Ata mimi ninapokutana naye najua hana mia mbovu na si-expect kuona gari au nyumba kwake! Sio kila mwanamke anategemea kuona hivyo vitu kama maendeleo kwa haraka haraka! Kuna watu tunaaanza nao moja ndio tumemaliza chuo mnasindikizana mpaka interview zote, mambo yanagoma mnaanza biashara ndogondogo! Unauza mpka mama ntilie ili tu mfikie lengo!Mwanaume huwa thamani yake inaanzia chini. Umasikini ni default starting ya almost kila mwanaume, ni tofauti na nyie ambao mnaingia kwenye dating pool thamani yenu ikiwa tayari ipo juu. Kumtaka kijana wa 20's awe na gari, nyumba, kazi na hela ya kutimiza mahitaji ya mwanamke ni kumwonea tu huyo kijana. Unachokiongelea sio umasikini kama hali ya kudumu ila ni default starting ya karibu wanaume wote
Point hapo sio kumsubiri mwanaume point ni kuachwa baada ya mafanikio, mtu kufanikiwa akakuacha sio kwamba wewe ndio hunaga maisha mengine unasubiri atoboe aje maishani mwako unaweza kuwa na kazi pia ila point ni mtu kwanini akijipata asepe?Hii hoja huwa inanishangaza sana. Kwamba mkiingia kwenye mahusiano maisha yenu yanaganda kumsubiri mwanaume?
Ndio maana sometimes huwa nawaza women empowerment ni poor utilization of fund and resources. What is a meaning of empowering a girl child if she will grow up and expect a man to solve all of her living responsibilities.
Hmm u went too far! Kwani hujawahi kuona binti yako ana kakijana hakaeleweki na huoni wakifika popote? Hata mtaani tu hujakutana na binti anayekaribia kuharibiwa maisha ukasikia ukakasi na hata hakuhusu?Kwangu mimi naona umaskini unaanzia kichwani.
Mimi kama Baba, maisha ya binti yangu yananihusu nini?
How do i get involved in my daughter's business?
Yani wao wenyewe huko wamekutana wamependana halafu mimi nije ku interfere mahusiano yao kwa kigezo cha kwamba mume wake mtarajiwa hana hela.
I handled my marriage on my own, without my parents interfering. So why would I fuk up my daughter’s marriage?
How stupid is that?
Mindset ya namna hii mara nyingi inakuwa ya kibinafsi na kimasikini.
Aina hii ya mzazi ndio wale ambao wana malengo ya kupiga jackpot kupitia mali ya kuozesha binti zao.
Aina hii ya Wazazi ndio wale ambao wenye roho mbaya na tamaa, hutoza fedha nyingi za mali kwa madai ya kipumbavu utasikia "huyu binti nilimgharamia elimu yake" mara sijui "aliumwa sana hivyo nilitumia pesa nyingi kumtibu"
Maana yake wewe mwanaume kuumwa kwako, elimu yako, hizo gharama zote ulizotumia zinakufanya uwe worthless mbele ya binti yao.
Mwanaume yeyote atayeingia kwenye mahusiano na mwanamke wa mzazi huyu. He would be one of the unluckiest motherfk in the world
Kwanza atabebeshwa majukumu yote ya familia ya huyu mwanamke wake.
What if anakupenda tuIts a norm, especially kwa mwanamke ambaye hayuko interested na wewe ili akufukuze kirahisi ataomba hela tu makusudi and she knows it will turn you off!
Wanapambana wote!Wakati mwanaume anapambana
Mwanamke anakuwa anafanya nini?
Hata wakiwapata hao wasio singo maza wanashindwana nao wanazidi kuliongeza kundi tu, watoto mpaka wa 2005 saiz ni masingo maza!Vijana wajinga wa JF hawataki single mother, lakini wanataka watoto wakali wakati hali zao ni makapuku jazz band
hakikaNa wanaume wengi pia hawataki wanawake maskini
Ova
Hivi hakuna wanawake waliojipata wakawaacha wanaume wao pia?Point hapo sio kumsubiri mwanaume point ni kuachwa baada ya mafanikio, mtu kufanikiwa akakuacha sio kwamba wewe ndio hunaga maisha mengine unasubiri atoboe aje maishani mwako unaweza kuwa na kazi pia ila point ni mtu kwanini akijipata asepe?
Hili labda liwe pamoja na sababu zingine, ila mwanaume mliyekutana mkiwa masikini mkapata pamoja, ni ngumu sana kukuacha.Uko sahihi alafu wanaume watulivu wakiwa hawana ela wapate ela sasa ndo utaona rangizao
Kama ulianzisha ligi naye kumzuia kula "vitu vyake vya pembeni" lazima shida iwepoMbona mi na marafiki zangu wote tumekimbiwa🥲
WapoHivi hakuna wanawake waliojipata wakawaacha wanaume wao pia?
Yani nikomae nae mpaka tunadharaulika na kila mtu, halafu aokoteze viela vya kubadili mboga ndio aanze kula pembeni! Uweeeh! Siwezi..Kama ulianzisha ligi naye kumzuia kula "vitu vyake vya pembeni" lazima shida iwepo
Huwezi kushindana na nature ya mwanaume kubadili mboga. Kipato kikiongezeka na matumizi huongezeka.Yani nikomae nae mpaka tunadharaulika na kila mtu, halafu aokoteze viela vya kubadili mboga ndio aanze kula pembeni! Uweeeh! Siwezi..
Sio ila niliwahi kuwa.Wewe ni winga?
Kwani unataka winga mwingine, kwa sasa mimi sio ila niliwahi kuwa 😀Wewe ni winga?
Mimi hakuwa naye nna uhakika maana tulikuwa tunatumia simu moja, kila sehemu tunazunguka woteHuwezi kushindana na nature ya mwanaume kubadili mboga. Kipato kikiongezeka na matumizi huongezeka.
Hakuna mwanamke aliyewahi kushinda hiyo ligi. Usiseme fulani mbona hana, sema hajadakwa tu.
Aah hapana! Mawinga nawaachia wengine nao wajaribu bahatiSio ila niliwahi kuwa.
Kwani unataka winga mwingine, kwa sasa mimi sio ila niliwahi kuwa 😀
Kwanini wewe unafikiri mwanaume akijipata hana haki ya kukuacha? Una tangiable value yoyote uliongeza kwenye hustles zake mpaka ujione upo entitled kwenye mafanikio yake?Point hapo sio kumsubiri mwanaume point ni kuachwa baada ya mafanikio, mtu kufanikiwa akakuacha sio kwamba wewe ndio hunaga maisha mengine unasubiri atoboe aje maishani mwako unaweza kuwa na kazi pia ila point ni mtu kwanini akijipata asepe?
Sisemi kwamba mwanaume anaonewa, offcourse yoyote ambae ana nguvu ya kufanya maamuzi lazima atakua ruthless. Power don't meant to be polite.Ata mimi ninapokutana naye najua hana mia mbovu na si-expect kuona gari au nyumba kwake! Sio kila mwanamke anategemea kuona hivyo vitu kama maendeleo kwa haraka haraka! Kuna watu tunaaanza nao moja ndio tumemaliza chuo mnasindikizana mpaka interview zote, mambo yanagoma mnaanza biashara ndogondogo! Unauza mpka mama ntilie ili tu mfikie lengo!
Ungejitahidi kuweka ujinsia na chuki kwa mwanamke kando, tungeelewana sana! Ila shida unashikilia sana mambo ya gender.. hapo hata nikuelezee siku tatu utakazania mwanaume ndio anaonewa