Wanawake wengi hawawataki wanaume maskini

Saa ingine hata hao wenye nazo wana changamoto zao ikiwemo masimango.

Tena akikuona umetoka kwenye maisha ya hali ya chini ndo anaigeuza kama fimbo yaani ukimkosea kitu kidogo tu utajuta maneno yake.

Kiujumla ni kuomba tu Mungu kwani kuwa kwenye mahusiano kwa mwenye nacho au asiye nacho ni kama kucheza kamari lolote linaweza kutokea mbele.
Kwa sisi wanaume tusio nacho nako kwa moto😁

Kwenye talking stage ya utongozaji, ukimuomba mwanaume tsh elf 10 hata kama una nia nzuri, mwanaume anakimbia, urafiki unaishia hapo hapo, hata kukutongoza anaghairi..

Wadada wengi siku hizi wamejanjaruka,, ukimkimbia kwasababu hiyo, hata usipomwambia anajua kabisa umemkaushia kwa sababu kakupiga kizinga, ila kukwambia ndo hawezi😂 Shadeeya shibela Seran
 
The Haves and Have Nots lol 😆

Kwahiyo hakuna haja ya kutafuta mchawi nani basi ndomaana nakimbiwa sana😂😂kumbe shida ombaomba😝
 
Wanaume wakifanikiwa wanakukimbia wanatafuta warembo wa mjini sasa.. unarudi zako kuanza upya na masikini mwingine🥲
Kwani mkiingia kwenye mahusiani ndio huwa hamuwezi kufanya chochote kwa ajiri ya future yenu? Kuna maana gani sasa ya kumwezesha girl child kama ataishia kuwa useless na kusubiri hatma ya maisha yake iamuliwe na mwanaume?
 
Tunaweza na huwa tunapambana sana, wengine hatujazoea kukaa tu kusubiri kuletewa ila ndio hivyo inavyokuwa..
 
Back
Top Bottom