliwa kwa Yesu Kristo, Siri ya kitu gani kitazaliwa, Malaika aliileta kwa Mariam, akijua ni jukumu lake kulinda hiyo siri mpaka utimilifu wake. Soma Mathayo 1:18-25.

Hata leo wanawake wanatakiwa kusimama kwenye nafasi zao za ulinzi kwa ajili ya watoto wao, vijana wao, waume zao, ndugu zao waume nk. Kwa lugha nyepesi ni shauri la Bwana kwamba kila mwanamke amlinde mwanamume anayetoka katika tumbo lake, mumuwe kama ameolewa nk ili kuhakikisha kusudi la Mungu linatimia.

Kosa la hawa wanawake/mabinti katika siku za nabii Isaya ni kujisahau, kufurahia starehe na kutokuwa waangalifu katika kufuatilia maagizo ya Mungu kuhusu ulinzi wa watoto, vijana, na waume zao nk.

Kibiblia ni utaratibu wa Mungu kumpa kila mwanamke taarifa juu ya mtoto atayemzaa, juu ya mume ambaye atamuoa lengo ikiwa ni kumsaidia ajipange ki-ulinzi.

Mwanamke hakikisha unasimama vema kwenye nafasi yako ya ulinzi kwa mwanamume. Kama utasiamama vizuri kwenye nafasi yako ya ulinzi basi uwe na uhakika umeubariki moyo wa Mungu na kwa sababu hiyo umepelekea uponyaji kwenye familia yako, jamii yako, taifa lako na uchumi wako binafsi lakini na ule wa taifa pia.

Kazi kubwa ya Shetani ni kuwafanya wanawake waliokoka duniani wajisahau, wasiwe waangalifu na hivyo wasifuatilie maagizo ambayo Bwana Mungu ameweka ndani yao kuhusu waume zao, vijana, watoto na ndugu zao wa kiume ili kusudi la Mungu lisifanikiwe. Sasa wewe usikubali shetani akuzidi maarifa, weka neno hili kwenye matendo utaona wazo la Mungu linatimia kwa kuwa MWANAMKE AMESIMAMA KWENYE NAFASI YAKE YA ULINZI.

Bwana na akubariki
Sasa km hayo maandiko ndo nguzo yenu ya kuendekeza uzinzi, sisi tunawafunza ki uhalisia ili muelewe zaidi.
Kupigwa tukio 1 mujarabu sana hadi uhisi kufa kufa dadeki lol
 
Mimi namshauri amuache mwanaume...kwani mwanaume akujua kama anafamilia na kufikia kucheat je angemletea UKIMWI. Simba akishakula nyama ya binadamu kuacha ni ngumu. Na akizidi kumchimbua huyu mumewe atakuta mengine zaidi.
Ndo maan na sisi tuna mshauri atafute furaja na amani nje, pasipo kuathiri familia take, mbna simple tyuuuh.
 
Sasa km hayo maandiko ndo nguzo yenu ya kuendekeza uzinzi, sisi tunawafunza ki uhalisia ili muelewe zaidi.
Kupigwa tukio 1 mujarabu sana hadi uhisi kufa kufa dadeki lol
Nyie mlifanya hivyo ni hasara yenu wenyewe!
Hata hivyo wanawake mnatunyanyasa Sana...siyo kwa uvaaji mnaovaa siku hizi I see! Tunajikaza Sana Ila huku mtaani wanaume tunategwa mitego ya Kila aina! Na kwa kweli tunajitahidi Sana kukwepa! Naomba wake zetu mtuelewe, muambizane na wanawake wenzenu wanayofanya sio poa! Hizi nguo za kuwashika na kutuachia fahari ya macho jamani mmh! Ndio maana ulinzi kutoka kwenu no muhimu! Ukishindwa kumlinda ndio hivyo Tena...usikimbie lindo kwa kutaka kufanya matukio...hapo ndio utaharibu zaidi...!
 
Ndo maan na sisi tuna mshauri atafute furaja na amani nje, pasipo kuathiri familia take, mbna simple tyuuuh.
Huyu akipata kibwana atahamishia mapenzii yotee kwa hicho kijamaaa na haitachukuaa muda mrefu mumewe atajuaa na atamtimuaaa kama mbwa kokoo...[emoji1787][emoji1787] Hapo nyie mnaomshauri utopolo ndipo mtaanza kumchekaa yeye akiliaa kwa ujingaa wakeee..
 
