Are roles reversing or are men just adapting? Siku hizi unapata mwanaume ako nyumba, anasema “I’m planning,” while mwanamke ndio anachapa kazi, analipa rent, na bado anapika.
Swali ni — hii ni empowerment ya wanawake ama wanaume wameamua kulegea? Wengine wanasema economy imebadilika, opportunities kwa wanawake zimeongezeka. Lakini ukweli mchungu ni kwamba baadhi ya wanaume wamegeuza “support” kuwa full time lifestyle.
Wakati mabinti wanajituma kujijenga, kuna wanaume wanangoja “breakthrough” miaka tano bila action. Hii si partnership tena, ni dependency.
Lakini pia, let’s be honest wanawake wengine wanapenda kuwa “providers” mpaka wanajipata wamechoka na kubeba kila kitu. So who is enabling who?
Je, tunashuhudia evolution ya roles ama collapse ya responsibility? Debate iko kwako.