Wanawake wengi hawawataki wanaume maskini

Wanawake wengi hawawataki wanaume maskini

Mkitoboa mnatusahau
Hii hoja huwa inanishangaza sana. Kwamba mkiingia kwenye mahusiano maisha yenu yanaganda kumsubiri mwanaume?

Ndio maana sometimes huwa nawaza women empowerment ni poor utilization of fund and resources. What is a meaning of empowering a girl child if she will grow up and expect a man to solve all of her living responsibilities.
 
Je, wewe baba mwenye binti utafurahi siku binti yako akikuletea mchumba hana kitu kabisa.

Umasikini ni laana, basi tu wengi wetu tunatokea familia masikini, tumekulia umasikini, tunazeeka na umasikini wetu hivyo tunaona kuwa masikini ni sifa chanya.
Kwangu mimi naona umaskini unaanzia kichwani.

Mimi kama Baba, maisha ya binti yangu yananihusu nini?

How do i get involved in my daughter's business?

Yani wao wenyewe huko wamekutana wamependana halafu mimi nije ku interfere mahusiano yao kwa kigezo cha kwamba mume wake mtarajiwa hana hela.

I handled my marriage on my own, without my parents interfering. So why would I fuk up my daughter’s marriage?

How stupid is that?

Mindset ya namna hii mara nyingi inakuwa ya kibinafsi na kimasikini.

Aina hii ya mzazi ndio wale ambao wana malengo ya kupiga jackpot kupitia mali ya kuozesha binti zao.

Aina hii ya Wazazi ndio wale ambao wenye roho mbaya na tamaa, hutoza fedha nyingi za mali kwa madai ya kipumbavu utasikia "huyu binti nilimgharamia elimu yake" mara sijui "aliumwa sana hivyo nilitumia pesa nyingi kumtibu"

Maana yake wewe mwanaume kuumwa kwako, elimu yako, hizo gharama zote ulizotumia zinakufanya uwe worthless mbele ya binti yao.

Mwanaume yeyote atayeingia kwenye mahusiano na mwanamke wa mzazi huyu. He would be one of the unluckiest motherfk in the world

Kwanza atabebeshwa majukumu yote ya familia ya huyu mwanamke wake.
 
Ume sema kukosa matumaini ndio umasikini, hebu nieleezee matumaini na uchumi vime ingiliana vipi?.

Mgonjwa akienda kufanyiwa operation, ila haamini atapona huo nao ni umasikini?

Ikiwa kalipia fees zote, na yuko kwenye hospital bora!
Kama huna uchumi unaotaka, unatakiwa utumaini kwamba ukifanya yaliyo ndani ya uwezo wako utafanikiwa.

Vivo hivyo kwa mgonjwa anayejua hatopona, anatakiwa atumaini kwamba aliishi maisha mema ya kugusa watu, kisha awe na shukrani kwa uhai alioupata.

Kutumaini ni kuona jema kwenye kila jambo.
 
Kama huna uchumi unaotaka, unatakiwa utumaini kwamba ukifanya yaliyo ndani ya uwezo wako utafanikiwa.

Vivo hivyo kwa mgonjwa anayejua hatopona, anatakiwa atumaini kwamba aliishi maisha mema ya kugusa watu, kisha awe na shukrani kwa uhai alioupata.

Kutumaini ni kuona jema kwenye kila jambo.
Hebu lala ukiamka utaelewa vizuri, maana una kanganya mambo
 
Hata wanaume maskini huwa wanasettle na wanawake wenye mionekano mibaya sio kwa kupenda ila kwa sababu ya Hali zao mbaya za kiuchumi.

Ndo maana wanaume wengi wakijipata haswa kiuchumi huwa wanaoa mke wa pili ambaye ni mzuri kimuonekano kuliko mke wa kwanza
Sasa huna jala utaopoaje pisi kali, si unatafuta kugongewa gongewa hovyo huku huna la kufanya.
 
The Haves and Have Nots lol 😆

Kwahiyo hakuna haja ya kutafuta mchawi nani basi ndomaana nakimbiwa sana😂😂kumbe shida ombaomba😝
Its a norm, especially kwa mwanamke ambaye hayuko interested na wewe ili akufukuze kirahisi ataomba hela tu makusudi and she knows it will turn you off!
 
