Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,950
- 183,447
Hapana, anabalance tu equation. Kilichopungua hapa, anajazia kule kidogo.Huyo mtulivu ndio kakamilika?
Hapana, anabalance tu equation. Kilichopungua hapa, anajazia kule kidogo.Huyo mtulivu ndio kakamilika?
Akili ikizidiwa uwezo na utamu wa sukari kila kilicho mbele inakuwa halali yako [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Anko naona umesisitiza hapo kwenye chakula cha mtoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanajimwambafai tu kwenye keyboard huku mtaani wanatia huruma ajabuWao Wana haki hyo hapo asipo kuridhisha
Basi sawa, watoto wangu niliwapata kupitia surrogacy kuepuka ujinga kama huu. Naomba kuuliza hivi nikikupa hao watoto bado utataka nikupe na child support ama utalea wewe kama wewe?Na sisi hatupendi hzo toxic zenu Ila nyie ndo mnaona sawa tu.
Kwanza tumeachana kwanini nikuachie wanangu wewe endelea na life lako
Mie huwa nashangaa mtu anaumia vipi kwa usaliti wa mwenzi wake, si na yeye afanye vile mwenzake kafanya. Lazima maisha yawe balanced, ili kutofany upande m1 kuwa ktk risk isiyo na msingi. Mbwai n mbwai tyuuuuuhNakubaliana na wewe hii tabia ya kujiaminisha huyu wangu, hufanyi starehe matokeo yako ni kujeruhiwa moyo.
Huyo atafte kipoozeo standard kuliko mumewe bana aendelee na maisha na huyo mume ampuuze life liendelee
Hata sisi huwa tunatafta mtu wa kutupa satisfaction na upendo uko pale pale tunaenda taste tofauti, Kuna wanaojua kubembeleza, kukupa hela kwahyo hyo huwa nikufanya kitu roho unapenda na haihusiani na upendo kabisa.Maisha yenyewe ni haya haya.. hakuna penye uafadhali , kuikimbia ndoa sio kwamba huo uendako utakua salama, kuna changamoto zake zitakazo kutafuna nafsi na roho vile vile... busara inahitajika
usaliti ni mbaya sana , hilo nakubali ila nature ya uanaume nayo ni changamoto sana kwa wanaume wenyewe, tunatamani kila mwanamke awe wetu
jambo moja ambalo nina uhakika nalo ,kuchepuka kwa Mwanaume hakuna uhusiano wowote na upendo dhidi ya familia au mkewe, hivi vitu vitabaki vile vile kwenye familia yake
kwanza Mwanaume hachepuki, he is just expanding his territory [emoji41][emoji41]
Hahhaahhah tuseme ameeeeeeAtafute kipoozeo kimoja matataaa, akirudi home mwepesiiii. Heshima na adabu kama zote, anaimba tu mapambio[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama mtu ataogopa kufanya limpalo amani eti aibu basi anachekesha. Kwanza wewe uzini huko aibu naipataje Mimi kahHatushindani, kwani nyie mkichepuka mnashindana na mwamke?
Hizo aibu zinabakije kwangu kwamfano? Yaani wewe ndio unaamua na kupanga zibakie kwangu au?
12 yrs of our marriage, kama anacheat it has never affected our family or my feelings in any ways kwa sababu sijawahi kumgundua wala sijawahi kuwa suspesiousMuache ajipe moyo, hawajui vizuri wanaume huyu, wao wanaua huku wana kulambisha asali unakuja shituka damu inatoka shingoni, unabaki kutoa kilio cha haja.
Hapana, anabalance tu equation. Kilicjopungua hapa, anajazia kule kidogo.
Nimeolewa na kuachika Mara Saba, kwani kwenye ndoa mb... Na k huwa ziko hewani useme hufanyaji huwa tofauti na mahusiano. Watu wanaishi kindoa tu bila kufanya officialWewe kuna Uzi ulisema hujaolewa then hapa unasimulia experience za kuachwa na nyege na kuchakaa kwenye ndoa [emoji3][emoji3]
Tatizo unamsikiliza sana kaka yako, rudi nyumbani tule maisha. Usingeondoka saa hivi tungekuwa wote hapa Kiwira tunapiga hela kwenye mnada wa ndizi [emoji1][emoji1][emoji1]We mzee unakuwaga na madini sana kichwani ila tatizo lako moja tu la kukimbia kijijini tukuyu na mtaji wa parachichi.
Kuolewa kutamu sijui..aombe talaka ili akawe huru zaidi huko nje..huku kuchepuka ndo kunawafanya wananunuliwa magunia ya mkaa..Hawawezi kushindana na mwanaume kamwe,zaidi itakula tu kwao..ila pia sihalalizi watu kutokutulia na wake zaoMbona umekazania sana achepuke?? Kwani akiomba talaka kuna shida gani? Yani wewe solution yako ni kuchepuka na atiwe mimba tu!
Waliachika ndo huolewa Mara nyingi kuliko wanao jifanya wemaWewe ungekua Mwanaume ukakuta Mwanamke kaachika utaoa??
kwamba Mwanaume mwenzio alikua kiazi kumwacha huyo mwanamke?
mkiwaza upande wenu, jaribuni kuwaza na upande wa pili pia, inawezekana ila ni ngumu kupita maelezo
Yaani kama namuona akimtazama mumewe sijui anatafakari nini kichwani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahhaahhah tuseme ameeeeee
Asipolipiza ataumwa madonda tumbo, presha na sonona,, atakufa awaache beautiful babies wake mikononi mwa mke mwenzie na bwana kiborodinda wakila maraha
Tema akifanya hivo kuwa busy kutokumkasirikia mume, na kipoozeo high class atamuumiza mume Mara elfu na zaidi na aache kulia Lia ajipende na achangamke zaidi awe na furaha, mume atakoma mwenyeweAtafute kipoozeo kimoja matataaa, akirudi home mwepesiiii. Heshima na adabu kama zote, anaimba tu mapambio[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufa uwiiiiiiiiiiih, utakuta mwanaume ni kiba100, kweny show 16% F grade, kiumbe kike wa watu anamvumilia ili kumpa heshima na thamani yake, afu kenyewe kanajikuta kumba kumba kwa demuz pembeni,Wao wakisalitiwa wanavyotia huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzi zao
Wengine hata nguvu hawana wapo hapa wanajishaua,, 'mwanamke mmoja hatoshi'' (ukisoma hapa Soma kwa sauti ya puani)
Dawa ya Moto ni Moto wallah, kabla ya kufa lazima upay Price wallah maana nakuwa nimeshajiandaa, I can plan revenge even for 10 year's Hadi unasahau[emoji1] ushauri wake sio kabisa ukifuatwa watu watapoteana for sure, huko ni kukomoana sio ushauri
Hapana, anachepuka kwa heshima ili kulinda ndoa yake. Hawavunji ndoa maana bado wanapendana na wana watoto wa kulea.Apo umeruka mkojo unakanyaga mavi. Bora uniambie utaachana na habari za wanaume jumla ila kama utaenda kwa me mwingne mambo ni yale yale. Kwenye hii ndoa tunachoangalia cha kuokoa ni watoto. Je ukianza maisha maisha mapya yatawasaidia vipi watoto wasidhurike?