Wanawake wengi hawawataki wanaume maskini

Umeelewa mada? Na unayajua maisha yangu mpaka uniitie hicho kidola ef1?
Siwalaumu sana wadada kupenda wanaume wenye hela, ni nature, sababu embu waza mwanaume kutoa mahari unahitaji uwe na hela, harusi unahitaji hela, kutunza ujauzito wa mchumba na uzazi hela inahitajika, mtoto atakaezaliwa asome shule nzuri, hela inahitajika

Mbaya ni ile kujifanya una hisia na mwanaume kumbe huna hisia nae, uko nae sababu anakupa hela Seran shibela
 
Kweli na si kweli..
 
Je, wewe baba mwenye binti utafurahi siku binti yako akikuletea mchumba hana kitu kabisa.

Umasikini ni laana, basi tu wengi wetu tunatokea familia masikini, tumekulia umasikini, tunazeeka na umasikini wetu hivyo tunaona kuwa masikini ni sifa chanya.
 
Huo ni ukatili kabisa
 
Naunga mkono hoja , wengi wetu ni justification tu ya kupata vitu vizuri bila Gharama, mbona huko namtumbo ndani ndani ,wapo mabinti wala hawana mpango wa kuangalia hela?
 
Je, wewe baba mwenye binti utafurahi siku binti yako akikuletea mchumba hana kitu kabisa.

Umasikini ni laana, basi tu wengi wetu tunatokea familia masikini, tumekulia umasikini, tunazeeka na umasikini wetu hivyo tunaona kuwa masikini ni sifa chanya.
Tatizo hawaelewi tunachojadili hapa baba, wanakazania mapenzi ya pesa ili hali tunajadili uwezo wa kukidhi mahitaji muhimu, kuna mahusiano mnaingia mnasahau kama mnapendana mnaanza kulia lia shida tu kwa watu baba mkwe ndio alipe kodi mama mkwe atoe tumizi mbali na hapo mtakula mapenzi! Ongea na hawa boys hawajui maisha wamekariri kila mwanamke anafukuzia mia mia zao
 
Tatizo hawaelewi tunachojadili hapa baba, wanakazania mapenzi ya pesa ili hali tunajadili uwezo wa kukidhi mahitaji muhimu, kuna mahusoano mnaongia mnasahau kama mnapendana mnaanza kulia lia sida tu kwa watu baba mkwe ndio alipe kodi mama mkwe atoe tumizi mbali na hapo mtakula mapenzi! Ongwa na hawa boys hawajui maosha wamekariri kila mwanamke anafukuzia mia mia zao
Yote tisa ,kumi ila yangu na wewe tunaanza bila mimi kuwa na hela 😉
 
Je, wewe baba mwenye binti utafurahi siku binti yako akikuletea mchumba hana kitu kabisa.

Umasikini ni laana, basi tu wengi wetu tunatokea familia masikini, tumekulia umasikini, tunazeeka na umasikini wetu hivyo tunaona kuwa masikini ni sifa chanya.
Kama ni kijana mwenye nidhamu, mwenye uelekeo haina shida.

Umasikini ni default setting ya binadamu wote. Tuwe na imani kidogo.
 
Kweli na si kweli..
Fafanua jibu lako, halafu ujue kitakwimu wadada wenye mwonekano mzuri ni wengi kuliko wanaume wenye hela.

Tena kati ya hao wanaume wenye hela, toa waume za watu, toa wababu, toa wanaume wenye hela za kichawi zenye masharti, toa wanaume waliojipatia izo hela kwa njia haramu k.v kuiba kuua..toa mashoga, hapo unabakia na nani 😁

Math ain't mathing Seran
 
Hakuna mwanamke anapenda mtu maskini. Sema kila mtu ana definition yake ya umaskini na utajiri. Kuna wanawake ambao kwao mwanaume mwenye kitanda, godoro, TV, Sub woofer, na kochi la watu wawili ni tajiri mkubwa.
 
Back
Top Bottom