Its a norm, especially kwa mwanamke ambaye hayuko interested na wewe ili akufukuze kirahisi ataomba hela tu makusudi and she knows it will turn you off!
You see, how confusing this is?

Itafika time utashindwa kujua hapa unaombwa hela kwasababu unapendwa or it's just another way to be rejected.

So itategemeana na wewe jinsi utavyo respond.
 
Sasa huna jala utaopoaje pisi kali, si unatafuta kugongewa gongewa hovyo huku huna la kufanya.
Kwani hao vibopa wenye mawe wanaotoka na pisi kali unadhani hawagongewi?

Tena anaweza kuliwa na msafisha kucha tu au muuza genge.

Swala la mtu kuwa na hela ni swala ambalo liko subjective.

Ni kiasi gani ambacho mtu akimiliki atapata recognition ya kuwa ni mtu mwenye hela?

Na wanaposema mwanamke anataka hela, anataka shingapi?

Ni kiasi gani cha pesa kinachomtosha mwanamke ili aonekane yupo kwenye mahusiano sahihi?
 
Picha linaanza, sisi wanaume wenyewe tu hatuutaki umaskini, ni vile tu milango ya riziki kubwa haijafunguka.
Hakuna anaeupenda umaskini, moyo wa mwanadamu unapenda vitu vizuri, na ngumu kuvipata ukiwa maskini
 
Sio wanawake pekee hata ndugu ukiwa masikini hawakutaki..
Umasikini ni moto wa Dunia.
Na ukiwa na pesa halafu hauwaungii?

Yes, tena unakuta sometimes ni mtu ambaye alikuwa maskini na ndugu walimtenga na kumnyanyapaa.

Baada ya mchizi ku boom, ndugu wananza kuleta shobo kama malaya wa bar wanaofata meza yenye bia nyingi, na mchizi anawachomolea.

Hii ndio feelings ambayo mtu yeyote mwenye hela huweza kuipata akisikia mwanamke anayetaka kumuoa amekubali kuolewa kwasababu ya mawe ya mchizi.

Kikawaida kuna hali fulani ya kuvunjika moyo, kwamba thamani yako wewe kwake ni pesa, kilicho waunganisha sio upendo tena ni mawe.
 
Wakati mwanaume anapambana
Mwanamke anakuwa anafanya nini?
Anakuwa nyumbani akikuombea kwa Mungu upate riziki.

Ila ukikosa, hasemi riziki Mungu hugawa kwa mafungu pengine sio zamu ya mume wake.

Yeye moja kwa moja anaanza kukusaliti kwa kutoka nje ya ndoa, anakuona ni mtu ambaye huna malengo naye.

Mbaya zaidi ni pale ambapo ataanza kutamani maisha ya watu wengine, na hii inasababishwa na marafiki zake.

Marafiki zake wakiwa wanafanyiwa baadhi ya mambo na waume zao na yeye ataanza kupima hivyo vitu kama sehemu ya upendo na anastahili kuvipata.

Akivikosa ndio mwanzo wa ndoa kuyumba, umasikini wako utawekwa wazi mbele ya watu.

Shout out kwa wanawake walio weza kuhandle hali ngumu ya kimaisha na kuwavumilia waume zao.
 
Mimi mpaka leo sijijui kama ni tajiri au masikini (nimesoma uzi mzima ili nipate definition ya tajiri na masikini ila sijapata)

On the other side: Mungu amenijalia kuwa na mwanamke mzuri sana by definition of mwanamke mzuri (sura, rangi, shape, tabia)

Yaani ilikuwa nikienda job posta enzi hizo, napishana na warembo kibao ila kwa wife bado hawaingii kabisa. Wachache ndo walikuwa wanaelekeaelekea walau kwa 85% ila bado.

So mpaka leo najiuliza, mimi ni tajiri au vip?

Naunga mkojo hoja za: Scars mshamba_hachekwi Mjusi Sharobalo

Nimeshangaa sana wanawake wengi humu jamvini wanavyopapatikia utajiri mwanaume atayemuoa angali wengi wao wametokea familia zenye baba masikini. Mbona mama zao waliwavumilia baba zao?
 
Vijana wajinga wa JF hawataki single mother, lakini wanataka watoto wakali wakati hali zao ni makapuku jazz band
 
Back
Top Bottom