MWANAMKE HAWEZI KUGAWA MAPENZI YANI MUNEWE ATAJUAA TU MAPEMAA SANAA...!!
 
Nyie mlifanya hivyo ni hasara yenu wenyewe!
Hata hivyo wanawake mnatunyanyasa Sana...siyo kwa uvaaji mnaovaa siku hizi I see! Tunajikaza Sana Ila huku mtaani wanaume tunategwa mitego ya Kila aina! Na kwa kweli tunajitahidi Sana kukwepa! Naomba wake zetu mtuelewe, muambizane na wanawake wenzenu wanayofanya sio poa! Hizi nguo za kuwashika na kutuachia fahari ya macho jamani mmh! Ndio maana ulinzi kutoka kwenu no muhimu! Ukishindwa kumlinda ndio hivyo Tena...usikimbie lindo kwa kutaka kufanya matukio...hapo ndio utaharibu zaidi...!
Wee mtoto mdogo? Au una barehe leo? Mtu upo ndani ya ndoa, sasa wee utegeke kwa kipi? Hebu hko ba utetezi wako usio na mantiki,
Mkianzisha sie tuna malizia tyuuuh. Kwan tabu iko wapi
 
Huyu akipata kibwana atahamishia mapenzii yotee kwa hicho kijamaaa na haitachukuaa muda mrefu mumewe atajuaa na atamtimuaaa kama mbwa kokoo...[emoji1787][emoji1787] Hapo nyie mnaomshauri utopolo ndipo mtaanza kumchekaa yeye akiliaa kwa ujingaa wakeee..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu wee kijana usonivunje mbavu hapa, et atamfukuza km mbwa koko, [emoji23][emoji23][emoji23], khaaaah mbna yee hajajifukuza km mbwa kichaa?
Hakuna kuogopa zama hizi ni bampa to bampa, mwendo mpera mpera haina kurembaaah
 
Sema tu mwendo mperaaa mkaanze kulialia mahakamani...!! Me najifukuzaje nyumbani kwangu yani ukishindana na mwanaume siku zote hata kama una helaa utaumia tuuu.. Ona zariii karuka rukaa weee huyu anajisogeza kwa mondi now...
 
Wanaishi wote ila kila mtu anatafuta furaha nje. Muungano kwa mustakabali wa watoto.
Huwezi enda kupigwa mitii alafu urudii ndani kwanguu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hiiii wangoshaaaa....weee umesikiaaa wapiii
 
Wee mtoto mdogo? Au una barehe leo? Mtu upo ndani ya ndoa, sasa wee utegeke kwa kipi? Hebu hko ba utetezi wako usio na mantiki,
Mkianzisha sie tuna malizia tyuuuh. Kwan tabu iko wapi
Ww umeshamalizia mara ngapi mpaka Sasa mbona unasema hivyo! Au ukute ulikuwa unatafuta sababu tu ya kufanya tukio...!
 
Baada ya kusoma komenti zako nimegundua vitu viwili au vitatu. .....1;unawachukia sana wanaume kwa sababu you've been in failed relationship 2:upo single na jua limeshazama, 3;, profile pic sio yako.
Mbona nimeshasema Niko kwenye menopause hapo hamna kitu kipya ulichoandika kwangu yote ya zamani.
 
Pili, suala la ushoga huwa linakuja tu "automatically" tu unastukia umekuwa rafiki kipenzi wa mke mwenzako.
Staki kabisa huo ushoga maana wake wenza wengi waswahili kutwa kushindana hooh napendwa mie kah sijui Nini Mimi siwezi huo utopolo kabisa
 
A little therapy: list down all the good things that he ever did to u and then list all the bad things,

And then think, when he apologise, does he meant it? Ameonesha kujutia kitendo alichofanya? Did he make any effort to save his marriage or nah?

And last, ulishawahi kumkosea mara ngapi? Alishawahi kukusamehe mara ngapi?

Unaweza ukute wewe ndio sababu ya yeye kutoka nje!!
 
Back
Top Bottom