Wanawake wengi hawawataki wanaume maskini

Wanawake wengi hawawataki wanaume maskini

Halafu unavyosema eti personally hauwezi kuhandle cheating, wakati huo kichwani mwako unatembea na imani ya kwamba sisi wanaume ni wachepukaji siku tukijipata.

Hapo ni sawa na kusema "mimi sipendi kula nyama, ila napenda kula mchuzi wake ukiwekewa limao na pilipili".. yaan haupendi nyama ila unapenda kinachotokana na nyama.

Hivyo hivyo pia na wewe kwa kauli yako hii ni kwamba hauko tayari kuvumilia usaliti wa mwanaume kapuku mliyeanza naye chini, ila uko tayari kuvumilia usaliti wa mwanaume uliyemkuta na mihela yake.

Ungekuwa kweli wewe huwezi kuvumilia cheating, basi hata wazo la kuolewa haukupaswa kuwa nalo kabisa kwa sababu akilini mwako wanaume wote umeshatuweka kwenye group moja kuwa ni wachepukaji mara tu tupatapo hela.
Unapigia mbuzi gitaa brother. Wanawake hawana ufahamu wa kutambua reasoning unayopresent hapa. Wanajali emotions zao tu.
 
Usikariri
Siwezi vimilia usaliti laa sivyo ningekywa bado kwenye hayo mahusiano yenye usaliti...so nimesema kwa wanaiweza!

Pili oesa sio kila kitu japokuwa ni muhimu kwenye mahusiano sbb kuna mambo lzm yatahitaji mwanaume awe na pesa ...

Life is full of choice ambao hatuwezi tumewapisha wanaoweza ...simple sana
 
Unapigia mbuzi gitaa brother. Wanawake hawana ufahamu wa kutambua reasoning unayopresent hapa. Wanajali emotions zao tu.
Anachoongea yeye ni too general
Mwisho wa siku watu wametofautiana
Ndo maana meingine anaua kusa mapenzi, mwingine ana walk away...mwingine anavumilua ..mwingine anaamua na ye anatafuta nje....

So lzm ujue sio wote wako kwenye group unalolisema
 
Unaendaje kupigwa kende kwa 10000?
Hiyo si hela ya maji tu.
Nureen muhindi huyu mara ya mwisho ndo nilimpa 35000.
Na akanirudishia zote asubuhi na kusema niende kwao nikamuoe.
Sijawai kuhonga senti 10 tokea miaka 25 sasa.
Hawa na mwenzie nilikula buure kabisa.
Wanapishana tu chumbanik .
kutoa hela ndefu inategemeana na status ya demu yukoje, ni pisi kali au pollygon
 
Unadhani ni kwanini wanawake wengi miaka hii hawataki kuolewa na wanaume maskini wanao anzia chini !!?
Mwanamke mwenye vision ana uwezo mkubwa wa kuona mwanaume atakayepata mafanikio mbeleni hata kama hana kitu kwa wakati huo.

Ila ambaye ana nyota ya umasikini/ufukara anaishia kujigongesha kwa matajiri wa muda au wanaoigiza utajiri. Anaishia kutumika na kutemwa.
 
Ninaijua ndani nje na nimeisoma vzr mpk chuo kikuu.. hiyo modernization mnayotaka kuitumia haiapply hapa ila mnaforce tu! Mtu huko kaamka na imaginations zake za kutaka danga liwe na sifa za mume sjui mahari kilo 150 mnakuja kusema ni feminsm ..
Naona kwenye hili tuko kwenye logical pathways tofauti kabisa, ndio maana hata ulichokiandika sikielewi na sioni kikihusiana vipi na comment yangu.

Hakuna mahali mimi nimejaribu kuwahusisha wadangaji na feminism. Sijui hata ulitaka kusema nini?... kwanza hao wadangaji huwa hawaamini katika usawa wa kijinsia na huwa wanaweka wazi.
 
Unapigia mbuzi gitaa brother. Wanawake hawana ufahamu wa kutambua reasoning unayopresent hapa. Wanajali emotions zao tu.
Kabisa kaka hata mimi naona nimempigia mbuzi kinanda na gitaa nikitegemea atacheza.

Katika hoja yake amemaanisha jambo fulani, halafu unajaribu kumpa maelezo mepesi ukimuuliza je, una maanisha hivi? Anakataa, halafu hapo hapo kwenye hiyo comment anaweka maneno ambayo yana maanisha kile alichokukatalia.

Mtu anasema ni "heri aolewe na mwanaume tajiri, hili kusudi hata akihonga basi inakuwa ni hela ambayo ametafuta mwenyewe" halafu hapo hapo anakataa kuwa lengo la kuolewa na tajiri aliyejipata ni kuepuka maumivu ambayo angeyaskia endapo kama pesa hizo zinahongwa wangekuwa wamezitafuta wote.

Nadhani huyu dada aliandika comment ambayo hata yeye mwenyewe haijui maana yake kiundani ni nini, hakika nilifanya makosa ku overestimate her reasoning capacity.
 
