ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,667
- 119,949
Sasa ndugu yangu, huyo kijana mwenye nidhamu zama hizi nae si kama hayupo tu, sisemi hawapo..ila wanatoweka!!Kama ni kijana mwenye nidhamu, mwenye uelekeo haina shida.
Umasikini ni default setting ya binadamu wote. Tuwe na imani kidogo.
Wengi wawe Me au Ke wapo kwa ajili ya kitu!!