Feminism ni silaha anayoitumia shetani kuwaangamiza wanawake kwa kuwapotosha vitu vingi kuhusu maisha.
.
Haya Maelezo ni sahihi zaidi kuyasimamia, na kuyaelewesha kuliko hoja zingine unazowaelewesha. Nakusupport katika hili, hii ni Mifumo ya Shetani.

🤣🤣Tz tupo wanawake 16 tu tunaopinga movement zozote za ukengeukaji kwa bonde la uvuli wa feminism. Baada ya Catherine kahabi nakuja mimi no 16 🤣🤣🤣🤣@nyumba kubwa
 
Usikariri
Siwezi vimilia usaliti laa sivyo ningekywa bado kwenye hayo mahusiano yenye usaliti...so nimesema kwa wanaiweza!

Pili oesa sio kila kitu japokuwa ni muhimu kwenye mahusiano sbb kuna mambo lzm yatahitaji mwanaume awe na pesa ...

Life is full of choice ambao hatuwezi tumewapisha wanaoweza ...simple sana
Sasa hii comment yako ndio ilipaswa kukaa pale juu kabisa mwanzoni, kwa sababu imebeba imani unayotembea nayo kichwani kwamba wanaume ni wasaliti tu siku zote wakiwa na hela, na wewe haupendi usaliti hivyo umeamua kukaa pembeni uwapishe wanaoweza.

Imani yako ya kwamba sisi wanaume siku zote ni wachepukaji unless tuwe hatuna hela ndio msingi mkuu wa hoja yako ambayo imetufikisha hapa, na ndio maana unaona kama ni kuingia kwenye mahusiano basi mwanaume lazima awe na pesa alizotafuta mwenyewe kukuepusha na maumivu akianza kuhonga ovyo..ulipaswa kukubali hiki kitu kwanza japo naona bado unaruka ruka tu.

Sasa basi, kwa vile umeamua kukaa pembeni ni matumaini yangu hautaingia kabisa kwenye mahusiano na utakuwa mtazamaji tu siku zote, kwa sababu kichwani mwako umewaweka wanaume wote kwenye group moja(wasaliti, yaani kwako wewe yoyote anayeitwa mwanaume ni msaliti? unashangaza sana.
 
Haya Maelezo ni sahihi zaidi kuyasimamia, na kuyaelewesha kuliko hoja zingine unazowaelewesha. Nakusupport katika hili, hii ni Mifumo ya Shetani.

🤣🤣Tz tupo wanawake 16 tu tunaopinga movement zozote za ukengeukaji kwa bonde la uvuli wa feminism. Baada ya Catherine kahabi nakuja mimi no 16 🤣🤣🤣🤣@nyumba kubwa
Hongera sana kwa kuwa mmoja ya wanawake majasiri mnaopambana na huu mfumo wa kishetani unaotuharibia kizazi cha wanawake na jamii kwa ujumla.

Catherine namfahamu na nimemfollow kabisa, natambua jitihada anazofanya kuwaokoa watoto wa kiume na wa kike wasiingie kwenye wimbi la usagaji, na anapigwa vita sana na wanawake wenzie kwenye hizo harakati zake na wengi ndio hao mafeminists uchwara maana ndio wasagaji wenyewe hao.

Mwanamke yeyote ambaye anapingana na huu mfumo kengeufu kulinda jamii yetu ana heshima kubwa sana kwangu, hivyo basi kma na wewe unafanya harakat hizo una baraka zangu zote.

Wanawake wengi wa kibongo wamepotezwa na ujio wa feminism, maana wamejikuta wako kwenye chaotic situation na kuchukia mahusiano wakiona kila kitu kwenye mahusiano ni unyanyasaji, hivyo basi sasa wameamua kujikita kutafuta pesa kwa nguvu wakiamini ndio mbadala wa mwanaume kwenye maisha yao.
 
Anachoongea yeye ni too general
Sasa kati yangu na wewe nani ambaye anaongea vitu too general?

Wewe ambaye umetuweka wanaume wote kwenye group moja kuwa ni wachepukaji, kiasi kwamba mpaka umeamua kutojihusisha na mahusiano kwa sababu "you can't handle cheating" as if wanaume wote umewahi kutujaribu na ukajiridhisha ni wachepukaji na mimi ambaye nimekuwa subjective kwenye uchambuzi wa hoja yako ni nani ambaye yuko too general? au hata muktadha wa hilo neno "general" hapa ni wa kutafuta kwa tochi?
 
Wako sahihi kabisa umasikini ni mbaya sana kaka

Taabu za umasikini ni za kutisha
Hawajui tu Umaskini sio sifa..tafuta pesa na si lazima ziwe mabilioni..wewe ukiweza kuhimili mambo ya msingi haya (Food, water, clothing, and shelter) kisawa sawa.
Kibongo bongo ukaweka na pickup yako😀😀😀😀.
Kwa Tanzania maisha yameisha...ukapata kuendeleeeeea huko mbele unapunguza sana stress za mapenzi..
 
Back
Top Bottom